You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Euro milioni 400 kusaidia wahanga wa mafuriko Ujerumani
Baraza la Mawaziri nchini Ujerumani limeidhinisha kitita cha mamilioni ya Euro kuwasaidia wahanga wa maafa ya mafuriko
Usimamizi wa maji Ujerumani: Kati ya mafuriko na ukame
Maji ni rasilimali muhimu kwa maisha, lakini yanaweza kugeuka hatari inayosababisha maafa.
Merkel atembelea jimbo lingine lililokumbwa na mafuriko
Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amelitembelea jimbo la North Rhine Westphalia kutoa pole kwa wahanga wa mafuriko.
Ujerumani yatakiwa kujiandaa zaidi dhidi ya majanga
Kumeripotiwa zaidi ya vifo 150 kutokana na janga la mafuriko magharibi mwa Ujerumani na uharibifu mkubwa wa mali.
Merkel aahidi msaada kwa waliokumbwa na mafuriko
Kansela Merkel amesema serikali ya Ujerumani itashirikiana na serikali za majimbo yaliyoathirika kwa mafuriko.
Ujerumani: Vifo kutokana na mafuriko vyapindukia watu 140
Ujenzi utakaogharimu mabilioni ya Euro wasubiriwa kutokana na uharibifu mkubwa uliosababishwa na mafuriko.
Afrika katika magazerti ya Ujerumani
Princess Marilyn Douöa Manga Bell wa Cameroon amechaguliwa mwaka huu kutunukiwa medali ya Goethe.
Biden na Merkel wakutana mjini Washington
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel aliye ziarani nchini Marekani amefanya mkutano na mwenyeji wake, rais Joe Biden
Mvua kubwa na mafuriko yasababisha maafa nchini Ujerumani
Mvua kubwa na mafuriko yasababisha maafa nchini Ujeruamni
Kansela Merkel awasili katika Ikulu ya Marekani
Merkel awasili Ikulu ya Marekani
Viongozi wataka hatua za karantini ziondoshwe Ujerumani
Pana wasi wasi unaosababishwa na kuzidi kuenea kwa maambikizi ya virusi vipya aina ya Delta katika nchi kadhaa.
Iran yasema itaanza kurutubisha madini ya Urani
Mazungumzo juu ya kufufua mkataba wa nyuklia yaliyofanyika mjini Vienna, Austria yalikwama mwezi uliopita.
Ujerumani kulegeza masharti kwa wasafiri kutoka Uingereza
Ujerumani itaendelea kuweka masharti makali ya udhibiti kwa nchi kadhaa za Afrika na Amerika ya Kusini.
Ujerumani, Uhispania, Sweden zataka kupunguzwa nyuklia
Wameyasema hayo wakati kukiwa na mkutano unaofanyika leo mjini Madrid kuhusu uangamizaji wa silaha ya nyuklia.
Merkel asema ana wasiwasi na idadi ya mashabiki viwanjani
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amefanya mazungumzo wa Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson.
Hati ya kusafiri ya corona yatatizwa na kirusi cha Delta
Hati ya kusafiri ya Covid-19 ya Umoja wa Ulaya imeanza kutekelezwa
Ujerumani yawaondoa wanajeshi wake wote Afghanistan
Wanasiasa wa Afghanistan wakosoa hatua ya kuondolewa wanajeshi wa kigeni
Ujerumani imeliondoa jeshi lake la mwisho Afghanistan
Ujerumani imeliondoa jeshi lake la mwisho Afghanistan
Kundi la G20 lahimiza ushirikiano wa kupambana na COVID-19
Mkutano huo9 unafanyika wakati mataifa ya Afrika yakiwa yanatafuta msaada wa kuendeleza miundombinu ya matibabu.
Polisi Ujerumani yachunguza shambulizi la kisu
Watu watatu waliuawa katika duka moja katikati mwa mji wa Wuerzburg Ijumaa na wote walikuwa wanawake
Umoja wa Ulaya washindwa kukubaliana mkutano na Putin
Urusi imeuita uamuzi huo kuwa matokeo ya Umoja wa Ulaya kuchukuliwa mateka na "wachokozi walio wachache".
Merkel ajibu maswali ya wabunge kwa mara ya mwisho
Mwanasiasa huyo mhafidhina ametawala siasa za Ujerumani kwa miaka 15, na hatowania tena uongozi katika uchaguzi ujao.
Marekani: Uchaguzi Libya ni suala la msingi
Wito umetolewa kwa mataifa yenye wanajeshi wa kigeni nchini Libya kuwaondoa ili kuruhusu uchaguzi kufanyika kwa amani.
CDU-CSU wazinduwa ilani ya uchaguzi wa Septemba
Kansela Angela Merkel asema ni lazima kuakisi mabadiliko yaliyojiri kutokana na janga la corona.
Mtambo wa umeme wa nyuklia nchini Iran wafungwa kwa dharura
Mtambo huo umekuwa unakabiliwa na matatizo mnamo miezi ya hivi karibuni na hitilafu imetokana na kukosekana vipuri.
Armin Laschet: Kwa Urusi 'unapaswa kuzungumza zaidi'
Laschet amesema katika mahojiano maalum na DW kuwa mkakati wa Berlin kuelekea utawala wa Moscow pia unategemea washirika
Viongozi wa G7 waahidi dozi bilioni 1 dhidi ya COVID-19
Viongozi wa G7 wamaliza mkutano wa kilele huku wakiahidi dozi bilioni moja ya chanjo dhidi ya COVID-19 kwa nchi masikini
G7: Viongozi kuongeza fedha za kukabiliana na hali ya hewa
Watetezi wa mazingira nchini Uingereza wasema wamechoshwa na ahadi upepo.
CDU wapata ushindi mkubwa Saxony-Anhalt
Matokeo hayo ya CDU katika jimbo la Saxony-Anhalt yamempiga jeki atakayekuwa mrithi wa Merkel katika nafasi ya ukansela
Uchaguzi wa jimbo la Saxony-Anhalt mtihani kwa chama cha CDU
Iwapo chama cha AfD kitashinda matokeo hayo yatakuwa pigo kubwa kwa chama cha kihafidhina cha CDU.
Mawaziri wa Fedha wa nchi za G7 wakutana jijini London
Waziri wa fedha wa Ujerumani Olaf Scholz amesema kampuni zote, bila ya walakini zitapaswa kufuata sheria mpya.
Ulaya yataka majibu madai ya udukuzi wa Marekani na Denmark
Mataifa ya Ulaya yametaka kupatiwa majibu kufuatia ripoti kuwa Marekani iliwapeleleza viongozi wa nchi hizo washirika
Ujerumani kusaidia utengenezaji chanjo Afrika Kusini
Waziri wa Afya wa Ujerumani Jens Spahn ameyasema hayo wakati wa ziara yake Afrika Kusini mwishoni mwa wiki
Itachukua muda mrefu kwa vidonda kupona
Maridhinao yatakuwa na maana ikiwa serikali ya Ujerumani na iwajerumani wataitilia maanani historia yao nchini Namibia.
Ujerumani yatambua kufanya mauaji ya kimbari Namibia
Ujerumani hatimaye yakiri kufanya mauaji ya kimbari Namibia na kuahidi kuilipa fidia ya kifedha ya euro bilioni 1.1.
Warithi wa Merkel watofautiana kuhusu China, Urusi
Armin Laschet na Annalena Baerbock wanakubaliana kuhusu masuala kadhaa lakini siyo kuhusu China na Urusi.
Kuanzia Juni 7 chanjo kwa wote Ujerumani
Kuanzia Juni 7 chanjo kwa wote Ujerumani
Walioteswa Belarus wamshtaki Lukashenko Ujerumani
Watu 10 wawasilisha malalamiko ya jinai dhidi ya kiongozi wa Belarus, Alexander Lukashenko.
SPD yamchagua Olaf Scholz kugombea ukansela
Olaf Scholz anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Annalena Baerbock wa chama cha watetezi wa mazingira.
Ujerumani yapinga kuondoa ulinzi wa hatimiliki za chanjo
hatimiliki zimekuwa chanzo cha ubunifu na zinapaswa kusalia hivyo katika siku za usoni.
Raia wa Belarus wamshtaki Lukashenko Ujerumani
Kundi la raia wa Belarus limefungua kesi ya uhalifu nchini Ujerumani dhidi ya rais Alexander Lukanshenko na wafuasi wa c
Merkel aitaka China kuzungumzia haki za binaadamu
Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel ametoa wito wa kuanza tena mazungumzo ya haki za binaadamu na China.
Kwa kiwango gani Ujerumani inautambua uovu wa ukoloni wake?
Mauaji, uporaji wa sanaa, wizi wa mafuvu: maneno yanayotumika kuitaka Ujerumani kutambuwa historia yake ya kikoloni.
Chanjo ya Covid kuwafikia watu wote Ujerumani kufikia Juni
Chanjo ya Covid kuwafikia watu wote Ujerumani kufikia Juni
Ujerumani: Serikali kuu kuongoza vita dhidi ya COVID-19
Kansela Merkel aliiandaa sheria hiyo baada ya majimbo kukataa kuweka hatua kali zaidi licha ya ongezeko la maambukizi.
CDU yamchagua Laschet kuwa mgombea wa ukansela
Baraza Kuu la chama cha CDU Ujerumani limemchagua Armin Laschet kuwa mgombea wa ukansela katika uchaguzi mkuu ujao.
Annalena Baerbock mgombea ukansela wa chama cha Kijani
Annalena Baerbock anachukuliwa kama mtu mwenye maamuzi, shujaa, mwenye malengo makuu na anaejiamini.
Hali tete ya kisiasa Ujerumani, kulikoni?
Chama cha watetezi wa mazingira cha Ujerumani, Die Grüne kimemteua Annalena Baerbock kuwa mgombea wake wa ukansela katika uchaguzi mkuu wa mwezi Septemba. Huku kambi ya wahafidhina ya vyama vya CDU na CSU bado ikiwa inayumba katika hatua hiyo. Mchambuzi wa siasa za hapa Ujerumani ambae pia ni mwandishi habari mkongwe, Abdul Mtullya anachambua, akianza na kwanini hali imekuwa hivyo?
Wahafidhina Ujerumani washindwa kuafikiana mgombea ukansela
Walinzi wa Mazingira waweka kwa mara ya kwanza mgombea wa nafasi ya ukansela kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Septemba.
Idadi ya vifo vya COVID-19 duniani yapindukia milioni 3
Idadi ya watu waliokufa duniani kutokana na ugonjwa wa COVID-19 imepindukia milioni tatu kufikia Jumamosi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 15 wa 46
Ukurasa unaofuatia