You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Uchaguzi Mkuu Kenya 2017
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kenya, Eritrea zakubaliana kuondoa viza kwa wananchi wao
Kenya na Eritrea zimekubaliana kuondoa viza kwa wananchi wa mataifa hayo kwa manufaa ya raia wao.
Kenya yakabiliwa na kitisho cha njaa, ripoti
Kenya imejikuta kwenye nafasi ya 94 kati ya mataifa 121 kwenye tathmini mpya ya hali ya njaa ya ulimwengu.
Polisi wazingira makazi ya waziri wa zamani Kenya
Hata hivyo mkuu wa jeshi la polisi Japhet Koome amekanusha maafisa wake wamehusika na uvamizi kwa Matiang'i.
Kongamano la kwanza la Saratani lazinduliwa mjini Nairobi
Kongamano la kwanza la Saratani nchini Kenya limefunguliwa rasmi mjini Nairobi kutathmini hali halisi ilivyo likiwa na kaulimbiu: Sema kwa sauti moja na chukua hatua." Takwimu zinaashiria kuwa takribani nusu ya wagonjwa wa saratani hugundulika kuwa na maradhi hayo wakiwa kwenye hatua za mwisho za kuugua. Thelma Mwadzaya alihudhuria kongamano hilo na ametuandalia taarifa hiyo.
Watu Mashuhuri wazungumzia miaka 60 ya DW Kiswahili
Kila mara Idhaa ya Kiswahili ya DW huzungumza na watu wenye ushawishi katika jamii, kuhusu mada mbalimbali.
Chibukati atishia 'kumburuza' Raila mahakamani
Chebukati amempa siku saba Odinga kuthibitisha madai yake vyenginevyo atamfikisha mahakamani.
Viongozi wa dini Kenya wapewa kibarua cha kurejesha umoja
Msisitizo ni kuisaidia Kenya kuachana na siasa za migawanyiko ya kikabila ambazo zimekuwa mwiba kwa taifa hilo.
Marsabit wataka chakula cha misaada kisitishwe
Wanasema chakula cha serikali kimekuwa kikiibiwa na hakiwafikii walengwa wakati makali ya ukame yakizidi.
Kenyatta atoa wito wa kupunguza mzozo DR Kongo
Rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta ametoa wito wa kukomeshwa mgogoro Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Tume ya uchaguzi Kenya yatoa ripoti ya uchaguzi
Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya IEBC imeiweka bayana ripoti yake ya mwisho. Makamishna watatu waliokuwa wamesalia wanajiandaa kufungua ukurasa mpya baada ya miaka 6 ya kuwa kwenye tume hiyo. Watatu hao walianza kazi Januari 2017 pamoja na wengine 4 waliojiuzulu baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huo.Thelma Mwadzaya alituarifu zaidi kutoka Nairobi.
M23 yakubali kuanza kujiondoa mashariki mwa DRC
Haya yanajiri baada ya Uhuru kufanya mkutano wa faragha na viongozi wa kundi la waasi wa M-23 mjini Mombasa.
Ongezeko la visa vya dhulma za kijinsia Marsabit Kenya
Visa hivyo vinaaminika kuchangiwa na hali ngumu ya Maisha wanayopitia wafugaji kwa wakati huu wa ukame mkali.
Ruto atoa amri ya mabadiliko ya utendakazi wa wizara Kenya
Mabadiliko haya yanajiri huku kukiwa na vuta ni kuvute kati ya naibu Rais wa nchi hiyo na baadhi ya viongozi.
Je ofisi ya kiongozi wa upinzani Kenya itakuwa na mantiki?
Rais wa Kenya, William Ruto amewaandikia barua spika wa bunge la taifa na Seneti kuwasilisha mswada wa kuunda afisi ya kiongozi wa upinzani. Wengi wanahoji Je, ofisi hii itakayoundwa itakuwa vipi? Na je kuundwa kwake hakutaleta mgongano kwa upande wa upinzani? Haya ni miongoni mwa maswali yaliyojibiwa na Martin Oloo, mchambuzi wa siasa mjini Nairobi kama alivyozungumza na Josephat Charo.
Kenya: Wito wa kuunda afisi ya kiongozi wa upinzani
Afisi hiyo ikiundwa, kiongozi wa upinzani atakuwa na mshahara, walinzi pamoja na mafao mengine.
Mwanaharakati auawa nchini Kenya
Nchini Kenya polisi wanachunguza kisa cha mwili wa mwanaharakati wa kutetea haki za wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kutupwa kando ya barabara ukiwa ndani ya sanduku eneo la Uasin Gishu. John Juma alizungumza na wakili Brian Weke ambaye pia ni mwanaharakati wa haki za binadamu kuhusu hilo na mengine mengi. Mwanaharakati huyo ameanza kwa kuzungumzia masikitiko yake kuhusu tukio hilo.
Je viongozi wa Afrika wanatosha kusuluhisha migogoro yao?
Wachambuzi wengi wanaona mara nyingine hakuna ulazima wa wapatanishi wakati pande zinazopigana ziko tayari kuzungumza.
Ruto aahidi huduma za serikali kwa Wakenya wote
Rais William Ruto ameiongoza Kenya kuadhimisha siku kuu ya Jamhuri yenye kauli mbiu Teknolojia na Uvumbuzi.
Kenyatta awaomba Wakongo kuishi kwa amani, kusameheana
Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta amefunga rasmi kikao cha Jumuiya ya Afrika Mashariki, kilicholenga kutafuta ufumbuzi wa mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasi ya Kongo. Kenyatta amewashauri wawakilishi wa pande zote mbili kusameheana na kuishi kwa amani, huku makundi yaliyojihami yakikubali kusitisha makabiliano. Shisia Wasilwa alituandalie ripoti hii.
Rais Kagame amshtumu Tshisekedi
Mapigano kati ya jeshi la Kongo na waasi wa M23 yamezidisha mvutano baina ya Kinshasa na Kigali.
Uzinduzi wa hazina ya kukopa bila riba Kenya
Wakenya wa kipato cha chini wanashusha pumzi baada ya hazina ya kukopa hela bila riba kuzinduliwa rasmi.Hii ni moja ya ajenda kuu ya serikali ya Kenya Kwanza.Rais William Ruto amesisitiza kuwa hii ni moja ya nguzo za mfumo wa uendeshaji uchumi unaodhamiria kuwakwamua wanaozongwa na minyororo ya umasikini. Isikilize ripoti ya Thelma Mwadzaya.
Kenya yazindua kamati maalum kushughulikia ukame
Juhudi za kupambana na ukame unaosababisha njaa zimepata msukumo nchini Kenya baada ya kamati maalum kuzinduliwa.
Kenya kuchukua hatua kali dhidi ya dawa za kututumua misuli
Wizara ya michezo nchini Kenya imesema "inachukua hatua madhubuti" dhidi ya matumizi ya dawa za kutunisha misuli.
GMO yatishia kumuondosha waziri Kenya
Meli iliyosheheni mahindi imefunga gati bandarini Mombasa, huku wakulima wakijiandaa kwa msimu wa mavuno.
Kenyatta ahimiza amani mzozo wa DRC, SUK mashakani Zanzibar, Ruto ajitenga na uondoaji ukomo wa mihula
Katika makala ya Afrika Wiki Hii, miongoni mwa mengi ni pamoja juhudi za kutatuta mzozo wa kijeshi mashariki mwa Congo ambapo mjumbe maalumu wa EAC Uhuru Kenyatta amewahimiza waasi wa M23 kuweka chini silaha, rais wa Kenya William Ruto asema kamwe hatokubali katiba "ikeketwe" kwa malengo binafasi, serikali ya Umoja wa Kitafa Zanzibar mashakani, na msaada wawasili Tigray.
Wakenya wahimizwa kulinda demokrasia yao
Wakenya wahimizwa kulinda demokrasia yao
Kenyatta azuru mji wa Goma katikati mwa mzozo wa waasi
Majeshiya serikali ya Congo yalikuwa yanapambana na waasi wa M23 huko Kibumba, kilomita 20 kaskazini mwa mji wa Goma.
Je, Kenya kuongeza serikali za kaunti?
Wapinzani wanasema kuongeza kaunti ni kuongeza gharama kubwa za uendeshaji wa serikali.
Marsabit yasitisha uhasama
Kwa zaidi ya miaka mitano iliyopita, jamii za Marsabit zinazozania raslimali na kupelekea vita vya kikabila.
Kenyatta ataka mamlaka ya Kongo iheshimiwe
Mzozo wa mashariki mwa Kongo umeshaangamiza maisha ya maelfu ya watu na kuwageuza wengine milioni kadhaa kuwa wakimbizi.
Mjadala waibuka kuhusu uhuru wa idara za sheria Kenya
Mjadala umeibuka kwa mara nyingine nchini Kenya juu ya uhuru wa idara za sheria na utoaji wa haki baada ya makamu wa rais wa nchi hiyo Rigathi Gachagua kumrai mwendesha mashatka mkuu wa serikali kuondoa kesi zilizo mahakamani ambazo zilifunguliwa wakati wa utawala uliotangulia. Rashid Chilumba amezungumza na mwanasheria Harun Ndubi kutoka Nairobi.
EAC yatangaza mazungumzo ya amani kwa Congo Mashariki
Jumuiya ya Afrika Mashariki yenye mataifa saba imesema itafanya majadiliano ya amani kuhusu Congo Mashariki Novemba 21.
Mkataba wa amani waafikiwa kati ya Ethiopia na TPLF
Ujerumani kuburuzwa tena mahakamani Namibia kuhusu mkataba wa mapatano juu ya mauaji ya Waherero na Nama
Je matumaini mapya yemechomoza Ethiopia?
Je, mkataba huu utadumu kwa muda mrefu? Je, ndio kusema matumaini mapya yameanza kuchomoza nchini Ethiopia?
Kenya kushirikiana na Israel kiteknolojia katika kilimo
Serikali ya Kenya inafikiria namna ya kuimarisha uzalishaji wa chakula mnamo wakati ukame unazidi kuiathiri.
Bunge la Kenya laidhinisha wanajeshi wao kupelekwa DRC
Bunge la Kenya limeridhia hatua ya kupeleka kikosi maalum katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kupambana na waasi.
Wakenya kuingia Afrika kusini bila viza
Rais Ramaphosa azuru Kenya
Duru mpya ya mazungumzo kati ya Ethiopia ya Tigray yaanza
Mikataba hiyo ilitiwa saini baada ya majadiliano ya kina yanayolenga kumaliza mgogoro kati ya pande mbili hasimu.
Mgomo wa marubani nchini Kenya waingia siku ya tatu
Yanajiri huku Afisa Mkuu wa Kampuni hiyo akisema marubani 33 waliostahili kufika kazini na wakakosa watafutwa kazi.
Ukame waua tembo 205 nchini Kenya
Ukame nchini Kenya umewaua tembo 205 pamoja na wanyama pori wengine kati ya mwezi Februari na Oktoba mwaka huu.
Naibu Waziri wa Ujerumani ahitimisha ziara barani Afrika
Naibu Waziri wa masuala ya kigeni wa Ujerumani kwa bara la Afrika Katja Keul ameitembelea Kenya.
DRC yaahidi kukomboa maeneo yanayodhibitiwa na waasi wa M23
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeahidi kurejesha haraka maeneo ambayo sasa yanadhibitiwa na waasi wa M23
Kenya yatuma vikosi nchini Kongo
Harakati za kuutatua mzozo wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo zimepata msukumo mpya baada ya Kenya kuyaridhia majeshi yake kudumisha amani huko chini ya mwavuli wa kikosi cha kikanda, EACRF. Hatua hii inachukuliwa baada ya uamuzi kupitishwa mwezi Juni. Wakati huohuo viongozi wa kikanda wanajiandaa kurejea mazungmzo baada ya kikao cha Novemba 7 kuahirishwa. Msikilize Thelma Mwadzaya.
Kenya yatuma vikosi DRC kupambana na waasi
Rais wa Kenya William Ruto leo ametangaza kutumwa kwa kikosi cha jeshi la nchi yake kwenda mashariki mwa Jamhuri ya Kide
Congo yapuuza wito wa mazungumzo na waasi wa M23
Waziri wa mambo ya nje wa Kongo anasema juhudi za kidiploamasia bado zinahitajika katika kumaliza vita mashariki Kivu.
Kenya: Idadi ya majaji wanawake yaongezeka
Idadi ya majaji wanawake imefikia 81 ikilinganishwa na wanaume 91.
Kupitishwa kwa mawaziri Kenya, kunamaanisha nini?
Hapa utamsikia mchambuzi Martin Oloo akizungumzia hatua ya bunge la kitaifa la Kenya kupitisha mawaziri wateule wa serikali ya rais William Ruto, tofauti na mitazamo ya awali ya kuwapinga baadhi ya wateule hao. Anasemaje? Sikiliza mahoajiano haya.
Bunge la Kenya laidhinisha baraza la mawaziri
Baraza jipya la mawaziri nchini Kenya limeidhinishwa na bunge la taifa na sasa linasubiri ridhaa ya rais. Awali, wateule watatu kati ya wote 25 walitemwa baada ya uadilifu wao kutiliwa mashaka au kwa kushindwa kujieleza mbele ya kamati ya bunge ya uteuzi. Baraza hilo jipya linasubiri kuapishwa rasmi wakati wowote kutoka sasa. Thelma Mwadzaya alituarifu zaidi kutoka Nairobi.
Uhaba wa chakula kulikumba jimbo la Isiolo nchini Kenya ?
Hali hiyo inajiri wakati serikali ya kenya ikiwa inaendelea na mpango wake wa kusambaza vyakula vya msaada.
Rais William Ruto awaongoza Wakenya, sherehe za Mashujaa
Kwa mara ya kwanza tangu kuchukua hatamu za uongozi, rais wa Kenya William Ruto ameongoza sherehe rasmi za mashujaa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 23
Ukurasa unaofuatia