You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Armenia na Azerbaijan kuchukua hatua za kurejesha uhusiano
Azerbaijan itawaachilia wanajeshi 32 wa Armenia na Armenia itawaachia wanajeshi wawili wa Azerbaijan.
Juhudi za Israel kuwalinda raia Gaza zatiliwa shaka
Blinken amesema bado kuna tofauti kubwa kati ya nia ya kuwalinda raia wa Gaza na matokeo halisi ambayo yanashuhudiwa.
Marekani, Korea Kusini, Japan kukutaka kwa kujadili usalama
Marekani, Korea Kusini, Japan kukutaka kwa kujadili usalama
Marekani yabaini uhalifu wa kivita katika vita vya Sudan
Marekani yabaini uhalifu wa kivita na mauaji ya kikabila katika vita vya Sudan
Maseneta wazuia muswaada wa matumizi kwa Ukraine na Israel
Baraza la Seneti la nchini Marekani limeuzuia muswada wa matumizi kewa Ukraine na Israel
Marekani: Vikosi pinzani vimefanya uhalifu wa kivita, Sudan
Mapigano hayo yaliyozuka katikati mwa mwezi Aprili yamesababisha vifo na watu kuyakimbia makazi yao.
Marekani, Canada, Kenya zaunga mkono kupunguza hewa chafu
Hayo wameyasema katika Mkutano wa Kilele wa Umoja wa Mataifa kuhusu Tabianchi unaoendelea Dubai (COP28).
Afisa wa zamani akiri kuhusika mauaji ya rais wa Haiti
Afisa huyo ni mtu wa nne kukiri jukumu lake la kuhusika katika mauaji ya rais wa Haiti Jovenel Moise mnamo mwaka 2021.
Iran yakana kuhusika na kuvishambulia vikosi vya Marekani
Iran yakana kuhusika na kuvishambulia vikosi vya Marekani
Zelensky kuwahutubia maseneta wa Marekani kwa msaada zaidi
Zelensky kuwahutubia maseneta wa Marekani kwa msaada zaidi
Wahouthi wazishambulia meli za Marekani kwa droni
Marekani imesema meli zake za kivita zilizidunguwa ndege tatu zisizo na rubani ili kujilinda siku ya Jumapili.
Marekani yalaani shambulio la kigaidi Ufilipino
Washington imesema inafanya mawasiliano ya karibu na mshirika wake Ufilipino.
Marekani yaahidi dola bilioni tatu kwa mfuko wa mazingira
Marekani itachangia dola bilioni 3 kwa mfuko wa mabadiliko ya tabia nchi duniani, ikiwa ahadi yake ya kwanza tangu 2014.
Korea Kaskazini yatishia satelaiti za kijasusi za Marekani
Pyong Yang yaonya Marekani kwamba itaharibu satelaiti za kijasusi za taifa hilo ikiwa serikali yake itajaribu shambulio.
Mwanadiplomasia maarufu duniani, Kissinger afariki dunia
Henry Kissinger, aliyekuwa mwanadiplomasia wa juu wa Marekani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 100.
Nini kinafuata kwa Marekani-India baada ya njama ya mauaji?
Waendesha mashtaka wa Marekani wamedai afisa wa India alihusika katika njama ya kumuua mwanaharakati wa Sikh New York.
Pyongyang yadai kunasa picha za satelaiti yake ya kijasusi
wanadiplomasia wakuu wa Marekani, Korea Kusini na Japan wamefanya mazungumzo kuhusu hilo.
Meli ya kivita ya Marekani yazuia mashambulizi ya Wahouthi
Meli ya kivita ya Marekani yazuia mashambulizi ya Wahouthi
Uchaguzi wa Rais Liberia: George Weah akiri kushindwa
Rais wa Liberia George Weah amekubali kushindwa katika awamu ya pili ya uchaguzi wa rais uliofanyika Jumanne.
Japan na China zakubaliana kuimarisha ushirikiano
Uhusiano wa China na Japan ulivurugika hivi karibuni kufuatia uamuzi wa Japan kutiririsha maji kutoka kinu Fukishima.
Wamarekani zaidi wenye asili ya Asia wanunua silaha
Wamarekaini zaidi wenye asili ya Asia wanakimblia kununua silaha kutokana na kupungua kwa imani katika mfumo wa sheria.
Mkutano wa Biden na Xi, Je! Ujerumani iko mahala gani?
Mwanazuoni Hanns Maull amesema hakuna uhakika iwapo mazungumzo hayo yataleta ufumbuzi.
China na Marekani kuanza tena mazungumzo ya kijeshi
Maelezo hayo ni kwa mujibu wa shirika la habari la China, Xinhua.
Marekani na Qatar kufanikisha mpango wa makubaliano Gaza?
Mpango huo utawezesha uwasilishwaji zaidi wa misaada, usitishwaji mapigano kwa siku 3 na kuachiliwa mateka 50 wa Israel.
Marekani: Hamas walitumia hospitali kutekeleza operesheni
Kauli hiyo inatolewa wakati shinikizo likiongezeka kwa Israel kutokana na kuizingira hospitali ya Al-Shifa huko Gaza.
Xi yuko safarini kuelekea Marekani kwa mkutano na rais Biden
Rais Xi Jinping wa China ameondoka mjini Beijing Jumanne mchana kuelekea San Francisco kukutana na Rais Joe Biden.
Biden kukutana na Xi katika mkutano wa APEC
Mkutano huo unatarajiwa kujikita zaidi katika vita vya Israel na kundi la wanamgambo la Hamas
Marekani na Urusi zafanya mashambulizi Syria
Wanamgambo waliolengwa ni wale wanaoungwa mkono na Iran na makundi mengine yenye silaha huko Syria.
Antony Blinken akutana na Subrahmanyam Jaishankar
Mawaziri wa mambo ya nje na wale wa ulinzi wa India na Marekani wamekutana kujadili mambo kadhaa ikiwemo ushirikiano wao
Blinken azungumza na Kagame na Tshisekedi kuhusu M23
Wakati huohuo, mawaziri wa mambo ya nje wa Kongo na Rwanda wametupiana lawama kuhusu machafuko yanayoendelea huko Kivu.
Blinken ataka msimamo wa G7 kuhusu vita vya Israel na Hamas
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amesema ni muhimu kuwepo tamko la wazi kuhusu vita kati ya Israel na k
Mawaziri wa mambo ya nje wa G7 wakutana Tokyo
Mawaziri wa mambo ya Nje wa Kundi la mataifa ya Magharibi yaliyoendelea kiviwanda G7, wanakutana Jumanne mjini Tokyo nch
Japan, US, Ufilipino zajiimarisha Bahari ya Kusini mwa China
Japan , Marekani China na Ufilipino zinaimarisha ushirikiano ili kulinda uhuru wa Bahari Kusini mwa China.
Bunge la Marekani lagawika juu ya usaidizi kwa Ukraine
Marekani imekuwa nchi inayotoa msaada wa kiasi kikubwa kwa Ukraine tangu Urusi kuivamia Februari mwaka jana 2022.
Putin: Silaha za msaada za Ukraine zinauzwa kwa Taliban
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema silaha za msaada zinazotolewa kwa Ukraine zinauzwa katika soko haramu la silaha.
Blinken : Israel haina haki tu bali pia wajibu wa kujilinda
Umoja wa Mataifa umesema kumekuwa na maendeleo katika mazungumzo ya kuruhusu mafuta kuingia katika ukanda wa Gaza.
Blinken awasili Israel wakati vita vikiendelea huko Gaza
Antony Blinken amewasili Israel ili kushinikiza kuwasilishwa kwa misaada zaidi ya kibinadamu katika ukanda wa Gaza.
Bunge la Marekani laidhinisha msaada wa kijeshi kwa Israel
Bunge la Marekani limeidhinisha msaada wa kijeshi wa karibu dola bilioni 14.5 kwa Israel
Mapigano yaendelea kati ya jeshi la Sudan na RSF
Mapigano makali yameendelea katika mji wa El Geneina, jimbo la Darfur kati ya jeshi na wanamgambo wa RSF.
Bunge la Marekani lagawika kuipa msaada Israel na Ukraine
Kura inafanyika wakati bunge la Marekani Congress likiwa linavutana kuhusu msaada mpya kwa Israel na Ukraine.
Guterres: Kuna hatari ya kutanuka mzozo wa Gaza
Hadi sasa, wizara ya afya huko Gaza imesema watu 8,525 wameuawa Gaza huku 3,500 miongoni mwa hao wakiwa ni watoto.
Sudan: RSF yadai kuchukua udhibiti wa uwanja wa ndege
Katika kipindi cha miezi mitatu sasa RSF imelidhibiti eneo la mpakani la Om Dafouq.
Vikao vya kusikiliza kesi za kumzuia Trump asigombee vyaanza
Kampeni ya kujaribu kumzuia rais wa zamani Donald Trump kugombea urais kwa mara nyengine, inaingia awamu mpya wiki hii.
Iran yasema Marekani yashambuliwa kufuatia sera zake mbaya
Iran imesema mashambulizi dhidi ya vikosi vya Marekani nchini Iran na kwengineko ni kufuatia sera mbaya za nchi hiyo.
Mapigano yaendelea Sudan licha ya kurejea kwa mazungumzo
Wakuu wa kijeshi wanaohasimiana nchini Sudan wameanza tena kufanya mazungumzo nchini Saudi Arabia.
China na Urusi waikosoa Marekani katika mkutano wa kijeshi
Wakuu wa jeshi wa China na Urusi wameikosoa Marekani siku ya Jumatatu katika mkutano wa usalama mjini Beijing.
Wakuu wa kijeshi wa China na Urusi wakutana Beijing
Wawakilishi wa kijeshi wa nchi kadhaa ikiwemo Marekani na Urusi wanahudhuria jukwaa la kijeshi la China la Xiangshan.
Marekani: Netanyahu apaswa kuwadhibiti walowezi
Hamas, zaidi ya Wapalestina 8,000 wameuawa tangu kuanza kwa vita hivyo Oktoba 7 mwaka huu.
Mshukiwa wa shambulizi la bunduki Marekani akutwa amekufa
Robert Card anayetuhumiwa kuwauwa watu 18 kwa bunduki katika jimbo la Maine nchini Marekani amekutwa amekufa.
Marekani yavishambulia vituo vya silaha Syria
Marekani imevishambulia vituo vya silaha nchini Syria kwa kile kinacholezwa kuwa ni hatua ya kuyajibu mashambulizi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 70
Ukurasa unaofuatia