You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Guterres aisifu Nigeria kwa kuwasaidia wapiganaji wa zamani
Guterres ameisifu Nigeria kwa mpango wa kuwasaidia wapiganaji wa zamani wa kundi la Boko Haram kurejea uraia
24.04.2022 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Rais wa Ukraine arudia wito wa ufanya mkutano wa mazungumzo ya kukomesha vita na Putin+++Iran yaanzisha mazungumzo na Saudia kurejesha mahusiano ya kidiplomasia+++Watu kadhaa wateketea kwa moto kutokana na mripuko wa kiwanda cha mafuta Nigeria
Zelenskiy ahutubia Baraza la Usalama, ataka Urusi iadhibiwe
Baraza la Usalama lamsikiliza rais wa Ukraine Volodomyr Zelenskiy, akielezea madhila ya uvamizi wa Urusi nchini mwake.
Afrika Magharibi katika hatari mbaya ya ukosefu wa chakula
Mashirika 11 ya kimataifa imetahadharisha Afrika Magharibi katika hatari ya ukosefu wa chakula.
Nigeria: Watu 168 hawajulikani walipo baada ya shambulio
Shirika la Reli Nigeria, NRC limesema watu 168 hawajulikani waliko baada ya shambulizi la kwenye treni
Watu saba wameuawa katika eneo la machafuko Nigeria
Watu saba wauwa katika jimbo la Plateau, Nigeria kufuatia ghasia kati ya wafugaji wa Kiislamu na wakulima wa Kikristo
Athari kiuchumi kwa Afrika kufuatia mzozo wa Ukraine
Mataifa ya Afrika yanakumbwa na changamoto ambazo zimesababishwa na uvamizi wa Urusi Ukraine.
Kizazi kipya cha makundi ya itikadi kali Nigeria
Wapiganaji wa jihadi nchini Nigeria wameanza tena kufanya mashambulizi baada ya utulivu ulioshuhudiwa kutokana na kuuwaw
Ukraine yajaribu kuwasajili wapiganaji wa kiafrika
Ukraine yajaribu kuwasajili wapiganaji wa kiafrika
Vita ya Cameroon iliyosahaulika yawaacha wakimbizi njiapanda
Katika dazeni kadhaa za mahojiano, wakimbizi wa Cameroon nchini Nigeria wanasimulia uzoefu wao.
Maoni: Mshikano una kasoro unapowaacha nje Waafrika Ukraine
Ubaguzi dhidi ya watu wenye asili ya kiafrika umeibua kelele za ukosoaji chini ya #AfricansinUkraine..
Ufaransa na Washirika wake waamua kuondoka Mali
Ufaransa na washirika wake wa Ulaya waamua kuondoa vikosi vyake na rasilimali nyingine za kijeshi nchini Mali.
Matumizi ya boti na mashua kusuluhisha msongamano wa magari Lagos
Kufuatia msongamano mkubwa wa magari mjini Lagos ilhali kuna uwezekano wa safari ya majini, timu ya vijana 'Boatnaija' mjini humo imeamua kuweka utaratibu wa kusafiri majini katika mji huo kutumia boti. Ni jambo linalosuluhisha tatizo la msongamano wa magari barabarani lakini pia, abiria hupata nafasi ya kubarizi na kufurahia mandhari ya majini. Mengi zaidi ni kwenye Vijana Mubashara 77Asilimia.
Kiongozi wa waasi Nigeria, adai kutotenda kosa lolote
Miito ya uhuru ama kujitenga huwa ni tete mno nchini humo ambako vita vya kiraia vilisababisha vifo vingi.
Misri na timu nyingine tano zatinga 16 bora ya AFCON
Timu ya taifa ya Misri yaibamiza Sudan 2-0 na kusonga mbele hatua ya 16 bora katika michuano ya kandanda barani AFCON.
Nigeria: Ndoa za utotoni bado tatizo kubwa
Wasichana wengi bado wanaozwa wakiwa wadogo, kutokana na mila, umasikini na kukinzana kwa sheria.
Misri yapata ushindi wa kwanza AFCON
Misri yapata ushindi wa kwanza AFCON
Iheanacho awafunika Salah, Mahrez katika AFCON
Nigeria ilipata ushindi dhidi ya mabingwa wa kihistoria Misri, wakati Algeria ikibanwa kwa sare tasa na Sierra Leone
Kuyageuza makonteina kuwa nyumba
Nigeria inakabiliwa na upungufu wa nyumba milioni 22. Kwa hivyo kupata nyumba ya bei nafuu si rahisi. Lakini mtaalamu wa ujenzi Pius Dare anaamini kuyageuza makonteina ya mizigo melini kuwa nyumba maridadi yaweza kuwa suluhisho nafuu. #VijanaMubashara #77Asilimia
Wavamizi wachoma basi na kuwauwa abiria 30 nchini Nigeria
Takriban abiria 30 wameungua moto hadi kufa ndani ya basi katika jimbo la Sokoto nchini Nigeria kufuatia shambulizi.
Utumwa Afrika bado haujatokomezwa
Shirika la kazi ulimwenguni ILO linasema idadi ya ajira ya watoto imeongozeka katika kipindi cha miaka 20
Jeshi liliwauwa waandamanaji Nigeria
Wanajeshi waliwapiga risasi na kuwaua waandamanaji ambao walikuwa hawana silaha wakati wa msako mkali.
Waliokufa baada ya ghorofa kuporomoka Nigeria waongezeka
Jengo hilo lilokuwa na ghorofa 21 liliporomoka siku ya Jumatatu wakati wajenzi wake wakiwa bado katika eneo hilo.
Nigeria: Mwaka mmoja baada ya maandamo ya #EndSARS
Mwaka mmoja baada ya maandamano makubwa kupinga ukatili wa polisi Nigeria, polisi imeonya dhidi ya kurudi mitaani.
Seneti Nigeria yabadili sheria ya matokeo ya uchaguzi
Baraza la Seneti Nigeria yabadili sheria kuhusu uhamishaji matokeo ya uchaguzi kielektroniki.
HRW: Misaada ya Covid-19 Afrika haikuwafikia walengwa
HRW: Misaada ya Covid-19 Afrika haikuwafikia walengwa
Madaktari Nigeria warejea kazini baada ya mgomo wa miezi 2
Madaktari wa hospitali za serikali nchini Nigeria wanarejea kazini baada ya miezi miwili ya mgomo mkubwa kabisa.
Boko Haram watwaa udhibiti jimbo la Niger
Kundi la kigaidi la Boko Haram limechukuwa udhibiti wa jamii kadhaa katika eneo la kaskazini kati mwa Nigeria.
Nigeria na Ghana zashindana kuanzisha sarafu za kidijitali
Nigeria na Ghana zashindana juu ya kuanzisha sarafu ya kidijitali katika benki kuu.
Watu 9 wauawa kwenye shambulizi Chad
Watu tisa wameuawa katika shambulizi lililotokea kwenye kijiji kilicho karibu na Ziwa Chad,
Inspekta wa polisi auawa Nigeria
Watu wenye silaha wamemuua inspekta wa polisi kusini mashariki mwa Nigeria.
Nigeria yakabiliwa na mripuko wa kutisha wa Kipindupindu
Jumla ya visa 69,925 vya ugonjwa wa kipindupindu vimerekodiwa kufikia tarehe 5 ya mwezi wa Septemba katika majimbo 25.
Watu wenye silaha wavamia gereza Nigeria, wawaachia wafungwa
Watu wenye silaha za kivita wamelivamia gereza moja katikati mwa Nigeria na kuwaachia huru wafungwa kadhaa.
Wanafunzi wengine 73 watekwa nyara nchini Nigeria
Ni baada ya siku chache tangu kuachiwa huru makundi matatu ya watoto waliotekwa baada ya kutolewa fidia.
Wabeba silaha waua 3, wawateka 20 chuoni Nigeria
Wabeba silaha wamewauwa watu watatu na limewateka wengine ishirini wakiwemo wanafunzi huko jimboni Zamfara, Nigeria
Oba Ewuare: Mfalme wa shaba wa mji wa Benin
Oba Ewuare wa Benin anakumbukwa kwa kuendeleza sanaa nchini humo, utamaduni na uchongaji wa masanamu maarufu ya shaba.
Wanafunzi 120 hawajulikani walipo baada ya shambulio Nigeria
Zaidi ya Wanafunzi 120 bado hawajulikani walipo baada ya shambulio la shule Nigeria.
Watoto 150 wa shule watekwa nyara Nigeria
Watu wenye silaha wamewateka nyara wanafunzi wapatao 150 kutoka kwenye shule ya bweni katika jimbo la Kaduna, Nigeria
Rwanda kujenga kiwanda cha kutengeneza chanjo ya Covid-19
WTO imethibitisha kwamba Rwanda, Senegal na Afrika Kusini zimechaguliwa kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vya chanjo.
Inspekta wa polisi awauwa watu watano mjini Enugu
Inspekta wa polisi awauwa watu watano katika mji wa Enugu
Tobore Ovuorie: Sikuchulii hapana kuwa jibu
Tobore Ovuorie anajadili uchunguzi wake dhidi ya ulanguzi wa binadamu, marufu ya Twitter nchini kwake Nigeria na mengine
11.06.2021 Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Nigeria yataka mitandao ya kijamii iwe na leseni za ndani
Nigeria imeitaka mitandao ya kijamii ijisajilii na kupata leseni ili iweze kufanya kazi kwenye taifa hilo
Magaidi wauwa raia 100 Burkina Faso
Zaidi ya watu 1,300 wameshauawa na wengine milioni moja kulazimika kuwa wakimbizi wa ndani.
Nigeria yathibitisha watoto 136 kutekwa nyara
Nigeria imethibitisha kutekwa nyara watoto 136 wa skuli moja ya Kiislamu katika jimbo la kati la Niger.
Watoto kadhaa watekwa Nigeria
Takriba watoto 200 wametekwa Nigeria
Mitandao ya ukahaba na ulanguzi wa watu Nigeria
Inaweza kuonekana kama tungo ya kubuniwa kuhusu uhalifu, lakini kwa hakika mwanahabari wa Nigeria Tobore Ovuorie alifanya upekuzi kufichua kadhia ya ulanguzi wa wanadamu. Kisa chake kimetengenezwa kuwa filamu kwenye kampuni ya Netflix. Lakini masaibu aliyopitia yangali yanamtatiza.
Rais Buhari kikaangoni
Changamoto za kiusalama zinazoikabili Nigeria zimeibua hasira na wito wa kumtaka Rais Muhammadu Buhari aachie madaraka.
Jeshi la Nigeria lakataa kutwaa madaraka
Nigeria inazidi kukabiliwa na mashambulizi ya wanamgambo wa itikadi kali pamoja na visa vya utakaji nyara na mauaji
Tuzo ya Uhuru wa Kujieleza ya DW 2021 yamuendelea mwandishi wa upekuzi wa Nigeria Tobore Ovuorie
Mwandishi wa habari wa upekuzi wa Nigeria Tobore Ovurie ashinda tuzo ya Uhuru wa Habari ya DW mwaka 2021.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 19
Ukurasa unaofuatia