You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Cuba
Taifa la visiwa kwenye Bahari ya Karibiani linaloongozwa kwa mfumo wa kisoshalisti.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mashabiki wa klabu ya Chapecoense waomboleza
Mashabiki wa klabu ya Chapecoense ya nchini Brazil wakusanyika kwa maombolezo. Raia wa Cuba wanaomboleza kifo cha kiongozi wao Fidel Castro. Na Bunge la Korea Kusini linatarajiwa kupiga kura ya kumshitaki rais wa nchi hiyo Park Geun-hye. Papo kwa Papo 30.11.2016
Majivu ya Fidel Castro kusafirishwa Santiago
Maelfu kwa maelfu ya wacuba wanatarajiwa kuwa barabarani kushuhudia majivu hayo yatakapokuwa yakisafirishwa
Viongozi kuhudhuria ibada ya mazishi ya Castro
Viongozi mbalimbali wa dunia na wananchi wanatoa heshima zao za mwisho kwa mwendazake Fidel Castro
Cuba yajitayarisha kwa kipindi cha maombolezi
Wacuba wanajitayarisha kwa kipindi cha maombolezi kitakachokuwa hadi Desemba 4.
Kifo cha Fidel Castro: Dunia yatoa rambirambi
Dunia yatoa rambirambi kufuatia kifo cha Fidel Castro
Fidel Castro aaga dunia akiwa na miaka 90
Mwanamapinduzi Fidel Castro afariki akiwa na umri wa miaka 90
26.11.2016 Matangazo ya mchana
Katika matangazo yetu: Fidel Castro afariki dunia//Kura kuhesabiwa upya katika majimbo matatu nchini Marekani//Sudan Kusini yakubali kupelekwa majeshi Umoja wa mataifa ya kulinda amani nchini humo
Fidel Castro: Shujaa na Kiongozi wa Kiimla
Mwisho wa enzi: Fidel Castro afariki akiwa na miaka 90
Colombia yatangaza makubaliano ya kihistoria ya amani
Colombia yatangaza makubaliano ya kihistoria ya amani
Obama, Castro wasifu uhusiano mpya baina yao
Obama, Catro wasifu "siku mpya" katika uhusiano wa Marekani na Cuba
Rais Obama akutana na Rais Castro wa Cuba
Obama anafanya ziara ya kihistoria katika kisiwa cha Cuba, ya kwanza kufanywa na rais Marekani baada ya miaka 90
Obama katika ziara ya kihistoria Cuba
Barack Obama ni rais wa kwanza wa Marekani kuizuru Cuba katika miaka 88
Obama anafanya ziara ya kwanza Cuba baada ya miongo saba
Ziara ya Obama inatarajiwa kuimarisha zaidi uhusiano wa Cuba na Marekani
Ghana yawapa hifadhi wafungwa wa Guantanamo
Wanaume wawili waliokamatwa nchini Afghanistan na kuzuiliwa katika gereza la Marekani la Guantanamo liliko nchini Cuba, kwa miaka14 bila kufunguliwa mashtaka wameachiliwa huru na kupelekwa Ghana kuanza maisha mapya.
Papa kuendelea na ziara yake nchini Marekani
Papa kuendelea na ziara yake nchini Marekani
Papa Francis kuanza ziara Marekani leo
Ahimiza maridhiano kifamilia na kimataifa
Ubalozi wa Marekani wafunguliwa upya Cuba
Mahusiano ya Marekani na Cuba yayzidi kuimatika baada ya miongo kadhaa ya uhasama
Marekani na Cuba zarejesha mahusiano
Marekani na Cuba leo wamerejesha mahusiano ya kidiplomasia baina yao, baada ya miongo mitano ya uhasama
Hali nchini Ugiriki
Matumaini mema kati ya Marekani na Cuba
Steinmeier anaanza ziara Cuba
Waziri wa Mambo ya Nje ya Ujerumani Frank-Walter Steinmeier leo anatarajiwa kuanza ziara yake ya siku mbili Cuba
19.04.2015 Matangazo ya Mchana
-Wakimbizi 700 wazama Mediterenia -Mapigano yaendelea Yemen Onyo kwa uchumi wa Dunia Uoinzani na uchaguzi Cuba
Marekani, Cuba zapiga hatua mpya kwenye uhusiano
Marekani na Cuba zinaelezwa kuzidi kupiga hatua za kukurubiana kwenye kurejesha upya uhusiano huo, wakati viongozi wa mataifa hayo wakishiriki mkutano wa mabara ya Amerika nchini Panama.
Asema atatumia kura ya veto kuizuia Congress.
Republican wasema Obama hana majibu mapya kwa matatizo makongwe.
Maoni ya wahariri juu ya Cuba na Marakeni
Wahariri wa magazeti ya Ujerumani katika kurasa zao za maoni leo wanazungumzia juu ya uhusiano baina ya Cuba na Marekani na juu ya uamuzi wa Ujerumani wa kuwapeleka askari wake kaskazini mwa Irak
FARC watangaza kusitisha vita Colombia
Kundi kubwa zaidi la waasi nchini Colombia la FARC limetangaza usitishaji mapigano wa upande mmoja usiyo na kikomo, katika mgogoro huo wa miaka 50, kufuatia duru nyingine ya mazungumzo ya amani.
Marekani na Cuba zafungua ukurasa mpya
Baada ya zaidi ya nusu karne ya uhasama, hatimaye Marekani na Cuba zinarejesha mahusiano yao kidiplomasia, hatua ambayo imeungwa mkono na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon.
Daktari Mukwege atajwa kuwa shujaa
Katika magazeti ya Ujerumani wiki hii taarifa kuu kutoka Afrika ni tuzo ya haki za binadamu aliyopewa daktari Denis Mukwege wa DRC na mapambano dhidi ya Ebola yanayoendelea Afrika ya Magharibi.
Maoni ya wahariri juu ya Obama na Castro
Wahariri wanazungumzia juu ya yaliyotukia kwenye ibada ya kumwombea Madiba na mgogoro wa Jamhuri ya Afrika ya kati. Pia wanatoa maoni juu ya Ukraine
Amerika Kusini yaigwaya Marekani kuhusu Snowden
Kupatiwa hifadhi Edward Snowden, kungeyapa fursa mataifa ya Amerika Kusini kupamba vichwa vya habari yakitetea misimamo yake dhidi ya ubeberu - lakini serikali za mataifa hayo zinahofia kukwaruzana na Marekani.
Marekani yatoa ripoti kuhusu Ugaidi duniani
Marekani imeishutumu Iran kwa kuongeza ufadhili wa shuguli za kigaidi mwaka jana kwa kiwango ambacho hakijashuhudiwa kwa karibu muongo mzima huku mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda ukipoteza ngome zake..
Chavez apata maambukizi mapya
Rais wa Venezuela Hugo Chavez ambaye amekuwa akiugua saratani kwa karibu miaka miwili sasa amepata maambukizi mapya ambayo yamemsababishia matatizo ya kupumua na kumuweka katika hali mbaya zaidi kiafya.
Mkataba Mpya wa Kudhibiti silaha wakwamishwa
Mkutano unaojadili rasimu ya mkataba mpya wa kudhibiti silaha uliokwisha Ijumaa umeshindwa kufikia maamuzi juu ya mambo muhimu kuhusiana na biashara hiyo ya mabilioni ya dola.
Maoni ya wahariri juu ya Baba Mtakatifu
Wahariri wa magazeti ya Ujerumani wanazungumzia ziara ya Baba Mtakatifu Benedikt wa 16 inayomalizika katika kisiwa cha Cuba. Wanasema angeliweza kufanya zaidi kwa ajili ya wapinzani.
Baba Mtakatifu kukamilisha ziara yake Cuba
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict wa 16, leo atakamilisha ziara yake nchini Cuba kwa kuongoza ibada ya hadhara katika mji mkuu Havanna, itakayofanyika kwenye viwanja vikubwa kuliko vyote nchini Cuba.
Papa Benedict wa 16 kuwasili Cuba
Kiongozi wa Kanisa Katoliki , Papa Benedict wa 16, leo atawasili nchini Cuba akiwa katika ziara yake ya America ya Kusini. Papa anatarajiwa kukutana na kiongozi wa zamani wa nchi hiyo Fidel Castro pamoja Raul Castro.
Wafungwa wengine wawili wa Cuba waelekea Uhispania.
Wizara ya mambo ya nje ya Uhispania yasema wafungwa wengine 3 watawasili leo kutoka Cuba.
Nigeria,Syria na Cuba na hatua za Marekani
Je, hatua hizo ni dawa mujarab ?
Marekani Kuiregezea kamba Cuba kuliwadia zamani ?
Na je, uamuzi wa kuruhusu sharia ni sawa huko Pakistan ?
240209 Kuba Machtwechsel
Hali bado ni kama ilivyokuwa zamani chini ya utawala wa kakake Fidel Castro
Miaka 50 ya mapinduzi ya Cuba.
Cuba inatimiza miaka 50 tangu pale vijana wa kimapinduzi wakiongozwa na Fidel Castro walipoingia nchini Cuba na kupambana na utawala wa dikteta Batista.
ONE MONTH SINCE RAUL TOOK OVER
Nchini Cuba hivi sasa wadadisi, wanasiasa na wananchi kwa ujumla wanajiuliza ni kipi kinachopikwa katika jiko la siasa za nchi hiyo?
Cuba inapata kiongozi mpya wa dola
Haya ni mapinduzi ya kijamaa na ya kidemokrasia ya watu wa chini, ya watu wa tabaka ya chini, ya chini.
Rais wa Cuba Raul Castro akabiliwa changamoto za kuleta mabadiliko
Raul Castro
Bunge la Cuba kumchagua Kiongozi mpya
Waziri wa ulinzi wa Cuba Raul Castro anayekaimu nafasi ya Kiongozi wa taifa hilo, anatajwa kuwa na uwezekano wa kuchaguliwa hapo kesho na bunge la taifa kuwa mtu atakayemrithi Fidel Castro aliyetangaza kujiuzulu mapema
Kujiuzulu kwa kiongozi wa Cuba kulivyo karibishwa
Viongozi, nchi na jumuiya kadhaa dunia zimelikaribisha kwa maoni tafauti tangazo la kujiuzulu kiongozi wa Cuba Fidel Castro
Cuba yakubali mikataba ya UN
Castro kuwania ubunge nchini Cuba
HAVANA:Rais wa Angola akutana na Castro mwishoni mwa ziara yake nchini Cuba
Cuba kuadhimisha sherehe ya mapinduzi bila ya Fidel Castro.
Ni kwa mara ya kwanza katika hisoria tangu mapinduzi ya 1959 , ambapo kiongozi huyo hatotokeza kwenye sherehe hizo.
Hali ya haki za binaadamu bado kuboreka nchini Cuba.
Kustaafu madaraka kwa muda kwa Rais Fidel Castro wa Cuba hapo tarehe 31 mwezi wa Julai mwaka 2006 hakukuleta mabadiliko yoyote yale katika hali ya haki za kiraia,kisiasa,kiuchumi na haki fulani za kitamaduni ambazo zinaendelea kuwa sio za kuridhisha.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 3
Ukurasa unaofuatia