You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Trump na Biden: Wagombea 2 wazee wawania wapigakura vijana
Je, umri wa Biden na Trump una jukumu katika uchaguzi wa raiswa Marekani, na wanaweza kuwavutia kwao wapigakura vijana?
Biden na Trump waendelea kujipigia debe
Rais Joe Biden na mpinzani wake Donald Trump watafanya ziara kwenye mpaka wa Marekani.
Gaza: Mashirika ya misaada yatahadharisha juu ya baa la njaa
Mashirika ya misaada yametahadharisha juu ya kuzuka baa la njaa katika eneo la kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
Korti kusikiliza kesi ya Trump ya kinga ya kushtakiwa Aprili
Mahakama ya juu ya Marekani imekubali kusikiliza madai ya Donald Trump kwamba kama rais wa zamani, ana kinga ya kushtaki
Hizbullah yakabiliana kijeshi na Israel
Hizbullah imekabiliana kijeshi na Israel huku Qatar ikirejelea kauli ya Marekani kuhusu usitishaji wa mapigano ya Gaza.
Marekani: Hatuna mpango wa kupeleka wanajeshi nchini Ukraine
Rais Joe Biden anaamini "njia ya ushindi" ni kwa Marekani kutoa msaada wa kijeshi kwa vikosi vya Ukraine ili kujilinda.
Biden asema usitishaji mapigano Gaza unakaribia
Watu wanaokaribia 30,000 wamekwishauawa na zaidi ya 70,000 kujeruhiwa tangu Israel ianze kuushambulia Ukanda wa Gaza.
Zelensky: Wanajeshi 31,000 wa Ukraine wameuawa vitani
Ukraine ilikuwa haijafichua idadi rasmi ya wanajeshi wake waliopoteza maisha katika vita dhidi ya Urusi hadi sasa.
Marekani yatangaza vikwazo vipya 500 dhidi ya Urusi
Biden ameapa kuendeleza shinikizo kuzuia vita vya rais wa Urusi Vladimir Putin.
Vita Ukraine: Uchumi wa Urusi wasalia imara licha ya vikwazo
Miaka miwili iliyopita Urusi iliwekewa vikwazo vikali baada ya kuivamia Ukraine. Lakini uchumi wake umesalia imara.
Marekani, Uingereza zamuunga mkono Mark Rutte kuiongoza NATO
Hatua ya Marekani na Uingereza kumuunga mkono Rutte inaongeza nafasi yake ya kuwa Katibu Mkuu ajaye wa NATO.
Marekani yaitaka ICJ kutoiamuru Israel kukomesha ukaliaji
Marekani imesema ICJ haipaswi kuilaazimisha Israel kuondoka kwenye ardhi za Wapalestina bila uhakikisho wa usalama.
Israel yaishambulia Gaza baada ya turufu ya Marekani UM
Mataifa yenye nguvu yameshindwa kufikia lengo la kusitisha vita na juhudi za upatanishi pia zimeshindwa kufua dafu.
Wakaazi mashariki mwa Congo wakabiliwa na uhaba wa chakula
Mzozo wa kiusalama mashariki mwa Kongo, umesababisha maelfu ya wakaazi kung'ania chakula.
Marekani inalaani ghasia mashariki mwa DR Kongo
Marekani inalaani ghasia mashariki mwa DR Kongo
Israel yakabiliwa na shinikizo dhidi ya kuishambulia Rafah
Rais Biden amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu Netanyahu na kutahadharisha dhidi ya kuushambulia mji wa Rafah.
Zelensky azitembelea Berlin, Paris kusaka msaada zaidi
Zelensky anafanya ziara nchini Ujerumani na Ufaransa ambako anatarajiwa kutia saini mikataba ya usalama.
Urusi na China zatofautiana na Marekani na Uingereza
Urusi na China zimeishutumu Marekani na Uingereza kwa kuyashambulia maeneo yanayotumiwa na waasi wa Kihouthi wa Yemen.
IAEA: Iran haiko wazi katika mpango wake wa nyuklia
IAEA: Iran haiko wazi katika mpango wake wa nyuklia
Blinken: Uchaguzi ufanyike kama ulivyopangwa Senegal
Blinken: Uchaguzi ufanyike kama ulivyopangwa Senegal
Korea Kaskazini imefanya jaribio la makombora mengi
Korea Kaskazini imefanya jaribio la makombora mengi
Marekani: Ni vigumu Ukraine kujiunga na NATO Julai
Marekani: hakuna mwaliko wa NATO kwa Ukraine katika mkutano wa kilele wa Julai
Marekani yataka uchaguzi ufanyike kama ulivyopangwa Senegal
Blinken ahimiza uchaguzi wa haraka Senegal
Jeshi la Ethiopia lalaumiwa kuwauwa raia wasiopungua 45
Shirika la Habari la AFP limesema halikufanikiwa kupata maoni kutoka kwa serikali kuu mjini Addis Ababa
Baraza la Seneti Marekani lapitisha msaada kwa Ukraine
Baraza la Seneti la Bunge la Marekani limepitisha muswada wenye kitita cha dola bilioni 95.3 unaojumuisha msaada zai
Israel yashinikizwa kusitisha vita na Hamas
Israel inakabiliwa na shinikizo la kimataifa linaloitaka ikubali kusitisha vita vyake na kundi la Hamas, katika wakati t
Waziri wa Ulinzi Austin asitisha safari baada ya kulazwa
Waziri wa Ulinzi Austin asitisha safari baada ya kulazwa hospitalini
Scholz: Kauli ya Trump kuhusu NATO ni ya kutowajibika
Scholz: Kauli ya Trump kuhusu NATO ni ya kutowajibika na hatari
Umoja wa Ulaya walaani kitisho cha Trump kwa NATO
Umoja wa Ulaya walaani vitisho vya Trump kwa NATO
NATO yaonya kauli za kuvuruga umoja wake
NATO yalaani kitisho cha Trump dhidi ya wanachama wake
Mkutano wa Munich: Harris kuongoza ujumbe wa Marekani
Kulingana na Ikulu ya White House, Harris atatoa hotuba muhimu ya sera ya nje
US, UK, EU wataka uchunguzi kuhusu uchaguzi wa Pakistan
Taarifa ya Umoja wa Ulaya imesema hakukua na usawa katika uchaguzi huo
Biden, Scholz kujadiliana msaada kwa Ukraine
Scholz atajadiliana na Biden juu ya kuendeleza msaada wa kijeshi kwa Ukraine.
Israel yaushambulia mji wa Rafah
Israel imeushambulia mji wa Rafah ulioko kusini mwa Gaza leo huku Marekani ikisema hatua za Israel zimechupa mipaka.
Mahakama ya rufaa: Trump hana kinga ya kutoshtakiwa
Trump "hakubaliani kabisa na uamuzi huo na atakata rufaa katika Mahakama ya Juu ya Marekani.
Urusi yakemea mashambulizi ya Marekani Iraq na Syria
Marekani imesema ina haki ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya silaha kwa mujibu wa sheria za kimataifa.
Scholz atarajia Bunge la Marekani kuafikiana kuisaidia Kiev
Kansela huyo wa Ujerumani ataanza siku ya Alhamisi ziara yake mjini Washington.
Blinken awasili Mashariki ya kati kwa mara ya tano
Antony Blinken tayari amewasili nchini Saudi Arabia Jumatatu.
Marekani yatishia mashambulizi zaidi Mashariki ya Kati
Marekani yatishia kufanya mashambulizi zaidi dhidi ya wanamgambo Mashariki ya Kati.
Maseneta wa Marekani wachapisha rasimu ya mpango wa usalama
Rais Joe Biden amewatolea wito wabunge wa Republican kuunga mkono rasimu hiyo
Marekani kushambulia zaidi makundi yanayoungwa mkono na Iran
Marekani na Uingereza zilianzisha mashambulizi dhidi ya makundi hayo katika wiki za hivi karibuni
Mashambulizi ya Marekani yawaua watu 34 Iraq na Syria
Taarifa hizo ni kwa mujibu wa vyanzo vya serikali na shirika linalofuatilia vita la haki za binadamu la Syria.
Korea Kaskazini yafanya majaribio ya makombora mapya
Korea Kaskazini yafanya majaribio ya makombora mapya
Iran yaapa kujibu mashambulizi kama itashambuliwa
Iran imeapa kujibu mashambulizi dhidi yake, wakati wasiwasi ukiongezeka kwamba huenda Washington ikaishambulia Tehran.
Vita vya Israel huko Gaza vimepitiliza- Uchunguzi wa maoni
Uchunguzi wa maoni waonesha nusu ya Wamarekani wenye umri wa utu uzima wanahisi vita vya Israel, Gaza "vimevuka mpaka".
Mzozo wa Gaza watishia kutanuka kote Mashariki ya Kati
Makundi kadhaa ya wanamgambo yanayoungwa mkono na Iran yamekuwa yakishambulia wanajeshi wa Israel na Marekani eneo hilo
Watu 400 wamekufa kwa njaa Ethiopia
Watu 400 wamekufa kwa njaa katika mikoa ya Tigray na Amhara nchini Ethiopia.
Jordan: Wanajeshi watatu wa Marekani wauawa katika shambulio
Maafisa wa Marekani wametathmini kwamba moja ya makundi kadhaa yanayoungwa mkono na Iran ndiyo yaliyoendesha tukio hilo.
Je, ni wagombea wepi wanaowania uteuzi wa vyama Marekani?
Wagombea wawili wanawania uteuzi wa chama cha Republican kuelekea uchaguzi mkuu wa Marekani utakaofanyika Novemba 2024.
Viongozi wa Kiarabu wana chaguo lipi katika mzozo wa Gaza?
Baadhi ya hatua zinazopendekezwa ni kuweka marufuku ya kuizua mafuta Israel na washirika wake. Je wataweza?
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 70
Ukurasa unaofuatia