You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Michezo
Pata habari na uchambuzi wa michezo.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Azam yathibitisha kujiengua kwa Kagame Cup
Azam yathibitisha kujiengua kwa CECAFA Kagame Cup, Yanga na Simba zasubiri maamuzi ya mwisho.
EURO 2024: France yalazimishwa sare ya 0-0 na Netherlands
Ufaransa ilishindwa kutumia nafasi za wazi ilizozipata kufunga magoli wakati ikicheza bila ya Kylian Mbappe.
Wachezaji wa Germany watapokea Euro elfu 50 kutoka kwa DFB
Pesa ya zawadi ni jumla ya Euro milioni 331 na imegawanywa kulingana na ushiriki na matokeo ya uwanjani.
EURO 2024: Uswisi wafuzu baada ya kutoka sare na Ujerumani
Leo Jumatatu, Albania watashuka dimbani na Uhispania, huku Croatia wakimenyana na Italia.
Euro2024: Mbappé kukosa mechi na Uholanzi
Mbappé hatokuwepo katika kikosi cha mwanzo katika mechi dhidi ya Uholanzi katika michuano ya Euro 2024.
Conceicao aipa ushindi Portugal kwa bao la dakika za mwisho
Ureno ilidhibiti mchezo japo ilishindwa kubuni nafasi za wazi na ilihitaji umahiri wa Conceicao kupata ushindi.
Kutana na mwanamke mtunisha misuli kutoka Kenya
Evelyn Owala ni mwanamke wa kiafrika aliyejipatia umaarufu katika mchezo wa kutunisha misuli nchini Kenya. Anapambana kuondoa dhana potofu kwamba wanawake wanaoshiriki mchezo huo huenda wakawa ni wakorofi. #vijanamubashara
EURO 2024: Mbappe avunjika pua katika ushindi wa France
Mbappe aligongana na beki wa Austria Kevin Danso walipokuwa wakipambania mpira hewani katika mechi ya kwanza ya kundi D.
Kombe la Ulaya inaendelea kushika kasi
Michuano ya Kombe la Ulaya inaendelea kushika kasi. Je timu gani zinapigiwa upatu zaidi kushinda kombe la mwaka huu?
England yapata ushindi wa tabu dhidi ya Serbia
England inateremka tena uwanjani siku ya Alhamisi kucheza dhidi ya Denmark katika uwanja wa Deutsche Bank Park.
Uholanzi yailaza Poland mabao 2-1
Bao la Poland lilipachikwa wavuni na Adam Buksa kunako kipindi cha kwanza
Uchambuzi wa michuano ya Euro 2024
Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu hatimaye mashindano ya Ubingwa wa Ulaya - UEFA EURO 2024 yanafungua pazia lake Ijumaa 14.06.2024 hapa Ujerumani. Wenyeji Ujerumani wanatumai kupambana vilivyo na kunyakua kombe hilo kutoka kwa mabingwa watetezi Italia. Ufuatao ni uchambuzi wa Bruce Amani na Babu Abdalla kutoka dawati la michezo la DW Kiswahili.
Terzic ajiuziulu kama kocha wa Borussia Dortmund
Klabu hiyo ya Ujerumani ilifika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu imeyasema hayo katika taarifa ya kushangaza.
Viwanja vitakavyotumika kwenye Euro 2024
Viwanja 10 vitakavyotumika kwenye michuano ya Euro 2024.
Maamuzi ya VAR kufafanuliwa kwa mashabiki katika Euro 2024
Hayo yamesemwa na Shirikisho la vyama vya kandanda Ulaya - UEFA, kabla ya michuano ya Euro 2024 nchini Ujerumani.
Wapigania haki wamsihi rais wa IOC kuondoa marufuku ya hijab
Makundi ya Haki za Olimpiki yamsihi rais wa IOC kuondoa marufuku ya hijab
EURO 2024: Unachopaswa kufahamu
Wabashiri wamewaweka makamu bingwa wa Euro 2020 England mbele ya makamu bingwa wa Kombe la Dunia Ufaransa na Ujerumani.
Polisi wa Ujerumani kufanya kaguzi kuelekea Euro 2024
Michuano ya Euro itaanza kufanyika Juni 14 na inatarajiwa kumalizika Julai 14, 2024.
Ujerumani itamudu kufanya maajabu Kombe la Euro 2024?
Wajerumani ndiyo wenyeji wa michuano ya Euro 2024. Watamudu kuonesha makali?
CAF: Michuano ya AFCON kuandaliwa mapema mwaka 2026
Shirikisho la Soka barani Afrika, CAF, limeisogeza mbele michuano ijayo ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON.
Ureno yaifunga Finland huku Italia ikikabana koo na Uturuki
Ureno yaifunga Finland huku Italia ikikabana koo na Uturuki
Uhispania yapania kuzima kelele za RFEF
Timu ya taifa ya Uhispania itawasili Ujerumani wakitaka kujiimarisha tena kama washindani wakuu wa kombe la Euro.
EURO 2024: Nagelsmann akiandaa kikosi chake
Nahodha wa Ujerumani Ilkay Gündogan, Florian Wirtz, Robert Andrich na Jonathan Tah wajiunga kwa mazoezi.
EURO 2024: Kikosi cha Uholanzi
Kocha wa timu ya taifa ya kandanda ya Uholanzi Ronald Koeman ataja kikosi cha EURO 2024.
Mkutano wa Eto'o na kocha wa Cameroon wageuka kuwa vurugu
Mkutano kati ya rais wa shirikisho la soka Samuel Eto'o na kocha mpya Marc Brys wageuka kuwa wa kutupiana maneno.
Mahakama ya ECJ: FIFA na UEFA zilitumia vibaya nafasi zao
Mahakama yaishutumu FIFA na UEFA kwa matumizi mabaya ya nafasi zao kuu na kuzuia ushindani.
Vincent Kompany kuteuliwa kuwa kocha wa Bayern Munich
Kompany anatarajiwa kumwaga wino kwa mkataba wa miaka mitatu ya kuinoa Bayern Munich hadi msimu wa mwaka 2027.
Paredi la ubingwa lasimamisha shughuli mjini Leverkusen
Leverkusen imeweka rekodi ya kibabe ya kutofungwa msimu huu ndani ya ligi kuu ya soka Ujerumani Bundesliga.
Manchester United yaahidi kufanya makubwa zaidi msimu ujao
Manchester United wamelipa kisasi cha fainali ya mwaka uliopita kwa kuifunga Manchester City 2-1 uwanjani Wembley.
Toni Kroos kutundika daluga baada ya EURO 2024
Kroos amekuwa na mchango muhimu kwa timu ya taifa na atawacha historia itakayokumbukwa katika sola la Ujerumani.
DW Michezo 20.05.2024
Mabingwa wapya wa Bundesliga Bayer Leverkusen wazilenga rekodi zaidi wakati wakijiandaa kwa fainali mbili zilizobaki msimu huu // Man City waweka rekodi mpya katika Ligi Kuu ya England wakati kocha Jurgen Klopp akiwaaga mashabiki wa Liverpool
Leverkusen waangazia macho fainali mbili zilizobaki
Leverkusen watacheza fainali ya Ligi ya Ulaya dhidi ya Atalanta na fainali ya DFB Pokal dhidi ya Kaiserslauten.
Leverkusen yasalia na mechi moja kuandika historia Ujerumani
Leverkusen imevunja utawala wa Bayern Munich wa kushinda mataji 11 mfululizo ya Bundesliga.
Michuano ya Kombe la EURO 2024 yakaribia
Zikiwa zimesalia wiki chache kuanza kwa mashindano EURO 2024 Juni 14 yatakayofanyika hapa Ujeurmani tayari baadhi ya mataifa yameanza kutangaza vikosi vyao. Waziri wa mambo ya ndani wa Ujerumani Nancy Faeser amesema vikosi vya usalama vimeajiandaa vyema kwa ajili ya mashindano hayo. Sikiliza mahojiano kati ya Suleman Mwiru na Josephat Charo.
Leverkusen kukamilisha msimu bila kupoteza mechi
Nyota wa tenis raia wa Chile Alejandro Tabilo ampiku Novak Djokovic na kushinda mashindano ya tenis ya Italian Open.
IRC: Mamilioni hawana chakula mataifa matatu kanda ya Sahel
Shirika la kimataifa la International Rescue Committee limesema mamilioni hawana chakula mataifa matatu kanda ya Sahel.
Union Berlin yamtimua kocha Nenad Bjelica
Bjelica alichukua mikoba kutoka kwa kocha wa zamani wa Union Urs Fischer
DW Michezo 29.04.2024
Mabingwa wa Bundesliga Bayer Leverkusen waendeleza rekodi yao ya kutoshindwa, huku zikiwa zimesalia mechi tatu msimu wa ligi kukamilika // Bayern na Dortmund zajiandaa kwa michuano muhimu ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuwa na msimu usioridhisha katika ligi ya nyumbani //Na utasikia kwa nini ramani iliyochorwa kwenye jezi ilisababisha mechi ya Kombe la SHiriksiho Afrika kufutwa
Ni Leipzig dhidi ya Dortmund Jumamosi hii, Usikose
Ligi Kuu ya Kandanda hapa Ujerumani - Bundesliga inaelekea ukingoni. Baada ya bingwa kujulikana sasa macho yote yamegeuka katika nafasi za kucheza kandanda la Ulaya. Kwa mengi zaidi kuhusu mechi za wikiendi hii Suleman Mwiru amezungumza na Bruce Amani kuhusu michezo ya wikiendi hii na ambao utatangazwa mubashara kupitia ukurasa wa Facebook wa DW Kiswahili na kupitia redio mbalimbali washirika.
TFF; Kinyang'ayiro kinaendelea
Kinyan'gayiro cha ubingwa, ligi kuu ya Tanzania kinaendelea kushika kasi.
Wanawake wenye ulemavu wajiunga na mchezo wa mpira wa mikono
Kutana na wanawake hawa wenye ulemavu waliamua kujiingiza kwenye mchezo wa mpira wa mikono na namna wanavyosakata mchezo huo.
Leverkusen washinda taji la kwanza la Bundesliga
Leverkusen iliifunga Werder Bremen 5 - 0 na kuuwekea kikomo utawala wa Bayern Munich wa miaka 11 mfululizo wa ligi kuu.
Tuchel kuisusa mechi inayoweza kuipa taji Leverkusen
Tuchel amesema atasubiri mechi kati ya timu yake na Arsenal kuwania kombe la mabingwa barani Ulaya.
Umuhimu wa kocha na mkufunzi bora kwa mchezaji
Katika michezo, nafasi ya kwanza inamaanisha ubingwa. Mbali na talanta unahitaji washauri na wakufunzi bora watakao kuongoza kufikia ubingwa. Hawa huchangia ushindi nyuma ya pazia na kumsaidia mchezaji kuvikabili vikwazo na ukiritimba unaojitokeza katika safari ya mashindano. #vijanamubashara
Rudi Völler arefusha mkataba DFB
Rudi Völler arefusha mkataba na shirikisho la soka DFB hadi mwaka 2026.
Bundesliga: Leverkusen wakaribia ubingwa
Bayer Leverkusenyapania kubeba taji lao la kwanza la Bundesliga.
Bayern kuwakosa wachezaji muhimu dhidi ya Heidenheim
Kocha Thomas Tuchel amesema Bayern lazima washinde kama wako tayari kwa mechi ya ligi ya mabingwa wa Ulaya, Champions.
Alonso asema muda wa Bayer Leverkusen kufurahia ushindi bado
Kocha wa Bayer Leverkusen, Xabi Alonso, amesema ni mapema mno kuanza kusherehekea ushindi wa Ligi Kuu ya Ujerumani.
Florian Wirtz haondoki Leverkusen msimu ujao
Wirtz amekuwa akiwindwa na vilabu mashuhuri vilivyotaka kumsajili msimu ujao.
Dortmund yaizika nia ya Bayern kushinda ligi
Leverkusen inahitaji alama tisa kutawazwa mabingwa wa Bundesliga bila kujali matokeo watakayoyapata Bayern.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 9
Ukurasa unaofuatia