1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda: Matokeo ya kukatwa kwa ufadhili wa wakimbizi

Hawa Bihoga
2 Oktoba 2023

Kukatwa kwa misaada ya wafadhili kumesababisha hali ngumu kwa wakimbizi na serikali nchini Uganda, shirika la mapango wa chakula la Umoja wa Mataifa unaonya kuwa endapo hatua za haraka hazitachukulia, huenda kukashuhudiwa janga la kibinadamu.

https://p.dw.com/p/4X3m9