You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Allied Democratic Forces
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Tunawezaje kuliboresha soka la wanawake?
Michuano ya Kombe la Dunia kwa wanawake inaendelea kupamba moto huko #NewZealand na #Australia. Licha ya kushuhudia soka la kiwango cha juu, bado linakabiliwa na changamoto kadha wa kadha zinazozuia kusonga mbele, huku wanawake wenyewe wakiwa moja ya visiki. Kulikoni? Tizama video hii kisha unipatie maoni yako. #KurunziLive, #FIFAWWC ⚽⚽⚽💪💪
Wanafunzi 200 walazwa hospitali Uganda
Zaidi ya wanafunzi 200 nchini Uganda wamelazwa hospitali baada ya kula chakula kisicho salama.
Homa ya manjano na athari zake
Homa ya manjano husababisha vifo vya watoto karibu 30,000 kila mwako kote ulimwenguni, huku asilimia 90 wakiwa ni kutoka mataifa ya Afrika. Ili kukabiliana na hali hiyo, shirika la kimataifa la WHO limeendesha kampeni kabambe inayolenga kuusambaratisha ugonjwa huo ifikapo mwaka 2030, suala linaloangaziwa hii leo kwenye makala ya Afya yako iliyoandaliwa na Lubega Emmanuel.
Muwekezaji kijana anayejenga uwanja wa michezo Kampala
Uganda imeungana na nchi jirani za Kenya na Tanzania katika kutafuta kibali cha pamoja cha kuwa wenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2027. Suala la miundombinu bado pasua kichwa, lakini kuna tajiri kijana anayejenga uwanja wa michezo Kampala.
PPRD nchini Kongo yaapuuzilia madai ya hifadhi kwa ADF
Chama cha PPRD nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo chaapuuzilia madai ya hifadhi kwa waasi wa ADF Mashariki ya Kongo
Yaounde: Waasi wanaotaka kujitenga wameua raia 10
Waasi wanaotaka kujitenga wameua raia 10 katika moja ya mikoa tete inayozungumza Kiingereza nchini Cameroon
Ziara ya Rais Ebrahim Raisi Afrika ilitafuta uungwaji mkono?
Ziara ya Rais Ebrahim Raisi katika mataifa matatu ya Afrika alioifanya ndani ya juma hili, inalengo gani kisiasa na kidiplomasia? Je, ni kutafuta uungwaji mkono kwa Afrika kama yanavyofanya mataifa ya Magharibi?
UN: Watu 87 walizikwa katika kaburi la pamoja Darfur
kaburi hilo limegundulika wakati mzozo wa kibinadamu nchini humo ikiongezeka na wengine wakiendelea kukimbia nchi hiyo.
Raisi ayalaumu mataifa ya Magharibi kuchochea ushoga
Rais wa Iran Ebrahim Raisi amelaani kile alichokiita mitazamo ya nchi za Magharibi kuhusu ushoga.
Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 13.07.2023
Mkutano wa kilele wa NATO wamalizika huku nchi za G7 zikiahidi msaada zaidi kwa Ukraine. Uhuru Kenyatta atoa wito wa suluhu ya amani katika mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Watu sita wafariki katika shambulio linalohusishwa na biashara ya madawa ya kulevya huko Mexico.
Wimbi la wanaume na vipimo vya DNA lachachamaa Uganda
Wimbi la akina baba nchini Uganda kuwapima watoto vinasaba limeshika kasi katika siku za karibuni, hasa kwa wale walio na uwezo wa kulipia ada ya vipimo hivyo
Mapigano yazuka tena Rutshuru kati ya M23 na Mai Mai
Mpatanishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais wa zamani wa Kenya - Uhuru Kenyatta, anatarajiwa kuwasili Goma
Iran na Kenya kuimarisha uhusiano wa nchi zao
Iran imeitaja ziara hiyo ya kiongozi wa Iran kuwa ni mwanzo mpya wa mahusiano na bara la Afrika.
Malalamiko ya kipimo cha Vinasaba "DNA"
Jijini Kampala, gari ndogo za abiria zimepambwa na mabango yenye tangazo la kuwahimiza wazazi kupima vinasaba yaani DNA ili kubaini udugu wao na watoto wao. Tizama video hiyo kwa kina iliyoandaliwa na Lubega Emmanuel. #kurunzi
HRW:Mradi wa bomba la mafuta Uganda ni janga kwa sayari.
Mradi huo umeendelea kukabiliana na upinzani mkali kimataifa licha ya kuungwa mkono na utashi wa kisiasa na kiuchumi.
Wapiganaji wa Wagner hawajaondoka Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jamhuri ya Afrika ya kati imesema, wapiganaji wa Wagner hawajaondoka Afrika ya kati bali wanafanya kazi kwa mzunguko.
Muziki watumika kuhubiri amani Kongo
Muziki ni nyenzo maridhawa wakati wote, iwe raha ama dhiki, hivi ndivyo mwanamuzuki kutoka Jamhuri ya Kidemocrasia ya Kongo Ben Man anatumia muziki kuhubiri tumaini kwa waathirika wa mapigano huko Goma.
Madhila ya wazee, jamii imesahau wajibu wake?
Makao haya ya wazee nje ya mji wa kampala Uganda, yamekuwa tulizo na amani kwa wazee hawa ambao wamekutana na dhuluma chungumzima kwenye jamii zao. Baadhi wametelekezwa na watoto wao na wengine kudhulumiwa mali zao. Je! jamii imesahau wajibu wake kwa kundi hili?
Je, makundi ya M23, ADF na FDLR yataondoka Kongo?
Mkutano huo ulihudhuriwa na wakuu wa nchi pamoja na wawakilishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC na Jumuiya ya ECCAS.
Uganda yaadhimisha sikukuu ya Idd ul Adha
Waislamu Uganda wamelipongeza bunge kwa kupitisha muswaada wa mfumo wa benki unaozingatia sheria za Kiislamu.
Raia wa Uganda waishitaki kampuni ya mafuta ya Total
Wanataka kulipwa fidia kwa ukiukwaji mkubwa wa haki za binaadamu kwenye miradi mikubwa ya kampuni hiyo.
Waathiriwa wa mauaji Uganda kutambuliwa kwa DNA
Wazazi wa wanafunzi wa Uganda wawasilisha sampuli za DNA ili kutambua waathiriwa wa mauaji.
DRC yataka vikwazo vya wazi dhidi ya Rwanda
Umoja wa Mataifa wadai kuwa na ushahidi kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa M23
Kundi la ADF latanua operesheni zake Congo
Serikali ya Congo yasema operesheni dhidi ya ADF bado yaendelea kwa ushirikiano na Uganda.
Wanafunzi 3 kati ya 6 waliotekwa nyara Uganda watoroka
Wanafunzi 3 kati ya 6 waliotekwa nyara Uganda watoroka
Wakimbizi wajasiriamali nchini Uganda
Ikiwa ni Siku ya wakimbizi duniani, DW imewafuatilia baadhi ya wajasiriamali hao katika mitaa mbalimbali mjini Kampala.
Changamoto za kuwahudumia wakimbizi wa Kongo
Mamlaka za Kongo zinaelezea changamoto katika juhudi zinazofanyika kuhifadhi wakimbizi kufuatia kusitishwa misaada.
Guterres azirai nchi kuziba ufa katika mapambano ya ugaidi
Wafadhili watoa msaada wa kiutu kwa Sudan pamona na kwa mataifa jirani yanayowapokea watu wanaokimbia mapigano.
Mapigano yazuka upya kati ya M23 na vijana wazalendo Kongo
Hali imeendelea kuwa ya wasiwasi katika vijiji vya Kahira, Kirumbu na maeneo mengine muhimu ya Kongo
Maswali yazuka kuhusu shambulizi la shule Uganda
Tamko la waziri wa elimu kwamba huenda yalitokana na mzozo wa umiliki wa shule hiyo linaibua maswali kadhaa bila majibu
Uganda yajiandaa kuwazika wahanga wa shambulizi la ADF
Watu 42 waliuawa katika shambulizi la Jumamosi miongoni mwao wakiwa ni wanafunzi 38.
Ujumbe wa Afrika wakutana na Putin kuhusu mzozo wa Ukraine
Ujumbe wa viongozi wa Afrika umemtolea wito rais wa Urusi Vladimir Putin kuanzisha mazungumzo ya amani na Ukraine.
Watu 41 wauawa katika shambulizi la shule Uganda
Msemaji wa polisi Fred Enanga amesema shambulizi hilo lilifanywa na wanamgambo wa itikadi kali wa ADF
Viongozi wa Afrika kukutana na rais Zelensky kisha na Putin.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema anatumai yatapatikana mafaniko katika mazungumzo hayo.
Kenya, Uganda na Tanzania zawasilisha bajeti zake
Je bajeti hizo zitamwathiri mwananchi wa kawaida kwa kiwango gani, wakati gharama za maisha zikizidi kupanda?.
Siku ya kimataifa ya kutokomeza manyanyaso kwa wazee
Siku hii huadhimishwa ili kuhamasisha ulimwengu kuwajali wazee ambao hukabiliwa na changamoto lukuki.
Al Shabaab yashambulia na kuua askari 8 Kenya
Kenya iliwahi kuvamiwa na Al-shabab mwaka 2013 walioteka jengo jengo la maduka la Westgate na kuua watu 67
Waasi wa M23 wahusishwa na makaburi ya pamoja nchini DRC
Disemba 3 kundi la M23 lilikana madai hayo yote na kusema watu wanane walikufa katikati ya makabiliano huko Kashishe.
HRW yasema waasi wa M23 huenda walihusika na mauaji Kishishe
Waasi hao wa M23 walichoma moto nyumba moja iliyokuwa imefurika miili
Mwaka mmoja watimia tangu M23 walipoudhibiti mji wa Bunagana
Mji wa mpaka wa Bunagana ulioko Kivu Kaskazini ulikabiliwa na udhibiti wa waasi wa M23 ambao walikuwa wameanzisha mashambulizi miezi michache kabla ya kuondoka kwenye vilima vya kimkakati. Mwaka mmoja baada ya uvamizi huu, wahusika wa kijamii na kisiasa walijibu, huku wakimbizi wakiomba amani irejeshwe maeneo. Kwa kina zaidi, tumsikilize mwenzetu Ruth ALONGA kutoka Goma.
Mjumbe maalumu wa Papa aongoza ibada ya pole kwa wahanga wa vita, Kongo
Mjumbe maalum wa Kanisa Katoliki aliyetumwa na Papa Francis ameongoza ibada ya pole kwa maelfu wa raia wanaohangaishwa na vita ikiwemo waumini wa Kanisa Katoliki nchini Kongo. Louis Antonio Tagle aidha amewatembelea wakimbizi wengine waliokimbia mapigano kati ya jeshi la Kongo na waasi wa M23 ambao wanahifadhiwa katika makambi nje kidogo na mji wa Goma. Benjamin KASEMBE alituarifu zaidi.
HRW: Wanamgambo wafanya uhalifu wa kibinaadamu, Kongo
Eneo hilo la mashariki ya Kongo limegubikwa na machafuko yanayofanywa na makundi ya wanamgambo.
Wanamgambo wawaua zaidi ya raia 45, Ituri
Eneo la mashariki mwa Kongo limekuwa likikabiliwa na mashambulizi yanayofanywa na makundi ya wanamgambo.
Uganda inavyokabiliwa na tatizo kubwa la afya ya akili
Nchini Uganda hali inatia wasiwasi, takwimu za wizara ya afya zinaonyesha kuwa takriban watu milioni 14 wanakabiliwa na tatizo la afya akili. Kinachoshangaza ni kwamba baadhi ya waathiriwa hawatambui kwamba wana matatizo hayo. Katika makala hii ya Afya yako, Ibrahim Swaib analiangazia kwa kina tatizo hilo.
Urusi yakataa madai ya kuwafadhili waasi mwaka 2014
Madai hayo yanahusiana na kesi iliyofunguliwa na Ukraine 2017 katika mahakama ya Umoja wa Mataifa kabla ya uvamizi 2022.
Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 08.06.2023
Benki ya Dunia kuisaidia Ukraine kutathmini mahitaji baada ya uharibifu wa bwawa la Kakhovka. Serikali ya Senegal kuanzisha uchunguzi baada ya vurugu zilizosababisha vifo vya watu 16. Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis anaendelea vizuri baada ya upasuaji wa utumbo.
Uganda yaadhimisha siku ya mazingira Duniani
Siku ya Mazingira mwaka huu ni kupambana dhidi ya uchafuzi unaotokana na matumizi ya plasitiki.
Uganda yathibitisha kuuawa wanajeshi wake 54 nchini Somalia.
Uganda yathibitisha kuuawa wanajeshi wake 54 wa jeshi la kulinda Amani la Umoja wa Afrika nchini Somalia.
Yaliyogonga vichwa vya habari kwenye Afrika Wiki Hii
Karibu kwenye kipindi kinachoangazia baadhi ya matukio yaliyogonga vichwa vya habari barani Afrika wiki hii, ikiwa ni pamoja na Bola Ahmed Adenkuhnle Tinubu kuapishwa rasmi kuwa rais mpya wa Nigeria, mkutano wa kilele wa viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu amani ya DRC na rais Yoweri Museveni kutia saini sheria ya kupinga mapenzi ya jinsia moja.
Upinzani Uganda wataka mageuzi kwenye sheria za uchaguzi
Upinzani Uganda wataka katiba ya nchi hiyo na sheria za uchaguzi vifanyiwe mageuzi kabla ya uchaguzi mkuu mwaka 2026.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 11 wa 55
Ukurasa unaofuatia