You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Nchi tatu za Ulaya zaitambua Palestina kama dola huru
Israel inaendeleza vita vyake katika Ukanda wa Gaza dhidi ya kundi la Hamas kwa zaidi ya miezi saba sasa.
Wahouthi waidungua droni ya Marekani
Wahouthi wa Yemen wameidungua droni ya Marekani chapa MQ9 katika anga la mkoa wa al Bayda kusini mwa Yemen.
Rais Biden kuzungumza na Ruto wa Kenya Alhamis
Rais wa Marekani Joe Biden atamkaribisha Alhamisi wiki hii rais wa Kenya William Ruto kwa mazungumzo mapana yanayotaraji
Biden, Ruto kujadili msamaha wa deni kwa Kenya wiki hii
Mazungumzo ya Biden na Ruto Alhamisi yatajikita kwenye uhusiano wa kibiashara, kiusalama na msamaha wa madeni ya Kenya.
Aliyemshambulia mume wa Nancy Pelosi ahukumiwa miaka 30 jela
Tukio hilo lilifanyika mnamo mwezi Oktoba mwaka 2022.
Kenya yakabiliwa na kiunzi kupeleka polisi Haiti
Chama kidogo cha upinzani nchini Kenya kimewasilisha hoja mpya ya kuitaka serikali isiwapeleke polisi nchini Haiti.
China na Urusi kuanza "enzi mpya" ya ushirikiano
Viongozi hao wawili wametia pia saini taarifa ya pamoja ambayo inadhihirisha wazi upinzani kwa Washington.
Marekani yakamilisha bandari ya misaada kwenye Pwani ya Gaza
Huku jeshi la Israel kisemesema wanajeshi wake watano wameuliwa na wengine watatu kujeruhiwa katika shambulio Gaza.
Marekani yaahidi msaada zaidi kwa Ukraine
Marekani yaahidi msaada zaidi kwa Ukraine
Antony Blinken amekutana na Volodymyr Zelensky mjini Kiev
Antony Blinken amekutana na Volodymyr Zelensky mjini Kiev
Baraza Kuu la UN laidhinisha ombi la uanachama wa Palestina
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hapo Ijumaa lilipitisha kwa wingi mkubwa wa kura azimio linalounga mkono Palestina kuwa m
Wapalestina waukimbia mji wa Rafah
Jeshi la Israel limesema linaendesha "operesheni makhsusi" huko Rafah inayolenga kuwamaliza wanamgambo wa Hamas.
Guterres azitaka Israel, Hamas kusitisha mapigano
Maandamano ya kupinga mauaji ya Israel kwenye Ukanda huo yameenea hadi kwenye vyuo vikuu barani Ulaya.
Ujerumani yasema mazungumzo ya Gaza hayapaswi 'kuhatarishwa'
Ujerumani yazihimiza pande zote kuendeleza mazungumzo ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza
Washauri wapya wa kijeshi wa Urusi wawasili Niger
Washauri wapya wa kijeshi wa Urusi wamewasili nchini Niger pamoja na zana za kijeshi.
Urusi yadungua makombora manne yaliyotengenezwa na Marekani
Urusi yatangaza kufungua kesi ya uhalifu dhidi ya Volodymyr Zelenskiy na kumweka kwenye orodha ya watu wanaotafutwa.
Rwanda yakanusha shutuma za Marekani kuhusu Kongo
Badala yake Rwanda imewalaumu wanamgambo kuhusika na shambulio hilo, ikisema wanaungwa mkono na jeshi la Kongo.
Bomu laua watu 12 wakiwemo watoto nchini Kongo
Umoja wa Mataifa na maafisa wa serikali wamesema mabomu kadhaa yaliripuliwa hapo jana kwenye kambi mbili za wakimbizi.
Wanajeshi wa Urusi waingia kwenye kambi ya Marekani ya Niger
Hatua ya Niger ya kuwatimua wanajeshi wa Marekani ilikuja baada ya mkutano mjini Niamey mwezi Machi mwaka huu.
Marekani yaahidi kusaidia Burkina Faso dola milioni 55
Marekani yaahidi kusaidia Burkina Faso dola milioni 55
Urusi yadai kusonga mbele Ukraine
Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema imefanikiwa kuliweka chini ya himaya yake kikamilifu eneo la Berdychi.
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani atembelea Gaza
Akiwa kwenye kivuko hicho, Blinken alitembelea malori 10 katika wakati wa zoezi la kukaguliwa na wanajeshi wa Israel.
Jeshi la Marekani kurejea tena Chad kwa mazungumzo
Jeshi la Marekani linapanga kurejea Chad kwa mazungumzo ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.
Iran yakosoa mipango ya kurekebisha uhusiano na Israel
Khamenei amesema mzozo wa Mashariki ya Kati utasuluhishwa pale dola la Palestina litakaporejeshwa kwa watu wake.
Kamanda wa IS auwawa nchini Mali
Vikosi vya usalama vya Mali vimesema Kamanda wa IS auwawa nchini humo katika operesheni ya kijeshi.
Blinken ziarani Israel kutafutia suluhu vita vya Gaza
Israel na Hamas wamekuwa wakizozana kuhusu suala muhimu la kusitisha kabisa vita huko Gaza.
Wawakilishi wa Hamas waondoka Kairo
Wajumbe wa Hamas wameondoka mjini Kairo baada ya mazugumzo na maafisa wa Misri juu ya pendekezo la kusitisha mapigano.
Marekani yaonya uwezekano wa mauaji ya kimbari Sudan
Marekani imeyatolea wito mataifa yanayoisaidia Sudan kusitisha msaada kwa pande zinazozozana nchini humo.
Mtaalamu wa mitandao wa Marekani afungwa jela miaka 21
Mtaalamu huyo alifanya kazi kwa muda mfupi katika Shirika la Usalama la Taifa la Marekani (NSA).
Hamas yaashiria kuwa tayari kusitisha mapigano
Blinken yuko Riyadh, Saudi Arabia, kwenye mkutano wa ushirikiano kati ya nchi yake na Baraza la Ushirikiano la Ghuba.
Korea kaskazini yaikosoa Marekani kwa msaada wake, Ukraine
Ushirikiano wa Korea Kaskazini na Urusi waibua wasiwasi.
Xi: China na Marekani zapaswa kuwa washirika, sio washindani
Blinken alikutana na viongozi kadhaa wa ngazi za juu wa China kwenye ziara yake mjini Beijing.
Blinken akutana na rais wa China Xi Jinping mjini Beijing
Antony Blinken na mwenzie wa China Wang Yi walizungumzia pia mgogoro wa Taiwan pamoja na masuala ya biashara.
Blinken: nafasi sawa za kibiashara kati ya China na Marekani
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken ametoa wito kwa China kutoa nafasi sawa kwa biashara za Marekani.
Blinken aanza ziara yake China
Blinken aliwahimiza viongozi wa Ulaya kusimama kidete na kutoiunga mkono China kwa sababu inashirikiana na Urusi.
Marekani yaidhinisha msaada kwa Ukraine
Muswada huo umeidhinisha pia fedha za msaada wa kibinaadamu unaohitajika kwa Gaza, Sudan na Haiti.
Marekani yawawekea vikwazo viongozi wa makundi ya kigaidi
Kwa miaka kadhaa sasa, nchi za Afrika Magharibi zimekuwa zikikabiliwa na uasi wa makundi yenye itikadi kali za Kiislamu
Mvutano wazuka Marekani kutokana na maandamano ya Gaza
Maandamano yafanyika katika Vyuo Vikuu vya Marekani kupinga vita vya Gaza, masomo yasitishwa na waandamanaji kukamatwa.
Ukraine yaishukuru Marekani kwa msaada wa Kijeshi
Ukraine, viongozi wa mataifa ya magharibi walipongeza bunge la wawakilishi la Marekani kwa msaada wa kijeshi
Raia wa Niger washinikiza kuondoka kwa vikosi vya Marekani
Mwezi uliopita, Jeshi la Niger lilitangaza kuvunja makubaliano ya ulinzi na Marekani.
Ufilipino na Marekani kuanza luteka ya pamoja ya kijeshi
China inadai umiliki wa karibu ukanda mzima wa baharini, ambao ni njia muhimu ya biashara ya kimataifa.
Bunge la Marekani kupigia kura miswada ya msaada
Kura ya miswada ya misaada kufanyika baadaye leo.
Marekani yakataa kulitambua taifa la Palestina
Mataifa 12 yaliunga mkono azimio la Algeria, moja kupinga na mawili kukosa kushiriki.
Saudi Arabia yasikitishwa na kutotambuliwa Palestina
Saudi Arabia inasema imevunjika moyo na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kushindwa kuipa uanachama Palestina.
Marekani yawarejesha wahamiaji 50 Haiti
Marekani imewarudisha zaidi ya wahamiaji 50 kutoka nchini Haiti, taifa linalokabiliwa na ghasia za magenge ya uhalifu.
Kupanda thamani ya dola kwazusha wasiwasi duniani
Kuimarika kwa dola ya Marekani kunaibuwa wasiwasi mkubwa sio tu katika nchi zinazoendelea bali hata zilizoendelea.
Viongozi wa Sudan Kusini wameshindwa kuandaa uchaguzi
Marekani yasema kuwa viongozi wa Sudan Kusini wameshindwa kukidhi viwango vya kuandaa uchaguzi hali inayotishia ustawi.
Japan, Korea Kusini na Marekani kuimarisha ushirikiano wao
Japan na Korea kusini kuimarisha uhusiano kati yao pamoja na kudumisha ushirikiano kati ya Tokyo, Washington na Seoul.
Qatar yatangaza mkwamo wa mazungumzo kati ya Israel na Hamas
Abdulrahman Al-Thani amesema mazungumzo kati ya Israel na kundi la Hamas ya kutafuta makubaliano ya amani Gaza yakwama.
Israel yaapa kulipiza kisasi dhidi ya Iran
Israel itajibu mashambulizi ya Iran licha ya rai kutoka kwa viongozi wa dunia ya kuitaka Israel kujizuia.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 70
Ukurasa unaofuatia