You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Allied Democratic Forces
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Afrika Wiki HII
Rais wa Tanzania atoa hakikisho la serikali yake kuwa pamoja na watu wa Hanang, waliokumbwa na madhara makubwa baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko, wanajeshi wa EAC waondoka nchini Congo, baada ya muda wao kumalizika, na Kiongozi wa upinzani Uganda Robert Kyagulanyi matatani kufuatia matamshi yake makali. Mtayarishaji ni Amina Abubakar Mjahid.
Bobi Wine akosolewa kubadili msimamo mapenzi ya jinsia moja
Bobi Wine anadai sheria kali dhidi ya mahusiano ya jinsia moja ilishinikizwa na Rais Yoweri Museveni kuubana upinzani.
Marekani yawawekea vikwazo maafisa wa Uganda na Zimbabwe
Marekani yawawekea vikwazo vya visa maafisa kadhaa wa Uganda na Zimbabwe
Jeshi la Uganda latangaza donge nono kuwanasa ADF
Kufuatia miripuko miwili ya mabomu mjini Kampala, vyombo vya usalama vimetoa tahadhari ya mashambulizi ya kigaidi.
Kikosi cha Afrika Mashariki chaanza kuondoka Kongo
Kikosi cha Afrika Mashariki kimeaanza kuondoka Kongo baada ya nchi hiyo kukataa kukiongezea muda.
Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili: 23.12.2023
Sikiliza matangazo ya mchana ya DW Kiswahili
Kikosi cha EAC chaanza kuondoka kutoka Kongo
Serikali ya Kongo ilikataa kuongeza muda wa kuhudumu kwa kikosi cha EAC nchini humo
Somalia yajiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC
Je, wananchi wa Afrika Mashariki watanufaika vipi kwa Somalia kujiunga na jumuiya hiyo ya Afrika Mashariki EAC?
Siku ya UKIMWI duniani Uganda imepiga hatua?
Uganda imepiga hatua katika mapambano dhidi ya UKIMWI, lakini bado kunachangamoto katika kufikia lengo la dunia.
Mahakama EAC yakataa pingamizi la mradi wa bomba la mafuta
Mahakama ya Afrika Mashariki imaktaa pingamizi la wanaharakati wanaopinga mradi wa bomba la mafuta la Afrika Mashariki.
Wabunge wa upinzani Uganda warejea bungeni
Wabunge wa upinzani nchini Uganda wamerudi bungeni baada ya kususia vikao kwa zaidi ya mwezi mmoja.
Mali yaanzisha uchunguzi dhidi ya washukiwa wa ugaidi
Mahakama nchini Mali imeanzisha uchunguzi wa ugaidi na utakatishaji fedha dhidi ya viongozi kadhaa wanaotaka kujitenga.
Waasi wa M23 wachukua udhibiti wa mji ulio karibu na Goma
Jeshi la Kongo FARDC pamoja na wanamgambo washirika limekuwa likipambana na M23 mashariki mwa nchi hiyo.
Jeshi la Kongo lavunja mahusiano na wapiganaji wa FDLR
Jeshi la Kongo limewataka maafisa wote wa jeshi kuvunja mahusiano na kundi la wapiganaji kutoka Rwanda FDLR.
Kundi la M23 wataka wakimbizi warudi makwao Rutshuru.
Kundi la M23 wataka wakimbizi warudi makwao Rutshuru.
Ni Taifa Stars na Morocco Benjamin Mkapa leo
Mechi za kuwania kucheza Kombe Dunia mwaka 2026 zinaendelea leo, mataifa ya Afrika ya Mashariki yanatupia karata zao.
Ungana na Suleman Mwiru katika kipindi Jukwaa la Manufaa
Ungana na Suleman Mwiru katika kipindi cha Jukwaa la Manufaa
Iran yakanusha kuwasaidia waasi wa Houthi
Iran yakanusha madai ya Israel ya kuwasaidia waasi wa houthi kuiteka meli ya mfanyabiashara wa Tel Aviv.
Kampeni za uchaguzi DRC kuanza rasmi Jumatatu
Takriban wapiga kura milioni 44 waliojiandikisha, kati ya wakazi karibu watu milioni 100 watamchagua rais, Disemba 20.
Jeshi la Mali ladai kukuta kaburi la pamoja, Kidal
Jeshi hilo liliuerejesha mji huo wa kimkakati na kuahidi kuhakikisha usalama wa raia baada ya kuwa chini ya waasi hao.
Karibuni 18.11.2023
Katika kipindi hiki pamoja na burudani ya muziki utawasikia vijana wa Kiafrika, mameneja kwa mwaka 2023 kutoka program ya maendeleo ya Ujerumani-Afrika Kommt. Zaidi ungana na Sudi Mnette.
Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 18.11.2023
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
Abiria wahangaishwa katika uwanja wa ndege Uganda
Wadadisi wanasema uamuzi huenda ukawa umechukuliwa kufuatia vilio vya wasafiri wanaodai kunyanyaswa katika úwanja huo.
Museveni ataka kasi kuyawekea magari namba za kidijitali
Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameagiza mpango wa utoaji wa nambari za kidigitali uharakishwe.
Kuvunja vizuizi: Kompyuta ndogo za Uganda
Ni ndogo, nyepesi na zinaweza kuendana na kompyuta ya wastani. Mhandisi wa programu za kompyuta wa Uganda Ivan Karugaba anatufahamisha jinsi alivyounda mfano wake wa kompyuta ndogo ili kurahishisha upatikanaji zaidi wa teknolojia.
Uganda yakabiliwa na wimbi kubwa la wakimbizi wa Congo
Wakimbizi hao wametembea kwa miguu na kukabiliana na hali ngumu ya mvua na mafuriko ambayo yanalikumba eneo hilo
Jeshi la Mali latwaa udhibiti wa ngome muhimu ya waasi,Kidal
Ushindi wa jeshi la Mali umeshangiriwa na mamia ya wananchi mjini Bamako Jumanne
Mali yadai kuikomboa Kidal kutoka kwa waasi wa Tuareg
Jeshi la Mali limetangaza kuwa limechukua udhibiti wa mji wa Kidal kutoka kwa waasi wa Tuareg baada ya muongo mmoja.
Jeshi la Mali lapambana na waasi karibu na mji wa Kidal
Kuondolewa kwa wanajeshi wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani kutoka Mali kumeongeza hali ya ukosefu wa utulivu.
Ndege ya kivita ya Myanmar yaanguka wakati wa mapigano
Ndege ya kivita ya Myanmar imeanguka wakati wa mapigano makali kati ya jeshi na kundi la waasi.
Halaiki yaua mwanajeshi mmoja aliyedhaniwa kuwa M23
Mwanajeshi mmoja ameuwawa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo baadha watu kudhani ni muasi wa M23
China yaapa kuhakikisha usalama mpakani na Myanmar
China itahakikisha kuwa kuna hali ya usalama na utulivu kwenye mpaka wake na Myanmar.
Kongo: Mapigano yapamba moto kati ya jeshi na waasi wa M23
Mapigano makali yamezuka kati ya jeshi la Congo na M23 waliozilenga kwa makombora ngome za jeshi wilayani Masisi.
Blinken azungumza na Kagame na Tshisekedi kuhusu M23
Wakati huohuo, mawaziri wa mambo ya nje wa Kongo na Rwanda wametupiana lawama kuhusu machafuko yanayoendelea huko Kivu.
Jeshi la Congo lawazuia waasi wa M23 kuingia Goma
Jeshi la Congo ,FARDC Jumatatu lilizima jaribio jipya la waasi wa M23 waliojaribu kusonga mbele kuelekea mji wa Goma. Vy
UN yaondoka Mali huku ghasia zikiongezeka
Waasi wanaopigania kujitenga Kaskazini mwa Mali walichukuwa udhibiti wa kambi ya Kidal ilioachwa na Umoja wa Mataifa.
Mapigano yaendelea mji wa Kitshanga Kongo
Mapigano makali yametokea karibu na mji wa kimkakati wa Kitshanga wilayani Masisi nchini Kongo.
Jeshi la Congo na MONUSCO watangaza operesheni ya pamoja
Operesheni hiyo mpya ya kijeshi ya pamoja ilinayoitwa Springbok italenga kulinda mji wa Goma na mji ulio karibu wa Sake.
Msafara wa wanajeshi wa UN washambuliwa Kaskazini mwa Mali
Wanajeshi hao walijeruhiwa katika matukio mawili katika eneo hilo ambalo ni ngome ya waasi.
Watu watano wauawa na waasi wa CPC Jamhuri ya Afrika ya Kati
Watu watano wameuawa Jamhuri ya Afrika ya Kati baada ya waasi wa CPC, kushambulia mji unaopakana na Chad.
Uganda yamkamata mkuu wa wanamgambo anayedaiwa kuua watalii
Mamlaka nchini Uganda imefahamisha imemkamata mkuu wa kikosi cha wanamgambo wanaoshukiwa kwa mauaji ya watalii wawili.
Sema Uvume: Programu ya kuutambua uzushi mitandaoni
Lubega Emmanuel anaangalia programu maalum zinazoweza kutenganisha habari za kweli kutoka za uzushi mitandaoni.
Israel yapambana vikali na Hamas ndani ya Gaza
Nalo shirika la afya duniani WHO limeonya kwamba "janga la afya ya umma" linainyemelea Gaza, kutokana na mzozo huo.
Uganda kuwasamehe waasi wa ADF wanaojisalimisha
Baraza la mawaziri nchini Uganda limeidhinisha msamaha kwa waasi wa ADF ambao watakubali kujisalimisha.
EU kuekeza zaidi ya dola milioni 60 kwa umeme Uganda
Umoja wa Ulaya unapanga kuekeza dola milioni 63 kuboresha mmojawapo ya mitambo mikubwa ya kufua umeme nchini Uganda.
Jeshi Kongo lakabiliana na mashambulizi ya M23
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo FARDC limeendelea kujibu mashambulizi ya waasi wa M23 katika mji wa Goma.
Mwanajeshi wa Kenya auawa Kongo
Mwanajeshi mmoja wa Kenya ameuawa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Mapigano yaibuka Kongo kati ya M23 na vijana wazalendo
Mapigano makali yaibuka kati ya wanamgambo vijana wazalendo na waasi wa M23 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Wanamgambo Kongo washambulia na kuuwa watu 26
Wanamgambo wenye itikadi kali washambulia na kuwaua watu 26 huko Jmahuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Marufuku ya mavazi ya mitumba Uganda
Serikali Uganda imepiga marufuku mavazi ya mitumba kwa hoja kwamba ni wakati wa kutekeleza sera ya nchi kununua bidhaa za ndani. Baadhi ya wananchi wanasema hatua hiyo haijaangalia kundi la watu wenye kipato kidogo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 55
Ukurasa unaofuatia