You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kremlin: Putin yuko tayari kwa mazungumzo na Kansela Scholz
Kauli ya Peskov ilikuwa ikijibu taarifa ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani.
Rais Biden kufanya ziara fupi nchini Ujerumani wiki ijayo
Ziara ya awali ya Biden nchini Ujerumani ilikuwa ifanyike kati ya Oktoba 10 na 12, 2024.
Urusi na Ukraine zashambuliana kwa droni na makombora
Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema pia kuwa imeharibu droni 13 za Ukraine.
Matangazo ya mchana: 12.10.2024
Ukraine na Urusi zashambuliana kwa droni usiku kucha. Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya bunge la Ujerumani asema Ujerumani inahitaji jeshi kubwa zaidi. China yatishia kuweka vikwazo vya kiuchumi kwa Taiwan.
Ukraine na Urusi zashambuliana kwa droni usiku kucha
Vikosi vya Urusi vimepiga hatua katika uwanja wa mapambano upande wa mashariki mwa Ukraine.
EU yajiandaa kuiwekea vikwazo Iran
Umoja wa Ulaya unajiandaa kuiwekea vikwazo vipya Iran kutokana na hatua yake ya kuipelekea Urusi makombora ya kuisadia k
Ujerumani yaahidi msaada zaidi wa silaha kwa Ukraine
Zelensky amekutana mapema Ijumaa na kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis huko Vatican.
Urusi yafanya mashambulizi 114 Ukraine ndani ya masaa 24
Vikosi vya jeshi la Urusi vimefanya mashambulizi 114 kwenye eneo la mashariki mwa Ukraine ndani ya masaa 24 yaliyopita.
Zelensky awasilisha ''mpango wa ushindi'' kwa washirika
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amewasilisha ''mpango wake wa ushindi'' kwa Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer.
Zelenskiy atoa mpango wa ushindi wa vita na Urusi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky Alhamis aliwasilisha kile alichokitaja kama "mpango wa ushindi" kwa Waziri Mkuu wa Ui
Urusi yawasajili Waafrika kutengeza droni za vita Ukraine
Takriban wanawake 200 wenye miaka 18 hadi 22 kutoka barani Afrika, wamekuwa wakisajiliwa kwenda kufanya kazi Urusi.
Urusi yatumia wanawake wa Kiafrika kutengeneza droni
Karibu wanawake 200 kutoka barani Afrika, wanatumiwa na Urusi kuunda droni zinazotumika kuishambulia Ukraine.
Makombora ya Urusi yauwa 6 Odessa
Watu sita wameuawa kwa mashambulizi ya anga ya Urusi kwenye mji wa bandari ya kusini mwa Ukraine, Odessa.
Mkutano wa kilele kuhusu Ukraine huko Ramstein waahirishwa
Mkutano wa ngazi ya juu kuhusu Ukraine uliopangwa kufanyika katika mji wa Ramstein nchini Ujerumani waahirishwa.
Mkutano wa kuujadili usalama wa Ukraine waahirishwa
Mkutano wa usalama wa Ukraine uliopangwa kufanyika katika kambi ya jeshi ya Ramstein nchini Ujerumani umeahirishwa
Jeshi la Ukraine limedungua droni 21 za Urusi
Jeshi la Ukraine limesema Urusi ilirusha makombora matatu na droni 22 katika shambulizi la usiku wa kuamkia Jumatano.
Ukraine haitarajii kutafanyika mkutano wa pili wa amani
Viongozi 100 wa dunia walihudhuria kongamano la kwanza la amani lililofanyika nchini Uswisi mwezi Juni.
Uingereza yaiadhibu Urusi,kutumia silaha za kemikali Ukraine
Uingereza yaiadhibu Urusi kwa kutumia silaha za kemikali nchini Ukraine
Rais Zelensky asema hali ni mbaya Donetsk
Rais wa Ukraine Volodymry Zelensky ameieleza hali kuwa bado ni mbaya huko Donetsk.
Seoul:Huenda wanajeshi wa Korea Kaskazini wanapigana Ukraine
Seoul: Huenda wanajeshi wa Korea Kaskazini wanapigana Ukraine
Watu 11 wajeruhiwa Kharkiv kufuatia shambulio la Urusi
Watu 11 wajeruhiwa Kharkiv kufuatia shambulio la Urusi
Harris hatokutana na Putin iwapo Ukraine haitowakilishwa
Utawala wa Rais Joe Biden ulikataa kufanya mazungumzo yoyote na Putin.
Ukraine yashambulia kituo cha mafuta katika eneo la Crimea
Ukraine imesema mashambulizi hayo ni ya kisasi baada ya miundombinu yake ya nishati kushambuliwa na Urusi.
Mwanaharakati wa upinzani Urusi auawa katika uwanja wa vita
Mwanaharakati huyo mwenye umri wa miaka 42 alihukumiwa kifungo cha miaka miwili na nusu gerezani mnamo mwaka 2015.
Urusi yashambulia kwa droni Kyiv na mji wa bandari Odesa
Urusi yashambulia kwa droni Kyiv na miundombinu ya mji wa bandari Odesa.
Zelensky na Biden kuhudhuria mazungumzo ya ulinzi wa Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema atahudhuria mkutano wa kimataifa kujadili msaada wa kijeshi kwa Ukraine.
Ukraine kuwasilisha 'mpango wa ushindi' kwa Washirika wake
Zelensky asema kwamba nchi yake itawasilisha ´mpango wa ushindi wa vita´ katika mkutano wa kawaida wa washirika wake.
Kremlin yaonya Ukraine "inacheza na moto"
Kremlin yaonya kwamba Ukraine "inacheza na moto" baada ya kuuwawa kwa Andriy Korotky.
Ukraine yashambulia bohari ya mafuta ya Urusi
Ukraine imesema imeishambulia bohari ya mafuta ya Urusi kwa kutumia droni kwenye mkoa wa mpakani wa Voronezh.
Ukraine yaimarisha ulinzi mashariki mwa Donetsk
Jenerali Oleksandr Syrskyi, ameamrisha kuimarishwa kwa ulinzi katika eneo la mashariki mwa Donetsk.
Katibu Mkuu mpya wa NATO afanya ziara ya kwanza Ukraine
Mark Rutte ambaye ndiye katibu mkuu mpya wa jumuiya ya kujihami ya NATO, amefanya ziara yake ya kwanza kabisaa Ukraine.
Urusi yaishambulia mikoa 15 ya Ukraine
Vikosi vya Urusi vimefanya mashambulizi ya droni katika mikoa 15 ya Urusi usiku wa kuamkia leo.
Zelensky aomba msaada zaidi wa kijeshi
Zelenskiy aendelea kutoa wito kwa washirika wake wa magharibi kuipa Ukraine silaha zaidi.
Urusi yauteka mji muhimu wa mashariki mwa Ukraine
Kutekwa kwa mji huo wenye wakaazi 14 elfu ni mafanikio makubwa kwa Urusi katika miezi kadhaa ya vita huko mashariki.
Ukraine yachunguza kuuawa wanajeshi 16
Ukraine imeanzisha uchunguzi wa mauaji ya wanajeshi wake 16 wafungwa wa kivita kwa kupigwa risasi na vikosi vya Urusi.
02.10.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Israel itaendelea kufanya mashambulizi kote Mashariki ya Kati kufuatia shambulizi la Iran. Ukraine yachunguza mauaji ya wanajeshi wake wafungwa wa kivita waliouwawa na Urusi. Na Wabunge wa Kenya waridhia mjadala wa kumuondoa madarakani naibu wa rais Rigathi Gachagua.
Mashambulizi ya Urusi yaua sita Ukraine
Urusi umelishambulia soko moja la mji wa kusini mwa Ukraine wa Kherson na kuuwa watu sita na kuwajeruhi wengine watatu.
Rutte: "Sina hofu na utawala ujao wa Marekani"
Katibu Mkuu wa zamani wa NATO Jens Stoltenberg anakabidhi madaraka baada ya kuongezewa muda kwa mara tatu.
Watu saba wauawa kwa shambulizi la Urusi nchini Ukraine
Ofisi ya mwendesha mashtaka wa mji wa Kherson imesema kuwa mji huo umeshambuliwa kwa makombora.
01.10.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Korea Kaskazini yaikosoa Marekani na washirika wake kwa uchochezi katika eneo la Asia Pasifiki. Ukraine yavunjwa moyo na hatua ya Uswisi kuunga mkono mpango wa amani uliopendekezwa na China na Brazil. Na nyota wa mchezo wa kikapu raia wa Congo na Marekani Dikembe Mutombo aaga dunia.
Ukraine yavunjwa moyo na Uswisi kuhusu mpango wa amani
Marekani na washirika wake wa Ulaya wameukataa mpango huo
Putin asema Urusi itatimiza malengo yote yaliyowekwa Ukraine
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema Moscow itatimiza malengo yote ambayo imejiwekea nchini Ukraine.
Urusi yaishambulia tena Kiev kwa droni
Jeshi la anga la Ukraine linasema limezidunguwa droni kadhaa zilizorushwa na Urusi kwenye mji mkuu, Kiev.
Urusi yaushambulia mji wa Kiev kwa droni
Serikali za nchi za Magharibi zinaituhumu Iran kwa kuipa Urusi droni na makombora lakini Iran imekanusha madai hayo.
Urusi yaushambulia kwa makombora mkoa wa Zaporizhzhia
Vikosi vya Urusi vimeushambulia mji wa Zaporizhzhia nchini Ukraine kwa makombora na kuwajeruhi takriban watu 16.
Urusi yadungua droni 126 za Ukraine
Urusi imedungua droni 125 za Ukraine zilizovurumkishwa usiku kucha huku jengo la makaazi ya raia lilishambuliwa.
Matangazo ya Mchana 28.09.2024
Jeshi la Israel lasema limemuuwa Kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah // Ukraine yasema mashambulizi ya Urusi kwenye hospitali yaua watu saba // Umoja wa Mataifa umesema watu 3,661 waliuawa 2024 katika ghasia za Haiti
Mashambulizi ya Urusi katika hospitali yaua watu saba
Watu saba wameuawa kufuatia mashambulizi mawili ya Urusi kwenye hospitali ya mji wa mpakani wa Sumy nchini Ukraine.
China na Brazil zaonya dhidi ya matumizi ya nyuklia Ukraine
China na Brazil zimetoa wito dhidi ya matumizi au kitisho chochote cha silaha za nyuklia nchini Ukraine.
Pakistan yakemea vita vya Israel huko Gaza
Mzozo wa Mashariki ya Kati umetawala hotuba katika hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 67
Ukurasa unaofuatia