You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Zelensky, Macron, Merkel wazungumzia Ukraine mashariki
Urusi yasema haina dira inayofanana na Marekani wala yenye maslahi ya pamoja.
Ujerumani yataka hatua kali kuzuia wimbi la tatu la Corona
Maafisa nchini Ujerumani wameonya kwamba nchi hiyo inahitaji mikakati ya haraka kudhibiti wimbi la tatu la Corona
Ujerumani yakubaliana hatua sawa kudhibiti corona
Hatua hizo zitalazimika kufuatwa na majimbo yote 16 na kuondowa ule mfumo uliokuwepo wa kila jimbo kufuata mkondo wake.
Marekani kuongeza wanajeshi 500 zaidi Ujerumani
Hatua huyo ni ishara ya kuachana na maamuzi ya rais wa zamani Donald Trump, alietangaza kuondoa maelfu ya wanajehi.
Laschet na Soeder wawania nafasi ya Merkel
Duru za CDU zinasema kuwa chama hicho cha Merkel kimemuunga mkono Laschet kuwa kugombea wadhifa wa ukansela
Maoni: Manifesto ya AfD ni hatari kwa Ujerumani
Chama cha siasa kali za mrengo wa kulia nchini Ujerumani cha AfD kimeanza kampeni za uchaguzi mkuu mwaka huu kwa kushamb
Kiongozi wa CSU yuko tayari kuwania ukansela
Kiongozi wa chama cha CSU cha nchini Ujerumani Markus Soeder amesema yuko tayari kuwa mgombea wa ukansela.
Ujerumani kuweka sheria ya kitaifa kudhibiti COVID-19
Viongozi wa Ujerumani wamekubaliana kuipa makali sheria ya kitaifa dhidi ya virusi vya corona
Steinmeier ahimiza mshikamano kwa wajerumani
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier amesema raia wa taifa hilo wanapaswa kushikamana wakati wa kadhia ya corona.
Iran yapinga kuondolewa vikwazo hatua kwa hatua
Iran yasema ina imani kuhusu mazungumzo zaidi ya wiki ijayo juu ya makubaliano ya nyuklia yatakayofanyika mjini Vienna.
Merkel: Hatua zilizoko sasa hazitoshi kudhibiti COVID-19
Merkel: Hatua zilizoko sasa hazitoshi kudhibiti COVID-19
Matumaini ya kufufua mazungumzo ya nyuklia yazidi kudidimia
Wanadiplomasia wasema Iran imeweka msimamo mkali kabla ya kurudi kwenye mazungumzo hayo.
Wanajeshi wa Ujerumani kuendelea kuwepo nchini Afghanistan
Askari hao wamekuwapo nchini Afghanistan kwa muda wa miongo miwili. Jee uwepo wao umeleta manufaa yoyote?
Viongozi wa Ulaya kuongeza kutengeneza chanjo ya COVID-19
Viongozi wa Ulaya wakubaliana kuongeza utengenezaji wa chanjo ya COVID-19 barani Ulaya.
Merkel alihutubia bunge baada ya kuondoa vizuizi vya Pasaka
Merkel alihutubia bunge baada ya kuondoa vizuizi vya Pasaka
Chama cha Merkel chapoteza umaarufu Ujerumani
Kura ya maoni iliyotolewa Jumatano imeonyesha kuwa chama cha Kihafidhina cha Christian Democratic Union CDU.
Marekani yaonya kuhusu vikwazo kwa mradi wa Nord Stream 2
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken amemwambia mwenzake wa Ujerumani Jumatano kuwa, kuna uwezekano
Merkel abatilisha mpango wa kufunga maduka wakati wa Pasaka
Merkel abatilisha mpango wa kukaza sheria wakati wa Pasaka baada ya ukosoaji mkali
Ujerumani kufunga kabisa shughuli wakati wa pasaka
Idadi ya visa vilivyothibitishwa vya maambukizi hadi Machi 22 nchini Ujerumani iliongezeka na kufikia milioni 2,667,225.
Waziri wa afya wa Ujerumani kuchunguzwa kashfa ya barakoa
Inaelezwa makubaliano hayo yalifanyika kati ya serikali na ofisi ya mume wa waziri Spahn, Daniel Funke.
AstraZeneca: Madaktari wagundua chanzo cha mvilio wa damu
Wanasanyasi wanasema wamegundua kisababishi cha kuganda kwa damu na kwamba tiba makhsusi inaweza kutumika.
Ujerumani kuanza chanjo katika ngazi ya kaya.
Ujerumani kutoa chanzo kuanzia ngazi ya kaya kwa mwezi ujao
Kifo cha Magufuli chatawala magazeti ya Ujerumani
Magazeti ya Ujerumani yaliyojishughulisha kuliangalia bara la Afrika wiki hii yameandika juu ya kifo cha rais Magufuli
Ujerumani haina chanjo za kutosha
Waziri wa afya wa Ujerumani ameonya kuwa hakuna chanjo za kutosha Ulaya za kuthibiti wimbi la COVID-19.
Maoni: Chanjo ya AstraZeneca isiondolewe kabisa
Nchi zinakuwa waangalifu zinapozuia chanjo ya COVID-19 ya AstraZeneca, lakini hilo halimaanishi chanjo hiyo sio salama.
Madaktari Ujerumani waonya usitishaji chanjo ya AstraZeneca
Madaktari Ujerumani waonya kusimamisha kwa muda chanjo ya COVID-19 ya AstraZeneca kunaweza kuchelewesha utoaji chanjo.
Wataalamu wa WHO kukutana kuijadili chanjo ya AstraZeneca
Hatua hiyo ni kutokana na hofu yachanjo hiyo kusababisha kuganda damu kwenye mishipa.
Maoni: Wahafidhina wa CDU njia panda
Baada ya matokeo mabaya ya kihistoria katika chaguzi za majimbo za Baden-Württemberg na Rhineland Palatinate, Wahafidhin
Chama cha CDU cha Merkel chapata pigo chaguzi za majimbo
Chama cha Kijani kimeshinda Baden-Württemberg huku Social Democratic SPD kikiibuka kidedea Rheinland-Palatinate.
Wabunge Ujerumani wajiuzulu baada ya kashfa ya barakoa
Wabunge watangaza kujizulu baada ya kashfa ya barakoa
Marekani:Baraza la Seneti lapitisha mpango wa kufufua uchumi
Fedha hizo ni kwa ajili ya kuwasaidia wafanyakazi na wafanyabiashara walioathiriwa na janga la corona.
Ujerumani kulegeza kwa hatua vizuizi vya COVID-19
Pamoja na kzulegezwa vizuizi, serikali ya shirikisho ilitangaza kufungwa kwa shughuli kutaendelea hadi Machi 28.
Morocco yakata ushirikiano na ubalozi, taasisi za Kijerumani
Chanzo ni msimamo wa Ujerumani kuelekea Sahara ya Magharibi na kutohusishwa Morocco kwenye mkutano wa amani ya Libya.
Mbunge wa Ujerumani na kashfa ya rushwa manunuzi ya barakoa
Bunge la Ujerumani limepiga kura ya kumuondolea kinga ya mashtaka, mbunge wake huyo kutokana na tuhuma zinazomkabili.
Viongozi wa Ulaya kutoondoa haraka vizuizi vya Covid-19
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamesema kuwa vizuizi vikali vya kusafiri vinapaswa kuendelea kutekelezwa.
Mahakama ya Ujerumani yamhukumu afisa wa zamani wa Syria
Hukumu hiyo iliyotolewa katika mahakama ya mjini Koblenz nchini Ujerumani ni ya kwanza na ya aina yake ulimwenguni.
Ujerumani yasambaza chanjo ya corona
Ujerumani yaendelea kusambaza chanjo na kufunguwa skuli.
Mahusiano ya Ujerumani-Ethiopia yayumba kuhusu Tigray
Ujerumani hutumia diplomasia katika kushinikiza amani, lakini baadhi ya wachambuzi wanasema hiyo haitoshi.
Umoja wa Mataifa walaani matumizi ya nguvu Myanmar
Umoja wa Mataifa umelaani matumizi ya nguvu yanayofanywa na waliohusika na mapinduzi ya kijeshi Myanmar.
Chanjo ya Covid-19 yaleta ahueni Israel
Israel imeanza leo (21.02.2021) kuondoa sehemu kubwa ya vizuizi ilivyoweka kukabiliana na janga la virusi vya corona.
Viongozi wa G7 kujadili juu ya chanjo, uchumi na China
Kiongozi mwingine mpya atakayehudhuria mkutano huo ni waziri mkuu wa Italia Mario Draghi.
New Zealand yafunga shughuli kufuatia visa vya COVID-19
New Zealand ilikuwa imefanikiwa pakubwa kudhibiti maambukizi ya COVID-19 ikilinganishwa na mataifa mengine duniani.
Merkel: Maambukizi mapya ya COVID-19 yanapungua Ujerumani
Serikali ya Ufaransa imesema haitoanzisha hatua mpya za kufunga shughuli za umma katika kuzuia kasi ya maambukizi.
Maambukizi ya corona yamepindukia milioni 100 ulimwenguni
Mwaka moja tangu kisa cha kwanza kuripotiwa Ujerumani.
Vifo vya corona vyapindukia 50,000, Ujerumani
Kulingana na taasisi ya kudhibiti magonjwa ya kuambukiza ya Robert Koch, Ujerumani imerekodi idadi hiyo ya vifo Ijumaa.
WHO: Nchi tajiri acheni kujilimbikizia chanjo za COVID -19
Maambukizi ya virusi vipya vya corona pia yamezua wasiwasi miongoni mwa nchi mbalimbali barani Ulaya.
Uturuki kuimarisha uhusiano wake na Umoja wa Ulaya
Uturuki kuimarisha uhusiano wake na Umoja wa Ulaya
Ujerumani: Armin Laschet ni mwenyekiti mpya wa CDU
Armin Laschet auchungulia ukansela wa Ujerumani baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa chama cha Kansela Merkel.
Biden azindua mpango wa uokozi wa dola trilioni 1.9
Rais mteule wa Marekani, Joe Biden azindua mpango wa uokozi wa dola trilioni 1.9 kwa ajili ya kuufufua uchumi.
Idadi ya vifo vitokanavyo na corona yapanda Ujerumani
Idadi ya vifo vitokanavyo na corona yapanda Ujerumani
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 16 wa 46
Ukurasa unaofuatia