You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Tanzania: Msimu wa utalii wa Nyangumi
Nyangumi ni mnyama anaependa utulivu na ni mkarimu kwa binadamu, lakini wataalamu wanaonya kwamba yupo hatarini kutoweka kutokana na uwindaji haramu.
Wadau wajadili kilimo cha kulinda mazingira mjini Kampala
Mkutano huo umeandaliwa na Mtandao wa Fair Trade ulio na mataifa 29 wanachama kanda ya Afrika na Mashariki ya kati.
Arteta: Nina matumaini ya kubeba taji msimu huu
Baada ya kutumia zaidi ya paundi milioni 200 kukiboresha kikosi chake kwa kununua wachezaji wapya, kocha wa Arsenal Mike
Mtetezi wa sokwe Tanzania
Mfahamu mwanamama au shoshi au kikongwe mwanaharakati wa kumtetea sokwe na mazingira aliejikita kumtafiti sokwe na kuleta ustawi wa mnyama huyo aliehatarini na maradhi na kuvamiwa na shighuli za binadamu huko katika msitu wa gombe kigoma.
Kijana unachangiaje kuhifadhi mazingira?
Kama kijana unachangiaje katika kuhifadhi mazingira?
Mvua yauwa watu 49 nchini India
Mvua kubwa iliyosababishwa na mafuriko imesababisha vifo vya watu takribani 49 nchini India.
Mafuriko yauwa watu 24 India
Watu 24 wamepoteza maisha na wengine wengi hawajulikano walipo kufuatia kutokea kwa mvua kubwa India.
Mtu na Mazingira: Mapambano dhidi ya Mabadiliko ya Tabianchi
Makala ya Mtu na Mzingira wiki hii inaangazia juhudi za wanaharakati na ulimwengu kupunguza viwango vya joto duniani.
Tanzania yafanya tamasha la kwanza la muziki wa Jazz
Ni tamasha la Kwanza la muziki wa Afro Jazz Tanzania lililopewa jina Evergreen Afro Jazz ambalo limewakusanya wasanii vijana wanaowika katika muziki huu, dhamira ikiwa kuuhuisha baada ya muziki huu kuonekana kana kwamba unatoweka. Tizama muziki mtamu kabisa wenye mahadhi ya Kiafrika. #kurunzi
Wanasayansi wajadili zaidi juu ya mabadiliko ya hali ya hewa
Mjadala wa wanasayansi unafanyika wakati mwezi Julai umeripotiwa kuongezeka kwa joto zaidi ikilinganishwa na zamani.
Mvua kubwa yasababisha maafa Kusini Magharibi mwa China
Mafuriko katika mkoa wa kusini magharibi wa China Sichuan pia yamewauwa watu saba.
Ripoti: Mwezi Julai ulivunja rekodi ya kuwa na joto kali
Ripoti imeeleza kwamba ongezeko la joto la 0.33,liilipindukia kiwango cha mwezi Julai, mwaka 2019 cha wastani wa 0.72.
Julai ya 2023 ni mwezi uliokuwa na joto zaidi duniani
Julai ni mwezi uliokuwa na joto zaidi duniani
Mkutano wa kilele wa msitu wa Amazon wafanyika Brazil
Msitu wa mvua wa Amazon una ukubwa wa mara 2 wa India na unapatikana katika nchi nane ukisaidia kunyonya gesi chafu.
Ulaya yakumbwa na matokeo mabaya ya hali ya hewa
Vifo 6 vimeripotiwa huku waokoaji wakiendelea kupambana na matukio hayo katika mataifa ya Slovenia, Austria na Croatia.
Uzalishaji wa nishati ya upepo Kenya
Kenya inaendelea kupiga hatua katika uzalishaji wa nishati safi.
Ubunifu: Bajaji inayotumia umeme wa jua
Wakati bei ya nishati ya mafuta ikiwa haitabiriki katika soko la dunia, pia bidhaa hiyo kuwa si rafiki wa mazingira, hali hiyo imemfanya mbunifu Joel Japhet kutengeneza mfumo wa umeme wa jua katika chombo cha usafiri aina ya bajaji. Je ataleta mapinduzi?
Beijing yarekodi mvua kubwa katika kipindi cha miaka 140
Beijing yarekodi mvua kubwa katika kipindi cha miaka 140
Iran yatoa mapumziko ya siku mbili kutokana na joto kali
Joto lalazimisha Iran kuzifunga ofisi muhimu
China yatoa tahadhari ya mvua kubwa mjini Beijing
Kimbunga hicho kilipiga kusini mwa mkoa wa Fujian Ijumaa asubuhi kwa kasi ya kilometa 175 kwa saa.
Papa asema ahofia matukio ya moto nchini Ugiriki
Mioto iliwaka katika visiwa vya Ugiriki kwa zaidi ya wiki na mataifa ya Italia, Croatia, Ureno na Algeria.
Fahamu namna ya kuhifadhi wa Mikoko
Leo hii katika makala ya Mtu na Mazingira utasikia namna wakaazi wa Malindi huko nchini Kenya wanavzohifadhi Mikoko. Je kuna umuhimu gadi wa kuihifadhi na wanatumia mbinu gani hasa? Ungana na Halima Gongo kutokea huko pwania ya Kenya kujua kwa kina.
Mioto iliyokuwa ikiwaka Ugiriki imedhibitiwa
Mioto iliyokuwa ikiwaka kwenye sehemu mbalimbali za Ugiriki imedhibitiwa leo Jumatano
Jinsi Wanigeria huko Shimankar wanavyonufaika na nishati ya jua!
Jamii ya Shimankar katika Jimbo la Plateau nchini Nigeria ilianza matumizi ya gridi ndogo ya nishati ya jua miaka mitatu iliyopita. DW inaangalia jinsi nishati hiyo ilivyobadilisha maisha ya karibu wenyeji 2,000. #Kurunzi
Ugiriki yapambana na mioto mikubwa ya msituni
Hali za joto kali ndio imechochea kuibuka kwa moto kwenye baadhi ya maeneo ya Mediterania.
Je, kiongozi mpya wa IPCC atakuwa mwanamke?
Wanachama wa IPCC, watakutana jijini Nairobi kuanzia Julai 25 hadi 28 ili kumchagua mwenyekiti mpya kati ya wagombea 4.
Joto kali lasababisha maafa ya moto kwenye nchi kadhaa Ulaya
Makao makuu ya zima moto mjini Athens imesema hatari ya moto ni kubwa karibu katika kila mkoa nchini Ugiriki.
Waziri mkuu wa Ugiriki aunda kikosi maalum kukabili moto
Waziri Mkuu wa Ugiriki Kyriakos Mitsotakis, ametetea hatua za kikosi cha kukabili moto wa nyika unaowaka kwa wiki moja.
Waliokufa kwa maporomoko ya ardhi India wafikia 27
Idadi ya waliokufa katika maporomoko makubwa ya ardhi katika jimbo la Maharashtra nchini India imefikia watu 27
Guterres awasilisha ajenda mpya ya amani ya ulimwengu
Kwenye sera hiyo Guterres amesema ulimwengu upo katika "Enzi mpya" zilizotawaliwa na ushindani wa mataifa makubwa.
Italia yatangaza tahadhari ya joto kali hii leo
Italia yatangaza tahadhari ya joto kali hii leo huku wimbi la joto kali likiyakumba maeneo ya Ulaya ya Kusini
UN: Dunia inapaswa kujiandaa kwa joto linaloongezeka
Umoja wa Mataifa unasema dunia inapaswa kujiandaa kwa mawimbi yanayoongezeka ya joto
Ulaya na mataifa mengine yakabiliwa na wimbi la joto kali
Shirika la WMO limesema ulimwengu unapaswa kujiandaa kwa mawimbi yanayoongezeka ya joto kali.
Mkutano wa G20 kumalizika India bila tamko la pamoja
Tofauti zilizopo kati ya mataifa tajiri na maskini zinahatarisha kuzidisha umaskini ulimwenguni.
John Kerry afanya mazungumzo na mwenzake wa China
Diplomasia kati ya mataifa hayo makubwa mawili kwa hivi karibuni imekuwa ikizorota.
Idadi ya waliofariki kwa mvua Korea Kusini yafikia watu 40
Makaazi ya watu na magari yameonekana kufunikwa na maji katika miji uliokumbwa na dhuruba mbaya zaidi.
Mamilioni ya watu wapambana na ongezeko la Joto duniani
Mamilioni ya watu wanapambana na ongezeko la joto duniani.
Mvua kubwa na maporomoko yasababisha maafa Korea Kusini
Mvua kubwa na maporomoko yasababisha maafa Korea Kusini
Wanaharakati waandamana viwanja vya ndege Ujerumani
Kundi la "Letzte Generation" liliandamana kwenye viwanja vya ndege vya Dusseldorf na Hamburg mapema siku ya Alhamis.
Mkutano wa NATO: G7 yatoa ahadi kwa Ukraine
Viongozi wa kundi la mataifa tajiri duniani, G7 wametangaza mpango wa kimataifa wa kuendelea kuisaidia kijeshi Ukraine
Mvua kubwa yasababisha maafa nchini Japan
Mvua kubwa iliyonyesha baada ya wiki moja ya mvua mfululizo imesababisha kingo za mito kubomoka na maporomoko ya udongo.
Japan yakumbwa na mvua kubwa na maporomoko ya ardhi
Shirika la habari la Japan NHK limefahamisha kuwa katika mkoa wa Saga, watu wawili hadi sasa hawajulikani waliko.
Mataifa kadhaa ya Asia yakumbwa na mvua kubwa
Mataifa kadhaa barani Asia yanashuhudia mvua kubwa za msimu ambazo tayari zimesababisha vifo vya makumi ya watu.
Soko la kimataifa la samaki Feri na nishati mbadala
Soko la kimataifa la samaki Dar es salaam limekuwa mfano wa kuigwa kwa kutumia nishati ya gesi, hatua inayotajwa na wataalamu wa mazingira kuwa inazingazia utunzani wa mazingira. Hata hivyo kuna changamoto chini ya mpango huo.
Ruto atangaza kuondoa marufuku ya biashara ya magogo
amesema ili kufidia ukataji wa magogo, serikali yake inalenga kupanda miti bilioni 15 katika muda miaka 10 inayokuja.
UN yatoa tahadhari juu ya athari za Mabadiliko ya Tabianchi
Turk amearifu kuwa mwaka 2021 pekee, zaidi ya watu milioni 828 duniani walikabiliwa na baa la njaa
Rais wa Kenya aondoa marufuku ya ukataji miti kwenye misitu
Wanamazingira wanahofia hatua hii ya Ruto itakwenda kinyume na mpango wake wa upandaji miti bilioni 15 kufikia 2032.
Bayern kufungua msimu na Bremen Wesserstadion
Mabingwa ligi kuu ya Ujerumani Bayern Munich watafungua msimu wa 2023-24 Agosti 18 dhidi ya Werder Bremen katika dimba la Wesserstadion mjini Bremen. Ni mechi ya hisia nyingi na historia ndefu ya Bundesliga.
Wanaharakati wataka walemavu walindwe dhidi ya joto kali
HRW imesema watu wenye ulemavu Ulaya wamekuwa wakiathirika kwa kiasi kikubwa kutokana na hali ya joto na jua kali
Miito yatolewa juu ya mageuzi ya mfumo wa fedha wa kimataifa
Benki ya Dunia yazindua mpango wa kusitisha kwa muda malipo ya madeni kwa nchi zilizokumbwa na maafa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 26
Ukurasa unaofuatia