You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
10.10.2024 - Matangazo ya Jioni
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Lebano UNIFIL umesema vikosi vya Israel vimeshambulia makao makuu yake yaliopo kusini mwa nchi hiyo na kuwajeruhi walinda amani wake wawili+++Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo ni miongoni mwa mataifa 15 yaliyochaguliwa kuchukuwa nafasi katika Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa
10.10.2024 - Matangazo ya Mchana
Kimbunga Milton kimepiga jimbo la Florida nchini Marekani na kusababisha uharibifu mkubwa kote katika eneo la katikati mwa jimbo hilo pamoja na kuacha zaidi ya nyumba na biashara milioni 3 bila umeme+++Msumbiji imeanza shughuli ya kuhesabu kura za uchaguzi wa rais na wabunge uliofanyika jana Jumatano, ambao unatarajiwa kurefusha miaka 49 ya chama tawala cha Frelimo madarakani
10.10.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Rais wa Namibia Nangolo Mbumba anasema nchi yake, inayokabiliwa na ukame mkubwa+++Hadi sasa waasi wa Houthi wamenusurika mashambulizi ya Marekani na Israel+++Tuzo ya amani ya Nobel inatarajiwa kutolewa Ijumaa na kutoa mwanga wa matumaini wakati dunia ikikabiliwa na machafuko katika baadhi ya mataifa
Makombora ya Urusi yauwa 6 Odessa
Watu sita wameuawa kwa mashambulizi ya anga ya Urusi kwenye mji wa bandari ya kusini mwa Ukraine, Odessa.
Kimbunga Milton chatuwa Florida
Biden amemshambulia Trump kwa 'kusambaza uongo' juu ya jinsi serikali yake inavyolishughulikia suala la Kimbunga Helene.
Saudi Arabia yakosa kiti Baraza la Haki za Binaadamu UM
Saudi Arabia imeshindwa kupata kiti kwenye Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa.
Japan yalalamikia 'harakati za jeshi' China
Waziri wa mambo ya kigeni wa Japan amewasilisha kwa China malalamiko juu ya kuongezeka kwa harakati za kijeshi.
Mto Logone wavunja rikodi ya miaka 30 kwa kufurika
Mto Logone umeanza kufurika kwa kiwango kikubwa kabisa kuwahi kushuhudiwa kwa zaidi ya miaka 30 illiyopita.
Vifo vya genge lenye silaha Haiti vyafikia 109
Idadi ya vifo vilivyotokana na mashambulizi ya kikatili ya genge moja lenye silaha nchini Haiti imefikia watu 109.
10.10.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya Jumatano 10 Oktoba 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Bilionea Ratan Tata wa India afariki dunia akiwa na miaka 86
Mkuu wa makampuni ya Tata Sons ametangaza kifo cha mwanzilishi wa makampuni hayo, bilionea Ratan Tata.
08.10.2024 - Matangazo ya Jioni
Naibu Rais Rigathi Gachagua yuko bungeni kujitetea kufuatia hoja ya kutaka kumuondowa madarakani+++Wizara ya afya nchini Rwanda imesema kuwa serikali ya nchini humo imeendelea kutoa chanjo dhidi ya virusi vya Marburg zoezi lililoanz tangu siku ya Jumapili.
08.10.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Ukraine Volodymry Zelensky asema hali ni mbaya Donetsk / Marekani yatoa tahadhari kwa raia wake kuelekea Rwanda
08.10.2024 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inagombea kiti kwenye baraza la haki za binaadamu la Umoja wa mataifa / Msumbiji inajiandaa kwa uchaguzi wa rais na bunge tarehe 9 Oktoba, kuashiria mwisho wa kipindi cha mihula miwili ya Rais Filipe Nyusi
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 08.10.2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Oktoba 08.10.2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn.
07.10.2024 - Matangazo ya Jioni
Wakati Israel ikiadhimisha kumbukumbu ya mwaka mmoja wa shambulio la Oktoba 7 mwaka uliopita, Israel imeendeleza mashambulizi yake huko Gaza+++Wanasayansi wa Marekani Viktor Ambros na Gary Ruvkun wameshinda tuzo ya masuala ya tiba ya mwaka huu wa 2024
07.10.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mwaka mmoja tangu shambulio la Hamas kusini mwa Israel/ Wafuasi wa Kais Saied tayari wameanza kusherehekea kwa kupiga honi barabarani muda mfupi tu baada ya zoezi la kupiga kura nchini Tunisia.
07.10.2024 Matangazo ya Asubuhi
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Mbiu ya Mnyonge, Makala yetu Leo, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa
Kongo yaanza kutoa chanjo ya mpox baada ya mkwamo
Chanjo hizo ilipangwa zianze kutolewa siku ya Jumatano lakini mamlaka za afya ziliarifu kwamba mpango huo ulishindikana.
Makala ya Afrika Wiki Hii
Huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo watu zaidi ya 100 wamefariki kutokana na ajali ya meli kwenye ziwa kivu. Nchini Kenya, Naibu wa Rais Rigathi Gachagua anaandamwa na mchakato wa kuondolewa madarakani. Huko Rwanda watu kadhaa wameripotiwa kufariki dunia kufuatia mlipuko wa virusi vya Marburg.
04.10.2024 - Matangazo ya Jioni
Maafisa wa Ukraine na Urusi wameripoti kuuliwa afisa wa shughuli za usalama wa kinu cha Nuklia cha Zaporizhizhia, Andriy Korotky+++Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa leo anawakaribisha viongozi wa nchi zinazozungumza Kifaransa katika mkutano wa kilele wa "Francophonie" Mkutano anaotumai kuwa utasaidia kuongeza ushawishi wa Ufaransa barani Afrika
Umoja wa Mataifa wawaomba wafadhili kuisaidia Somalia
Umoja wa Mataifa nchini Somalia umeihimiza jumuiya ya kimataifa kuendelea kuisaidia Somalia.
Mauritius yatangaza tarehe ya uchaguzi, yavunja Bunge
Mauritius imetangaza itafanya uchaguzi wa bunge mnamo Novemba 10 na kwamba bunge la sasa limevunjwa.
Umoja wa Ulaya waidhinisha ushuru mkubwa kwa gari za China
Umoja wa Ulaya umeidhinisha nyongeza kubwa ya ushuru wa forodha kwa magari ya umeme yanayoundwa nchini China.
Wafanyakazi wa ndani Lebanon wako mashakani - UM
Umoja wa Mataifa umesema wafanyakazi wa majumbani nchini Lebanon wanapitia kipindi kigumu wakati huu wa vita.
Ukraine yashambulia bohari ya mafuta ya Urusi
Ukraine imesema imeishambulia bohari ya mafuta ya Urusi kwa kutumia droni kwenye mkoa wa mpakani wa Voronezh.
Iran yaahidi kuishambulia tena Israel endapo itashambuliwa
Araghchi amesema Iran itajibu vikali iwapo Israel kuishambulia Tehran baada ya makombora ya Oktoba Mosi.
Mafuriko yaua 14 Bosnia Herzegovina
Watu wasiopungua 14 wamekufa kutokana na mafuriko makubwa yaliyoikumba Bosnia Herzegovina.
IMF yapokea maombi ya kuitathmini Kenya
Hayo yanatokana na shinikizo kutoka mataifa ya Magharibi.
Macron kuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa Francophonie
Macron wa Ufaransa atakuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa siku mbili wa Jumuiya ya Nchi Zinazozungumza Kifaransa.
Uchambuzi: Mambo gani yamo kwenye mkakati wa Iran, Israel?
Mambo gani yanayoweza kuzisukuma nchi hizo mahasimu ama kuuchochea zaidi mgogoro huo au kuona haja ya kujizuia?
Mashambulizi ya Israel yaharibu barabara ya Lebanon-Syria
Israel inadai njia hiyo inatumiwa na wanamgambo wa Hizbullah kusafirisha silaha kimagendo.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Yaliyozingatiwa na magazeti ya Ujerumani juu ya Afrika mnamo wiki hii ni pamoja na hali ya nchini Mali. Nchini Sudan kila siku inayopita bila kujali yanayotukia nchini humo maana yake ni kuangamia kwa binadamu. Nigeria yaelekea kuondokana na kizungumkuti cha kiuchumi baada ya kuanza kufanya kazi viwanda vya kuchakachua mafuta vya tajiri wa barani Afrika, Aliko Dangote.
04.10.2024 - Matangazo ya Mchana
Lebanon imesema shambulizi la Israel leo Ijumaa limeharibu barabara kuu kuelekea Syria+++Takribani watu 78 walifariki baada ya boti iliyojaa watu kupita kiasi kupinduka kwenye Ziwa Kivu Mashariki mwa Kongo jana.
Ayatullah Ali Khamenei atetea kuishambulia Israel
Ayatollah Ali Khamenei ametumia hotuba ya Sala ya Ijumaa kutetea shambulizi la makombora la nchi yake dhidi ya Israel.
Rwanda: Watu 11 wafa kwa Marburg
Mamlaka za Afya nchini Rwanda zimesema homa hatari ya Marburg inayohusisha mgonjwa kuvuja damu imewaua watu 11.
Ramaphosa akabiliwa tena na mchakato wa kumuondowa
Mahakama ya Katiba ya Afrika Kusini itaanza kusikiliza kesi ya kuufufua mchakato wa kumuondoa madarakani Rais Ramaphosa.
Mahojiano: Kinachoendelea Kongo baada ya ajali mbaya ya boti
Ruth Alonga anasimulia yanayojiri baada ya ajali ya mashua kwenye Ziwa Kivu mashariki mwa Kongo kusababisha vito kadhaa.
Israel yaendelea kuishambulia Lebanon
Israel imefanya mashambulizi makali usiku wa kuamkia leo kwenye viunga vya mji mkuu wa Lebanon, Beirut.
Ghana yathibitisha maambukizo ya kwanza ya mpox
Ghana imethibitisha maambukizo ya kwanza ya ugonjwa wa mpox wakati maradhi hayo yanaendelea kusambaa barani Afrika.
Waliokufa ajali ya boti Kongo wafikia 78
Idadi ya watu waliokufa kutokana na ajali ya boti nchini Kongo imefikia 78 huku juhudi za kuwatafuta wengine zinaendelea
Urusi yaitaka Magharibi kuindolea vikwazo Afghanistan
Urusi imeyatolea mwito mataifa ya Magharibi kuondoa vikwazo ilivyoweka dhidi ya utawala wa Taliban nchini Afghanistan.
Orban atahadharisha Ulaya, China zaelekea vita vya kiuchumi
Waziri Mkuu wa Hungary ametahadharisha kwamba Umoja wa Ulaya unaelekea kwenye "vita baridi vya kiuchumi" na China.
Hoffenheim yaibwaga Dynamo Kyiv 2-0
Hoffenheim imepata ushindi wa 2-0 dhidi ya Dynamo Kyiv katika mechi ya mashindano ya Ligi ya Ulaya.
Ukraine yaimarisha ulinzi mashariki mwa Donetsk
Jenerali Oleksandr Syrskyi, ameamrisha kuimarishwa kwa ulinzi katika eneo la mashariki mwa Donetsk.
Melania Trump aunga mkono haki ya kutoa mimba
Mke wa Donald Trump, Melania Trump, anaunga mkono haki ya kutoa mimba katika kumbukumbu yake aliyoiandika.
Kimbunga Helene chaua 210 Marekani
Watu 210 wamethibitishwa kufariki dunia kutokana na Kimbunga Helene kilichoyapiga majimbo kadhaa ya Marekani.
Watu 11 wauawa Haiti
Karibu watu 11 wameuwawa na dazeni kadhaa wengine kujeruhiwa katika shambulizi lililofanywa nchini Haiti.
Kim Jong Un atishia kutumia nyuklia
Kim Jong Un ametishia kutumia silaha za nyuklia na kuisambaratisha kabisa Korea Kusini iwapo nchi hiyo itamchokoza.
03.10.2024: Matangazo ya Jioni
Zaidi ya watu 50 wafariki kufuatia ajali ya meli nchini DRC. Mzozo wa Mashariki ya Kati waendelea kutokota na Ujerumani yaadhimisha miaka 34 ya muungano.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 130
Ukurasa unaofuatia