You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wajerumani wanasubiri kwa hamu serikali mpya ya muungano
Wajerumani wanasubiri kujua chama kitakachounda serikali ijayo ya muungano baada ya uchaguzi wa Jumapili.
Vyama vyaanza mchakato wa kuunda serikali Ujerumani
Chama cha Kijani, die Grüne na kile cha kiliberali kinachoegemea masuala ya biashara FDP nchini Ujerumani, vimeanza mazu
Wajerumani hawataki kuongozwa la Laschet
Uchunguzi wa maoni uliofanyika unaonyesha wajerumani wengi wakiwemo wana CDU hawamtaki Armin Laschet kuwa Kansela
Laschet asema muungano wa CDU/CSU wahitaji kujifufua upya
Mgombea ukansela wa Ujerumani kupitia chama cha CDU Armin Laschet amesema chama hicho kinahitaji kujifufua upya.
Wapiga kura wa Ujerumani waamua kuchagua mabadiliko
Nani wataunda serikali ijayo ya Ujerumani ndicho kitendawili kinachosubiri jibu
Vyama Ujerumani kuanza mazungumzo kuunda serikali ya mseto
Vyama vinne vya Ujerumani vinajiandaa kwa mazungumzo ya kuunda serikali ya muungano .
Ujerumani kuwa na serikali nyengine ya mseto
Uwezekano ni ama serikali ya mseto wa vyama vikubwa ama chama kimoja kikubwa na viwili vidogo vidogo.
Maoni: Kubalini, Ujerumani inataka mabadiliko
Wapiga kura wameutikisa uwanja wa kisiasa nchini Ujerumani. Wameonyesha kwamba utawala wa vyama vya Kihafidhina vya CDU
Makadirio yaonesha mchuano mkali kati ya CDU/CSU na SPD
Muungano wa CDU/CSU umefungana na chama cha SPD kwa asilimia 25 ya kura kila mmoja kwa mujibu wa makadirio ya awali.
Ujerumani yasubiri matokeo ya uchaguzi
Wajerumani wanaendelea na zoezi la upigaji kura.Tayari wagombea wakuu wa Ukansela wote wameshapiga kura maeneo tofauti.
Wajerumani wapiga kura
Kinyang'anyiro ni kigumu kati ya wagombea wa CDU/CSU na SPD
Ni kina nani wagombea watatu wa Ukansela Ujerumani ?
Vyama saba ndiyo vinapewa nafasi ya kupata viti Bungeni na vyama vitatu ndiyo vimesimamisha wagombea wa Ukansela .
Wajerumani kupiga kura leo kuchagua bunge na Kansela
Wajerumani kupiga kura leo kuchagua bunge na Kansela
Wagombea washiriki mdahalo wa mwisho Ujerumani
Wagombea kutoka vyama vyote saba vikuu kwenye uchaguzi wa Ujerumani wameshiriki mdahalo wa mwisho wa televisheni usiku w
Chama cha SPD bado kinaongoza kwenye kura ya maoni
Umaarufu wa chama cha SPD umepungua
Wagombea wa Ukansela Ujerumani wachuana kwenye mdahalo
Wagombea watatu wa nafasi ya Ukansela nchini Ujerumani wamechuana usiku wa Jumapili kwenye mdahalo wa mwisho.
Msuguano wazidi kati ya pande mbili za uongozi wa Taliban
Msuguano waongezeka kati ya pande mbili za uongozi wa Taliban.
Urusi yakamilisha ujenzi wa bomba la gesi la Nord Stream 2
Mradi huo wa Urusi utaongeza mauzo ya gesi katika nchi za nje. Hata hivyo bomba hilo halipitii kwenye ardhi ya Ukraine.
Merkel: CDU inao mlima wa kupanda kushinda uchaguzi ujao
Kansela wa Merkel asema anajua chama chake kina kazi ngumu kuweza kushinda uchaguzi ujao baada ya miaka 16 madarakani.
Macron na jinsi anavyoufatilia uchaguzi wa Ujerumani
Ufaransa inaufatilia kwa karibu uchaguzi wa Ujerumani na matokeo yake katika ushirikiano kwa mustakabali wa Ulaya.
Nchi za Magharibi hazijaridhishwa na serikali ya Taliban
Ujerumani, China, Japan na Umoja wa Ulaya hawakuridhishwa na serikali mpya ya mpito iliyoundwa na Taliban nchini Afganis
Kansela Merkel amnadi mgombea ukansela Armin Laschet
Merkel amesema inachihitaji Ujerumani kwa sasa ni nidhanu ya kifedha, uaminifu, ambavyo vinaweza kutolewa na CDU/CSU.
Ni upi urathi wa sera ya kigeni ya Merkel?
Katika miaka yake 16 kama Kansela, Angela Merkel ameweka alama yake kwenye sera ya kigeni ya Ujerumani.
Merkel ashtushwa na kifo cha balozi wa Ujerumani kwa China
Merkel ashtushwa na kifo cha balozi wa Ujerumani kwa China
Maoni: Demokrasia ya Afghanistan imegeuka ya kadri
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Heiko amekiri kuwa kuna haja ya kuzungumza na Taliban. Ni njia ngumu isiyoepukika.
WHO yafungua kituo kipya cha kufwatilia magonjwa ya milipuko
Lengo ni kuunganisha utaalamu,zana na teknolojia ili kukabiliana na magonjwa ya mlipuko katika siku za usoni.
Wagombea ukansela Ujerumani wachuana katika mdahalo
Wagombea watatu wa ukansela katika uchaguzi ujao wa Septemba wamechuana katika mdahalo wa kwanza wa televisheni.
Marekani yaonya kuhusu kitisho cha kuaminika Kabul
Marekani imeonya kuwa kuna kitisho cha kuaminika karibu na uwanja wa ndege wa Kabul na imewataka wananchi wake kuondoka.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Mwogeleaji Husnah Kukundakwe mwenye umri wa miaka 14 awa mtu maarufu nchini Uganda
Mgombea wa Ukansela wa CDU Armin Lachet atakiwa aachie ngazi
Je Armin Lachet anapaswa kubebeshwa lawama za kuanguka kwa umaarufu wa chama cha kihafidhina cha CDU?
Olaf Scholz: Upendeleo wa uhalisi juu ya nafsi
Hakuna anaetilia mashaka uzoefu wake --- lakini wengi wanasema kuna kitu kinakosekana.
Armin Laschet anataka kuwa kansela wa Ujerumani
Waziri mkuu wa jimbo lenye wakaazi wengi zaidi Ujerumani huenda akawa kansela ajae wa Ujerumani.
Mfahamu mgombea wa chama cha Kijani kumrithi Merkel
Mwanariadha mwenye ujuzi na mwanasheria wa kimataifa: Annalena Baerbock amepambana kuzuwia mashambulizi dhidi yake.
Mahojiano na mgombea wa Die Linke Janine Wissler
Kuzungumza na Taliban ni kosa kubwa lililofanywa na nchi za Magharibi,Marekani,China na Urusi ikiwemo pia Ujerumani
Zoezi la kuwahamisha watu kutoka Afghanistan bado ni gumu
Lawama kutoka kila upande nazo zaendelea kutolewa. Rais Biden alaumiwa na Ujerumani pia yalaumiwa nchini mwake.
Merkel yuko Moscow kwa mkutano wa mwisho na Putin
Merkel ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya mwisho ya kikazi nchini Urusi kabla ya kuachia ngazi nafasi yake Septemba
Taliban yawasaka maadui nyumba kwa nyumba
Ripoti hiyo inatolewa wakati takriban watu 18,000 wakikimbia Kabul wakiogopa kisasi cha Taliban iliyoiangusha serikali.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Magazeti ya Ujerumani pia yameabdika juu ya maradhi ya Ebola yaliyojitokeza tena nchini Ivory Coast.
Juhudi za kuwahamisha watu kutoka Afghanistan zashika kasi
Nchi za magharibi zimezidisha juhudi za kuwaondoa watu wao nchini Afghanistan, na Waafghanistan waliofanya nao kazi.
Miaka 60 tangu kuanza kujengwa ukuta wa Berlin, Ujerumani
Imetimia miaka 60 tangu kuanza kujengwa kwa ukuta wa Berlin Agosti 13, 1961. Ukuta huo uliugawanya rasmi mji wa Berlin kati ya upande wa Mashariki na Magharibi hadi 1989 ulipovujwa. Je, siku hii inakumbusha nini katika historia ya Ujerumani?
Scholz: Nitahimiza mkakati mpya kuelekea Ulaya Mashariki
Yeye ni miongoni mwa wanaowekewa uwezekano wa kushinda katika uchaguzi huo utakaofanyika mwezi ujao wa Septemba.
Jasusi wa Urusi akamatwa nchini Ujerumani
Ujerumani inamzuilia raia mmoja wa Uingereza anayetuhumiwa kufanya ujasusi kwa niaba ya Urusi
Lebanon: mwaka mmoja tangu mlipuko katika bandari ya Beirut
Wakazi wengi bado wana hasira na huzuni wamesema tukio hilo halitasahaulika maisha
Marekani iache kuleta siasa kwenye COVID
Mataifa makubwa yaonywa kuacha kuingiza siasa kwenye mapambano dhidi ya janga la COVID-19.
Ujerumani yakaza sheria dhidi ya COVID-19
Mammbukizi nchini Ujerumani hata hivyo bado yako chini ikilinganishwa na mataifa ya jirani.
Ufaransa waidhinisha hati ya kudhibiti maambukizi
Wabunge wa Ufaransa waidhinisha hati maalumu kudhibiti maambukizi
Maelfu waandamana Ulaya kupinga vizuizi vya Covid-19
Maelfu ya raia kwenye mataifa kadhaa ya Ulaya wameandamana kupinga vizuizi vya kudhibiti kusambaa ugonjwa wa Covid-19
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Neue Zürcher wiki hii limeandika makala juu ya taarifa zinazohusu mambukizi ya corona zinazotolewa na Ethiopia.
Marekani na Ujerumani zafikia muafaka wa mradi wa gesi
Marekani na Ujerumani zimefikia muafaka kuhusu mradi tata wa ujenzi wa bomba la gesi wa Nord Stream 2
Merkel asema ni mafanikio madogo katika kupunguza gesi chafu
Merkel amesema kuna mafanikio madogo kuhusu malengo ya kupunguza kwa chini ya nyuzi joto 2 uzalishaji wa gesi chafu.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 14 wa 46
Ukurasa unaofuatia