You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Vatican
Vatican ndiyo makao makuu ya Kanisa Katoliki duniani pamoja na kiongozi wake, Papa
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Papa Francis kuzuru kisiwa cha Corsica Ufaransa
Macron alitarajia papa kuhudhuria sherehe hiyo kufunguliwa tena wa Kanisa, lakini papa aliweka wazi kwamba hatashiriki.
Papa Francis ataka mapigano yasitishwe Mashariki ya Kati
Wiki hii takriban askari watano wa kikosi cha walinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon (UNIFIL) walijeruhiwa.
Zelenskiy akutana na Papa Francis
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema, katika mkutano wake na kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Franci
Papa Francis awasili nchini Papua New Guinea
Papa Francis atakukutana na viongzi wa Papua New Guinea, jumuiya za kiraia na viongozi wa makanisa.
Papa Francis awasili Indonesia
Papa Francis amewasili nchini Indonesia kuanza ziara ya mataifa manne ya Asia-Pasifiki.
Papa atoa wito wa kuwepo amani duniani
Papa atoa wito wa kuwepo amani duniani
Israel yamuua afisa mwandamizi wa Fatah
Hayo yanajiri wakati mazungumzo ya kusitisha mapigano huko Gaza yakionekana kukwama.
Israel yasema Iran yaandaa mashambulizi ya kulipiza kisasi
Hali hiyo inaongeza hofu ya kuenea vita vya Israel na Hamas kwenye kanda ya Mashariki ya Kati.
Kanisa Katoliki lalaani shambulio dhidi ya Trump
Jaribio la mauaji dhidi ya Trump limeendelea kulaaniwa na viongozi mbalimbali duniani.
Viongozi wa nchi za G7 wakubaliana kuipa msaada Ukraine
Wakuu wa nchi saba tajiri duniani pia wamekubaliana jinsi ya kukabiliana na malengo ya kibiashara na kisiasa ya China.
Waziri Mkuu wa Slovakia afanyiwa upasuaji mwingine
Mshukiwa wa tukio hilo ambaye inasemekana ni mzee mwenye umri wa miaka 71 anashikiliwa na Polisi.
Vatican yaendelea kupinga kubadilisha jinsia
Vatican imetangaza hii leo kwamba upasuaji wa kubadilisha jinsia na watu kubeba mimba kwa ajili ya wengine kuwa ni ukiuk
Mrengo wa kushoto wa Ulaya wataka vita vya Ukraine kumalizwa
Vita vya Urusi nchini Ukraine vimepindukia mwaka wa tatu sasa huku kukiwa hakuna dalili ya kumalizika hivi karibuni.
Urusi yaionya Marekani dhidi ya kuingilia uchaguzi wake
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, amepongeza ushindi wa tuzo ya kwanza ya Oscar kwa nchi yake.
Ukraine na viongozi wa Magharibi wamkosoa Papa
Viongozi kutoka Ukraine, Ujerumani, Poland na Latvia wamemkosoa kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis kutoka
Papa Francis asema vita ni uhalifu dhidi ya ubinadamu
Vita ni uhalifu dhidi ya ubinadamu asema Papa Francis wakati aliporudia wito juu ya kuleta amani.
Papa Francis alaani ''uhalifu wa kivita '' dhidi ya raia
Papa amesema na wale waliouawa hawapaswi kuchukuliwa kama "watu waliolengwa kimakosa''
Maaskofu 14 wa kanisa katoliki watiwa mbaroni Nicaragua
Makasisi 14 wa kanisa katoliki watiwa mbaroini Nicaragua
Papa Francis afadhaishwa na kurejea kwa mapigano Gaza
Papa Francis amezirai pande husika kufanya linalowezekana kupata mkataba mpya wa kukomesha vita
Guterres atoa wito wa usitishwaji mapigano Gaza
Katika matamshi aliyoyatoa kwa Baraza hilo siku ya Jumanne, Guterres alikosoa ukiukaji wa wazi wa sheria ya kimataifa.
Papa Francis ataka vita visitishwe Gaza
Papa Francis ametoa wito wa kumalizika kwa mgogoro kati ya wanamgambo wa Hamas na Israel.
Israel yaendeleza mashambulizi makali Gaza, Papa atoa wito
Israel imeendeleza mashambulizi makali dhidi ya ukanda wa Gaza, kuiadhibu Hamas kwa uvamizi wake wiki iliyopita.
Mataifa yazungumzia mzozo kati ya Israel na Palestina
Kwa muda mrefu kumekuwa na miito ya suluhu ya mataifa mawili katika kuumaliza mvutano kati ya Israel na Palestina.
Papa Francis: Ongezeko la joto ni changamoto kubwa duniani
Papa Francis: Watu masikini na walio hatarini duniani ndiyo wanaathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi.
Papa Francis: Kuna haja ya kurekebisha mustakabali wa kanisa
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amesema kuna haja ya kurekebisha mustakabali wa kanisa hilo.
Papa ateua makadinali wapaya 21
Papa ateua makadinali wapaya 21
Papa Francis awasili Mongolia katika ziara yake ya kwanza
Ziara ya Francis pia ni mkakati wa kuimarisha uhusiano wa Vatican na nchi jirani na Mongolia, yaani China na Urusi.
Papa Francis aiomba Urusi irudi kwenye makubaliano ya nafaka
Papa Francis ameitolea wito Urusi kurejea kwenye makubaliano ya nafaka kupitia Bahari Nyeusi
Papa Francis aendelea kupata nafuu baada ya upasuaji.
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis anaendelea kupata nafuu baada ya kufanyiwa upasuaji.
Urusi yadai kuzima mashambulizi mengine ya Ukraine
Urusi na Ukraine zimekuwa zikidai kusababishiana hasara kubwa, taarifa ambazo zimekua vigumu kuthibitishwa.
Papa Francis ahimiza amani Sudan
Papa Francis ahimiza amani Sudan
Ujerumani itaipa Ukraine msaada wa kijeshi euro bilioni 2.7
Ujerumani imesema kuwa itaipatia Ukraine msaada mpya wa kijeshi wenye thamani ya zaidi ya euro bilioni 2.7
Duru zadokeza Zelensky kuitembelea Italia mwishoni mwa juma
Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine anatafakari uwezekano wa kufanya ziara mjini Roma mwishoni mwa wiki hii
Papa kukutana na wakimbizi Hungary
Papa kukutana na wakimbizi Hungary
Jeshi la Ujerumani limewaondoa watu 101 kutoka Sudan.
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ahimiza mazungumzo kumaliza mzozto wa Sudan
Wakristo kote ulimwenguni waadhimisha Ijumaa Kuu
Ijumaa Kuu ni siku maalum kwa ajili ya kuadhimisha kumbukumbu ya mateso na kifo cha Yesu Kristo.
Pasaka: Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani ahimiza amani
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ahimiza amani katika ujumbe wake wa Pasaka.
Papa Francis aongoza misa ya Pasaka
Papa Francis ameongoza misa ya Pasaka katika uwanja wa kanisa la Mtakatifu Petro.
Papa Francis aadhimisha miaka 10 tangu kuchaguliwa
Papa Francis aadhimisha miaka 10 tangu kuchaguliwa
Mgogoro bado unaendelea kuitikisa Sudan Kusini
Wataalam wasema vita bado vinaendelea Sudan Kusini, nusu muongo tangu mwisho wa vita vilivyowaua watu 380,000.
Erdogan akiri changamoto kwenye shughuli za uokozi
Watu zaidi ya 11,000 wanaripotiwa kufariki dunia hadi sasa kutokana na tetemeko hilo.
Papa Francis akamilisha ziara ya siku sita barani Afrika.
Papa Francis akamilisha ziara ya siku sita barani Afrika.
Papa Francis kukutana na wahanga wa vita Sudan Kusini
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis atakutana na wahanga wa vita nchini Sudan Kusini.
Papa Francis awasili nchini Sudan Kusini
Papa Francis amewasili Sudan Kusini akitokea nchini Kongo, katika ziara yake ya siku tatu kuhimiza amani na maridhiano
Papa Francis kuendeleza ujumbe wa amani Sudan Kusini
Papa Francis anaitembelea Sudan Kusini inayokabiliwa na makovu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe na umaskini uliokithiri.
Papa Francis kuelekea Sudan Kusini baada ya Congo
Papa Francis atakwenda nchini Sudan Kusini Ijumaa baada ya kukamilisha ziara yake nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
Waumini milioni moja washiriki misa ya Papa, Kongo
Papa Francis yuko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuzuru taifa hilo na Sudan Kusini.
Papa Francis ayataka mataifa ya kigeni kuacha kuipora Kongo
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amezitaka nchi za kigeni kuacha kupora rasilimali za Kongo na Afrika.
Papa Francis awasili Kongo, akianza ziara ya siku sita
Papa Francis na ujumbe wake pia atazuru pia Sudan Kusini ambayo pia inakabiliwa na mzozo wa muda mrefu.
Papa Francis kuzuru Kongo na Sudan Kusini wiki ijayo
Hiyo ni ziara yake ya tano Barani Afrika tangu alipochaguliwa mwaka 2013.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 4
Ukurasa unaofuatia