You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Makamu wa rais wa Marekani asema hataitumia ibara ya 25
Wabunge kadhaa wa Republican wasema wataungana na wademocratic kuidhinisha mashtaka ya kumwondoa madarakani Trump.
Polisi Ujerumani yavunjwa soko haramu la mtandaoni
Mwendeshaji wa mtandao wa darknet, rais wa Australia alikamatwa kwenye mpaka kati ya Ujerumani na Denmark.
Shirika la Frontex lakiuka haki za binadamu eneo la Balkan?
Shirika la Frontex lalaumiwa na wakimbizi na wahamiaji kwa kuhusika na kuwarudisha makwao kinyume cha sheria.
Biden kumteua Merrick Garland kuwa mwanasheria mkuu
Joe Biden ametangaza rasmi kwamba atamteua Jaji Merrick Garland kuwa mwanasheria mkuu wa Marekani.
Ujerumani yaelezea wasiwasi kuhusu nyuklia
Heiko Maas amesema kuna "hatari kubwa" katika kupunguza matumizi ya silaha za nyuklia.
Ujerumani:Hatua za kupambana na virusi vya corona zarefushwa
Ujerumani: Shule na biashara zisizo za lazima kuendelea kufungwa katika kuzuia kusambaa kwa virusi vya corona
Janga la Virusi vya Corona bado kuzungumkuti
Ujerumani yarefusha muda wa kufunga shughuli za kimaisha hadi Januari 31 ili kudhibiti kusambaa kwa virusi hivyo.
Corona: Nchi zazidisha vikwazo kudhibiti maambukizi
Maambukizi ya virusi vya corona yanazidi kuongezeka kote duniani sawia na wale wanaokufa kutokana na virusi hivyo, jambo
Ujerumani yauza silaha za €1 bilioni Mashariki ya Kati
Ujerumani yaidhinisha mauzo ya silaha ya zaidi ya euro bilioni moja kwenye nchi zinazohusika na mizozo Yemen na Libya.
Merkel: Mwaka 2020 ndio mgumu zaidi wa uongozi wangu
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel katika hotuba yake ya mwisho ya mwaka mpya kwa taifa la Ujerumani, amewashambulia wal
Europol : Uhalifu dhidi ya watoto mitandaoni waongezeka
Mkuu wa shirika la polisi la Ulaya amesema visa vya uhalifu wa kuwadhalilisha watoto kingono mitandaoni vinaongezeka.
Chanjo zaanza kutolewa katika Umoja wa Ulaya
Nje ya Umoja wa Ulaya, mataifa ya Uingereza, Uswisi na Serbia, tayari yameanza kutoa chanjo hiyo pia.
Nchi za Umoja wa Ulaya zapokea chanjo za kwanza za Covid-19
Watu walio hatarini zaidi na wahudumu wa afya ndio watakaoanza kupewa chanjo hiyo.
Steinmeier: Hali ni ngumu lakini Ujerumani itashinda
Steinmeier anasema licha ya changamoto kubwa za corona, Ujerumani inaweza kupambana na kuibuka mshindi.
Marufuku ya safari dhidi ya Uingereza yaanza kuondolewa
Rais Donald Trump ameukataa mpango mkubwa wa misaada ya kiuchumi uliopitishwa na bunge akiutaja kuwa ni fedheha
Navalny atumia ujanja kupata taarifa za jaribio la kumuua
Jasusi huyo ameelezea mbinu iliyotumika ya kunyunyiza sumu kwenye nguo ya ndani ya Alexai Nalvany.
Mataifa kadha yajaribu kuunusuru mkataba wa nyuklia na Iran
Rais huyo mteule wa Marekani anatarajiwa kuapishwa tarehe 20 Januari.
Ubelgiji na Uholanzi zapiga marufuku ndege kutoka Uingereza
Hofu kufuatia aina mpya ya kirusi cha corona kinachosambaa kwa kasi
UN: Ujerumani ni chachu ya amani Duniani
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameipongeza Ujerumani kwa kuwa chachu ya amani na nguzo ya ushirikiano wa kimataifa.
Ulaya kuanza kutoa chanjo pamoja
Maambukizi katika mataifa hayo imeendelea kuwa mbaya na kuanza kuchukuliwa hatua kali za kudhibiti maambukizi.
Ulaya yaimarisha vizuizi kukabiliana na corona
Nchi za Ulaya zinapanga kulegeza kidogo masharti hayo mnamo tarehe 25 na tarehe 26 kwa ajili ya Krismasi.
COVID-19: Karantini yaanza Ujerumani
Wakati huo huo idadi ya vifo kutokana na ugonjwa wa Covid -19 imeongezeka hapa nchini Ujerumani.
Wenye mzio wadhurika na chanjo ya Pfizer, Uingereza
Robert koch yaripoti visa vipya 16,362, ikiwa ni ongezeko la visa 4,000 zaidi ikilinganishwa na wiki iliyopita.
Ujerumani huenda isiondoe zuio la COVID-19 Januari 10
Mkuu wa utumishi wa ofisi ya Merkel amesema hatua ya kuzifunga shughuli za umma huenda zisiondolewe Januari 10.
Corona:Vizuizi vipya kuanza wiki ijayo nchni Ujerumani
Hizi ni juhudi za kukabiliana na kusambaa kwa virusi vya corona kwa mujibu wa rasimu ya mapendekezo ya serikali.
Marekani kuanza kutoa chanjo ya COVID-19 Jumatatu
Maafisa wa Marekani wamesema chanjo ya virusi vya corana itaanza kutolewa kwa mara ya kwanza kesho Jumatatu.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Wasiwasi huo wa kuongezeka umasikini arani Afrika ni kutokana na janga la maambukizi ya virusi vya corona.
Urusi yatakiwa kuondoa vikosi vya Jeshi Crimea
Baraza kuu la Umoja wa Mataifa limeridhia azimio la kuitaka Urusi kuondoa vikosi vyake vya jeshi Crimea
Ujerumani: Chanjo ya COVID-19 kuanza Januari
Chanjo ya virusi vya corona kuanza kutumika mwanzoni mwa Januari, 2021 nchini Ujerumani.
Uingereza yakamilisha maandalizi utoaji chanjo ya COVID-19
Chanjo ya virusi vya corona ambayo imetengenezwa na kampuni za Pfizer-BioNTech sasa inasambazwa nchini Uingereza.
Ujerumani yaionya NATO kuhusu kuimarika kwa China kijeshi
Ameutaka pia muungano huo kuwahakikishia raia wa Afghanistan kwamba watapata haki zao.
Ujerumani inaweza kumshtaki Assad kwa uhalifu wa kivita
Waendesha mashtaka wa Ujerumani wanachunguza ushahidi wa matumizi ya kemikali katika vita vya Syria.
Merkel: Bado vizuizi vya kudhibiti corona vitaendelea kuwepo
Huenda masharti ya kukabiliana na virusi vya corona vikaendelea hadi mwezi Machi
Angela Merkel: Miaka 15 kama Kansela wa Ujerumani
Ni miaka 15 tangu Merkel aingie ofisini. DW imetupia jicho muda wake kasizini
Joe Biden kuteuwa baraza lake la kwanza la mawaziri
Joe Biden kuteuwa baraza lake la kwanza la mawaziri
Ushindi wa Joe Biden: Huruma imeshinda urais
Joe Biden ameshinda uchaguzi wa rais kwa sababu anaonekana kujali, wanasema wachambuzi.
Joe Biden: Tunaelekea kushinda kinyang'anyiro hiki
Joe Biden bado anahitaji uvumilivu
Corona yaendelea kulisakama bara la Ulaya na Marekani
Ujerumani imethibitisha maambukizi mapya zaidi ya 21,000 ndani ya siku moja, kiwango cha juu kuwahi kushuhudiwa.
Trump adai kushinda asipoibiwa na chama cha Democratic
Trump adai kushinda asipoibiwa na chama cha Democratic
Uchaguzi Marekani: Biden ashinda jimbo la Michigan
Timu ya kampeni ya Trump inasema maafisa wa uchaguzi waliwazuia mawakala wao
Trump na Biden wapelekana bega kwa bega
Majimbo ya Pennsylvania, Florida na Ohio kuamua mshindi
Wimbi jipya la COVID-19 lazusha taharuki barani Ulaya
Hasira na wasiwasi unaongezeka barani Ulaya kutokana na kurejea tena kwa vizuizi vikali vya kukabiliana na COVID-19.
Chama cha CDU kumchagua mrithi wa Merkel Januari
Katibu Mkuu wa chama tawala cha Christian Democratic CDU nchini Ujerumani Paul Ziemiak ametangaza kuwa chama hicho kimea
Maambukizi mapya ya Covid-19 yavunja rekodi Ulaya,Marekani
Marekani yavunja rekodi ya maambukizi, Huku Ulaya ikiwa na wasiwasi kutokana na wimbi la pili la ugonjwa wa Covid -19.
Corona yaendelea kuwa pasua kichwa
Maambukizi ya virusi vya corona yanazidi kuongezeka sehemu mbali mbali duniani.
Janga la COVID-19 laiweka Ulaya njiapanda
Mataifa ya bara la Ulaya yameendelea kuzidisha makali ya hatua za kukabiliana na janga la virusi vya corona.
Maambukizi ya virusi vya corona yazua hofu nchini Ujerumani
Suala hilo linaweza kuleta mdororo wa uchumi nchini Ujerumani
Ujerumani kuongeza mbinyo mapambano ya COVID-19
Kansela Angela Merkel na viongozi wa majimbo 16 ya Ujerumani wamekubaliana kuongeza makali ya amri ya kuvaa barakoa
Maambukizi ya virusi vya corona yaongezeka duniani
Maambukizi ya virusi vya corona yanaendelea kuongezeka katika nchi mbali mbali
Maambukizi ya Corona yaongezeka Ulaya na Amerika Kusini
Katika nchi za Amerika ya Kusini na Carebbean idadi ya watu walioambukizwa meipindukia watu milioni 10.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 17 wa 46
Ukurasa unaofuatia