You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Michezo
Pata habari na uchambuzi wa michezo.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Rais wa IOC Thomas Bach aifunga rasmi michezo ya Olimpiki
Michezo ya Olimpiki ya Paris imefungwa rasmi na Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki, IOC, Thomas Bach Jumapili.
Seine-sational! Paris yatoa kwaheri ya ushindi kwa Olimpiki
Michuano ya Olimpiki ya Paris ilikamilika rasmi Jumapili usiku na kukabidhi wenyeji kwa jiji la Los Angeles.
Tola ashinda medali ya dhabau katika mbio za Marathon
Eliud Kipchoge aliyetarajiwa kuweka historia kwa kushinda medali yake ya tatu ya dhahabu alishindwa kumaliza mbio hizo.
Dani Olmo ajiunga na Barcelona akitokea Leipzig
Olmo ameondoka Leipzig akiwa ameshinda vikombe viwili vya Ujerumani baada ya kujiunga na timu hiyo mwaka 2020.
Moroko yaibwaga Misri soka la Olimpiki
Wamoroko waliwabwaga mahasimu wao, Misri, mabao 6 bila. Mabao mawili kati ya hayo yaliwekwa kimiani na Soufiane Rahimi.
Ni Simba ama Yanga leo?
Hayawi, hayawi sasa yamekuwa! Yamebakia masaa machache tu wa kushuhudia ule mtanange wa Kariakoo Derby uliosubiriwa kwa hamu huko nchini Tanzania kati ya watani wa jadi, Simba Sports Club na Young Africans katika nusu fainali ya kombe la Ngao ya Jamii. Nani atalia leo na nani atacheka? Tizama kwanza tambo za mashabiki. #Kurunzi
Wataalamu: Olimpiki isitishe ushirikiano na Coca-Cola
Wataalamu wa masuala ya afya wamewataka waandaaji wa mashindano ya Olimpiki wavunje uhusiano na kampuni ya Coca Cola.
Olympics 2024: Marekani inaongoza jedwali la medali
Marekani imeipiku China iliyokuwa kinara na sasa iko nafasi ya pili ikiwa na jumla ya medali 58 ikifuatiwa na Australia.
Uganda yashinda medali ya fedha katika Olimpiki
Uganda tayari imeshinda medali ya dhahabu kupitia mkimbiaji Joshua Cheptegei katika mbio za mita 10,000 za wanaume.
Ufaransa watinga fainali soka la wanaume Olimpiki
Nayo timu ya wanawake ya Ujerumani imetwaa medali ya dhahabu katika mpira wa kikapu kwa kuichapa Uhispania huko Paris.
Kenya yashinda medali ya dhahabu katika Olimpiki
Ushindi wa Chebet unaifanya Kenya kuweka kibindoni medali ya kwanza ya dhahabu katika michezo hiyo ya Olimpiki ya Paris.
Bondia Khelif aomba kukomeshwa uonevu dhidi ya wanamichezo
Khelif pia alitoa shukrani kwa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki na rais wake, Thomas Bach, kwa kuonesha mshikamano naye.
Mwanariadha wa kasi zaidi duniani ni Mmarekani Lyles
Mwanariadha Noah Lyles aliwapa mashabiki maonesho bab kubwa na kushinda mbio za mita 100 zilizokuwa na ushindani mkali.
DW Michezo 05.08.2024
Katika kipindi hiki cha michezo, Bruce Amani anatizama yanayoendela katika Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024, pamoja na matamasha ya kufanya yaliyoandaliwa Dar es Salaam na vilabu viwili vikubwa vya kandanda Tanzania vya Simba na Yanga
Xavi Simons kubakia Leipzig
Simons alijiunga na PSG mwaka wa 2019 lakini amecheza mechi saba pekee za Ligue 1 akiwa na timu hiyo.
Toni Kroos mwanasoka bora wa mwaka wa Ujerumani
Toni Kroos mwanasoka bora wa mwaka wa Ujerumani
Olimpiki Paris 2024: Wanariadha wa Afrika wang´ara
Raia wa Uganda Joshua Cheptegei, alishinda ubingwa wa Olimpiki katika mbio za mita 10,000 katika Michezo ya Olimpiki.
Olimpiki Paris 2024: China yaongoza kwa medali za dhahabu
China ina jumla ya medali 11 za dhahabu, nafasi ya pili inashikiliwa na Marekani ikifuatiwa na Ufaransa.
Kompany aongoza mazoezi ya Bayern Munich kwa mara ya kwanza
Bayern imefanya mazoezi hadharani kwa mara ya kwanza mjini Tegernsee tangu Vincent Kompany ateuliwe kuwa kocha.
Michuano ya Michezo ya Olimpiki Paris 2024 yaendelea
Jumla ya medali 18 za dhahabu zilishindaniwa Jumatano katika mashindano ya michezo mbalimbali.
Kerber afuzu kwa robo fainali ya tenis katika Olimpiki
Kerber afuzu kwa robo fainali ya tenis katika Olimpiki
Mashindano ya Olimpiki katika mto Seine yaahirishwa
Mashindano ya Olimpiki katika mto Seine yaahirishwa
Mashindano ya Olimpiki yakumbwa na mkwamo mto Seine
Nyota wa tenis wa Uhispania Rafa Nadal kupambana na nyota wa Serbia Novak Djokovic katika mechi ya duru ya pili Olimpiki
Shambulizi la roketi lauwa watu 12 katika milima ya Golan
Shambulizi lililolenga katika uwanja wa michezo lauwa vijana 12 wakimwemo watoto wadogo wa hadi umri wa miaka 12.
Mwanaharakati akamatwa kuhusiana na hujuma Olimpiki
Mifumo ya kampuni ya Telekom inayofungamana na kampuni mbili za mawasiliano ya Ufaransa imehujumiwa.
Sherehe za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki zaibua utata
Parisa yasema hakukuwa na nia ya kutoheshimu dini yoyote wakati wa sherehe za ufunguzi wa michezo ya Olimipiki
Ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki Paris 2024
Usalama uliimarishwa ambapo polisi na wanajeshi wapatao 45,000 walisambazwa sehemu mbalimbali.
Paris yanga'a wakati wa ufunguzi wa michezo ya Olimpiki
Hii ni mara ya kwanza katika muda wa miaka 100 kwa Paris kuwa mwenyeji wa michezo ya Olimpiki ya majira ya joto.
Polisi Ufaransa yapongezwa wakati ya ufunguzi wa Olimpiki
Takriban maafisa wa polisi 45,000 na wanajeshi 10,000 walishika doria katika kila kona ya mji mkuu wa Paris.
Kandanda la wanawake Olimpiki laanza rasmi Alhamis
Mechi za kandanda katika michezo ya Olimpiki zinaanza Alhamis huku timu 12 tofauti zikicheza mechi zao katika viwanja to
Ufaransa yashinda Olimpiki, Ukraine waangukia pua
Jumatano ilikuwa siku ya kwanza ya mechi za kandanda za Michezo ya Olimpiki mjini Paris ambapo wenyeji Ufaransa walipata
Ufaransa yajiimarisha kiusalama kuelekea Olimpiki
Ufaransa imejikita katika eneo lisilo la kawaida la kijajususi, kuzuia mashambulio yanayohusisshwa na itikadi kali.
Maelfu ya polisi kuwalinda Waisrael kwenye Olimpiki
Michezo hiyo ya Olimpiki imezingirwa na vitisho vya kiusalama kutokana na mizozo na uhasama unaoendelea kote duniani.
Olimpiki: Kenya yaandamwa na kivuli cha kututumua misuli
Wanariadha wa Kenya waandamwa na kivuli cha dawa za kututumua misuli.
Wanamichezo wakimbizi kutimiza ndoto zao Paris
Wanamichezo hao wakimbizi pia wanasema wana shauku kubwa ya kushinda medali kwenye michezo hiyo ya Olimpiki.
Dortmund yapokea kipigo barani Asia
Borussia Dortmund wako barani Asia kwa ziara yao ya kujiandaa na msimu mpya nchini Thailand na Japan.
Bundesliga: Dirisha la uhamisho
Dirisha kuu la uhamisho wa wachezaji Ulaya lipo wazi. Nani anakwenda wapi?
Waandalizi wa Olimpiki Paris wasema wako tayari kwa Michezo
Estanguet aliwaambia waandishi habari Jumapili mjini Paris kuwa wako tayari wakati maandalizi yakiingia hatua ya mwisho.
Mabingwa wa Tanzania Yanga kucheza na Augsburg ya Ujerumani
Timu zingine zinazoshiriki michuano hiyo ya kirafiki ni Ts Galaxy ya Afrika ya Kusini na Mbabane Swallow FC ya Eswatini.
Shirikisho la Kandanda la Argentina lashutumiwa kwa ubaguzi
Baadhi ya wachezaji akiwemo Fernandez walikuwa wanaimba wimbo dhidi ya Ufaransa wakimlenga Kylian Mbappe.
England na Uholanzi nani zaidi nusu fainali za EURO 2024?
England na Uholanzi nani zaidi nusu fainali za EURO 2024?
Kocha wa Spain asifu uwezo wa kikosi chake Euro 2024
Kocha wa Uhispania amesifu ubora wa timu yake baada ya kuishanda Ufaransa katika nusu fainali Euro 2024.
Simba na Yanga zajiimarisha kuelekea msimu mpya wa soka
Kando na Clatous Chama, Yanga imewasijili Khomeini Abubakar na Boka Chadrak. Je, umeridhika na usajili wa klabu yako?
Spain na France kutunishiana misuli nusu fainali
Ufaransa imekosolewa kwa kuonesha mchezo usiovutia.
Michezo ya redio kuhusu Elimu ya Kidijitali Afrika
Michezo ya redio ya DW inayoangazia changamoto zinazowakabili vijana wa Kiafrika katika ulimwengu wa kidijitali.
Euro 2024: Spain yawatoa wenyeji Germany robo fainali
Uhispania sasa itakumbana na Ufaransa kwenye mechi ya nusu fainali katika michuano ya Euro 2024.
UEFA yaunda mfumo wa kuripoti ukiukwaji wa haki za binadamu
Lakini wadau wa soka wanasema utaratibu huo wa malalamiko umekuwa ukijikongoja na kutotangazwa ipasavyo.
Ni France ama Belgium kusonga mbele?
Tukizungumzia ushabiki basi uko hapa kati ya majirani Ubelgiji na Ufaransa. Na muda mfupi ujao wanakutana pale Dusseldorf Arena katika mechi ya mtoano ya michuano ya #Euro2024. Nani ni nani? Mbappe ama Lukaku? Nawe nipe utabiri wako.
Italia yatoka sare na Croatia, Albania yafungwa na Uhispania
Uhispania iliifunga Albania 1-0 huku Italia ikiilazimisha Croatia sare ya 1-1 katika dakika za mwisho.
EURO 2024: Uhispania yasaka ufahari
De la Fuente amesema wanahitaji kushinda kila mchezo, na kwamba ushindi ni fahari ya kutambuliwa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 9
Ukurasa unaofuatia