You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Watu 400 wamekufa kwa njaa Ethiopia
Watu 400 wamekufa kwa njaa katika mikoa ya Tigray na Amhara nchini Ethiopia.
Jordan: Wanajeshi watatu wa Marekani wauawa katika shambulio
Maafisa wa Marekani wametathmini kwamba moja ya makundi kadhaa yanayoungwa mkono na Iran ndiyo yaliyoendesha tukio hilo.
Je, ni wagombea wepi wanaowania uteuzi wa vyama Marekani?
Wagombea wawili wanawania uteuzi wa chama cha Republican kuelekea uchaguzi mkuu wa Marekani utakaofanyika Novemba 2024.
Viongozi wa Kiarabu wana chaguo lipi katika mzozo wa Gaza?
Baadhi ya hatua zinazopendekezwa ni kuweka marufuku ya kuizua mafuta Israel na washirika wake. Je wataweza?
Blinken ziarani Afrika kudumisha ushawishi wa Marekani
Antony Blinken atembelea Afrika Magharibi wakati ukosefu wa utulivu katika ukanda wa Sahel ukileta wasiwasi zaidi.
Trump arudi kortini mkesha wa ushindi New Hampshire
Donald Trump amerejea Jumatatu kwenye kesi yake ya kashfa ya unyanyasaji wa kijinsia New York katika mkesha wa kura ya m
Mawaziri wa Umoja wa Ulaya waijadili hali ya Gaza
Mawaziri wa mambo ya nje wa EU wamekutana kwa mazungumzo na wanadiplomasia wakuu kutoka mataifa muhimu ya kiarabu.
Trump akaribia uteuzi wa chama chake huko New Hampshire
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump analenga kushinda uteuzi wa kuwania urais huko New Hampshire.
Blinken kuzuru Afrika kujaribu kuweka mambo sawa
Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Antony Blinken anapanga kufanya ziara yake barani Afrika kuzikabili China na Urusi
Israel yatofautiana na Marekani kuhusu hatma ya vita Gaza
Netanyahu anapinga wazo la Marekani la kuanzishwa kwa taifa la Palestina baada ya vita vya Gaza kumalizika.
Marekani yaharibu makombora 14 ya waasi wa Kihouthi
Marekani imesema mashambulizi yao yananuia kupunguza makali ya Wahouthi katika bahari ya Sham.
Waziri wa Mambo ya nje wa Korea Kaskazini azuru Moscow
Urusi imesema inajenga mahusiano na mshirika wake Korea Kaskazini katika nyanja zote.
Rais mteule wa Taiwan asifu mahusiano na Marekani
Rais mteule wa Taiwan Lai Ching-te amesifu kile alichokiita kuwa ushirikiano thabiti wa kisiwa hicho na Washington.
Makumi ya watu wauawa Gaza
Wizara ya afya huko Gaza imesema hospitali mbili, shule ya wasichana na nyumba kadhaa vilishambuliwa.
Ukraine yasonga mbele na mpango wake wa amani
Mwakilishi maalum wa Marekani, Penny Pritzker anayeshughulikia ufufuaji wa uchumi wa Ukraine pia alikuwepo DAVOS
Maeneo ya Wahouthi yashambuliwa tena Yemen
Hiyo baada ya wapiganaji hao wanaoungwa mkono na Iran kuonya kuendelea na mashambulizi ya meli katika Bahari ya Shamu.
Marekani na Uingereza zashambulia ngome za wahouthi, Yemen
Waasi wa Houthi wamesema wapiganaji wao watano wameuawa na kuapa kulipiza kisasi
Marekani na Uingereza zashambulia waasi wa Yemen
Marekani na Uingereza zimefanya mashambulizi makubwa ya anga yaliyoyalenga maeneo yanayoshikiliwa na waasi nchini Yemen.
Iran yalaaniwa vikali katika kura ya Baraza la Usalama
Marekebisho matatu kwenye azimio hilo yaliyopendekezwa na Urusi yalipigiwa kura lakini hayakupita.
Trump mahakamani ili kujitetea kuwa na kinga ya kutoshtakiwa
Hoja mpya ya Trump kujitetea kwamba, kama rais wa zamani ana kinga kutoshtakiwa kwa tuhuma za kuvuruga uchaguzi wa 2020.
Blinken aona fursa kwa Israel kushirikishwa kikanda
Blinken amesema mataifa ya kanda yanataka kushirikiana na Israel, lakini ikiwa tu kuna ahadi thabiti kuhusu Palestina.
Israel yatakiwa kupunguza mashambulizi yake Gaza
Rais wa Marekani Joe Biden amesema amekuwa akishirikiana na serikali ya Israel na kuihimiza kupunguza mashambulizi yake
Trump kuhudhuria kesi dhidi yake katika Mahakama, Washington
Mawakili wa Trump wanajaribu kufuta mashtaka dhidi ya mteja wao kwa hoja mpya kwamba rais wa zamani ana "kinga kamili"
Mamia wajitokeza kuwazika waliouawa kwenye milipuko Iran
Raisi ameapa kuwa nchi hiyo italipiza kisasi kwa mashambulizi hayo mabaya tangu mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 79.
Pyongyang yarusha makombora katika visiwa vya Korea Kusini
Hatua hiyo imechochea jeshi la Korea Kusini kuchukua hatua za utayari kwa kufanya mazoezi ya moja kwa moja ya kijeshi.
Blinken kufanya ziara nyingine Mashariki ya Kati
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken anakwenda Mashariki ya Kati.
Upinzani Kongo wagoma kuwasilisha pingamizi mahakamani
Wakati huo huo, Marekani imetoa wito wa kutatuliwa kwa amani na uwazi mizozo yoyote ya uchaguzi nchini Kongo.
Marekani yaitaka Kongo kutatua 'mzozo wa uchaguzi' kwa amani
Marekani yaitaka Kongo kuhakikisha malalamiko yoyote yanashughulikiwa kwa haki na uwazi."
Wagombea Urais Taiwan wachuana katika mdahalo
China inadai kuwa kisiwa cha Taiwan ni sehemu ya himaya yake
Rais wa Ufaransa atoa wito wa usitishwaji mapigano Gaza
Kwa sasa vifo vya raia katika Ukanda wa Gaza vimepindukia 21,000 kulingana na Wizara ya Afya inayodhibitiwa na Hamas.
Israel yasema vita dhidi ya Hamas vitaendelea
Rais Joe Biden na Emir wa Qatar SheikhTamim bin Hamad Al Thani wajadili juu ya kuachiliwa kwa mateka waliosalia.
Marekani yashambulia wanamgambo wanaoiunga mkono Iran
Marekani imefanya mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Iraq.
Je, nini hatma ya Trump baada ya hukumu ya mahakama?
Chama chake cha Republican kimeupinga vikali uamuzi huo na kudai kuwa huo ni unyanyasaji wa kisiasa dhidi ya Trump.
Ukraine, Urusi zadai kudunguliana ndege zisizotumia rubani
Ni wakati Rais wa Marekani Joe Biden akijiandaa kusaini amri ya kuziwajibisha taasisi za fedha zinazoifadhili Urusi.
Urusi: Mazugumzo ya kubadilishana wafungwa yako njia panda
Mazugumzo ya kubadilishana wafugwa kati ya Urusi na Marekani yako njia panda
Marekani yatoa wito wa uwazi kwa uchaguzi wa Kongo
Marekani yatoa wito wa uwazi kwa uchaguzi wa Kongo
Marekani yazindua muungano wa ulinzi wa Bahari ya Shamu
Mashambulizi yamesababisha kampuni kubwa za usafirishaji kubadilisha njia ya safari zao
Marekani na Israel kujadili operesheni ya kijeshi Gaza
Shirika la Afya Duniani, WHO limelaani juu ya uharibifu wa hospitali ya Kamal Adwan iliyopo kaskazini mwa Gaza.
Marekani na Israel zajadili kupunguza kasi ya vita Gaza
Mjumbe wa Marekani amesema nchi yake ina wasiwasi juu ya kuongezeka kwa idadi ya vifo katika Ukanda wa Gaza.
Israel yakabiliwa na ukosoaji kufuatia vita huko Gaza
Mashambulizi ya Israel tayari yamewaua Wapalestina 18,787, kwa mujibu wa Wizara ya Afya inayodhibitiwa na Hamas.
Wabunge waanzisha uchunguzi wa kumuondoa Biden madarakani
Hatua hiyo ina nafasi ndogo mno ya kufaulu kwa kuwa hakuna rais yeyote wa Marekani aliyewahi kuondolewa kwa mchakato huo
Israel yaendelea kuipiga Gaza licha ya ukosoaji wa Marekani
Rais wa Marekani Joe Biden alionya kuwa Israel inapoteza uungwaji wake mkono kutokana na kuua raia zaidi katika vita.
Zelensky atoa wito wa misaada zaidi ya kifedha
Rais Volodymyr Zelensky anawataka viongozi wa Nordic kuisaidia kifedha Ukraine kwa ajili ya kutengeneza silaha.
Zelensky awashawishi Wamarekani kuendelea kuisaidia Ukraine
Zelensky amesema nchi yake imefanikiwa kukabiliana na uvamizi wa Urusi, ingawa amesisitiza umuhimu wa umoja.
Wajumbe wa COP28 wahangaikia kufikia makubaliano
Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika Dubai, umeingia katika muda wa ziada.
Marekani: Mapigano kusitishwa kwa saa 72 Mashariki mwa Kongo
Afisa wa UN atoa tahadhari kwa baraza kuu la usalama la UN kwamba mvutano kati ya Kongo na Rwanda umekuwa ukiongezeka
Papua New Guinea haina makubaliano ya usalama na China
Waziri Mkuu wa Papua New Guinea amesema hakujawahi kufanyika mazungumzo ya masuala ya ulinzi na China.
Trump agoma kurudi mahakamani
Donald Trump, ameamua kutokujitokeza tena mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi ya udanganyifu inayomkabili.
Mataifa ya kiisalam yaikosoa Marekani katika vita ya Gaza
Marekani yatakiwa kuchukua "jukumu pana" katika kuishinikiza Israel kukubali kusitisha mapigano katika vita vya Gaza.
Israel yaendelea na mashambulizi Gaza
Jeshi la Israel laishambulia kwa makombora maineo kadhaa ya Gaza baada ya Marekani kuzuia azimio la Umoja wa Mataifa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 9 wa 70
Ukurasa unaofuatia