You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mazingira
Mazingira yanatuzunguka kila mahala, na wanaadamu wanayategemea kuendesha maisha yao.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Athari za mabadiliko ya tabia nchi
Wakati mataifa yote ulimwenguni yakitatizika kuzuia ongozeko la joto duniani, madhara ya mabadiliko ya tabianchi tayari yanadhihirika wazi. Ukame, mafuriko, vimbunga, mioto ya misitu vimeharibu maisha ya mamilioni ya watu na kuwaweka katika hatari zaidi ya kukabiliwa na njaa na hata matatizo ya kemkem ya kiafya. Sikiliza makala ya Mtu na Mazingira iliyoandaliwa na Bakari Ubena.
Matangazo ya Asubuhi: 17.10.2022
Idadi ya wanyama pori ulimwenguni kote yapungua kwa 69%
idadi ya wanyama pori ulimwenguni kote imepungua kwa theluthi mbili tangu mwaka 1970.
Matangazo ya Asubuhi: 09.10.2022
Miito ya ufadhili ili kudhibiti ongezeko la joto la dunia
Zaidi ya wajumbe wa nchi 50 wamekutana kabla ya mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi.
Mawaziri wa Mazingiza wa nchi 50 kukutana nchini DRCongo
Nchi tajiri zinatarajiwa kukabiliana na shinikizo la kuchangia zaidi katika kupambana na ongezeko la joto duniani.
Mtu na Mazingira: Ethiopia yashuhudia Ukame na Mafuriko
Makala ya Mtu na Mazingira inaangazia hali ya ukame na mafuriko yanayohusiana na mabadiliko ya tabianchi Ethiopia.
Ripoti ya Shirika la Oxfam yasema njaa yaongezeka kwa kasi
Shirika la misaada la Oxfam limetoa wito wa kutozwa ushuru mkubwa kwa makampuni yanayochafua mazingira.
Mataifa tajiri kuipa Afrika fedha kukabiliana na tabianchi
Mkutano huo uliwaleta pamoja viongozi kutoka serikali na taasisi kujadili mbinu za kukabiliana na tabianchi Afrika
Mtu na Mazingira: Kenya na juhudi za kuongeza miti na misitu
Makala ya Mtu na Mazingira inamulika juhudi za kuiongeza idadi ya miti nchini Kenya na misitu kwa jumla.
Tamasha la kuhimiza utunzaji wa mazingira, DRC
Vijana wapewe kipaumbele katika utunzaji wa misitu ambayo ni njia ya kulinda mazingira.
Mnada wa vitalu DRC wakinzana na malengo ya hali ya hewa
Eneo hilo maarufu la msitu katika Bonde la Kongo lina jukumu muhimu katika mfumo wa hali ya hewa.
Mawimbi ya joto kali kuongezeka hadi miaka ya 2060-UN
Mawimbi ya joto kali yanatarajiwa kuwa matukio ya mara kwa mara kwa ngalau miongo minne ijayo-UN
Mkutano wa kujadili mabadiliko ya tabianchi mjini Berlin
Mabadiliko ya Tabianchi ni tatizo kubwa la kiusalama
Moto wa msituni wazusha sokomoko kusini mwa Ulaya
Ukanda wa kusini mwa Ulaya unakabiliwa na moto wa mwituni unaoharibu misitu na mashamba, ukiambatana na joto kali.
Matangazo ya asubuhi 03.07.2022
Katika matangazo haya utasikia makala za Mtu na Mazingira, yaliyotowala barani afrika kwa wiki nzima katika afrika wiki hii. Tumekuandalia pia Sura ya Ujerumani na je umeipata hiyo? Bofya hapo juu kusikiliza yote hayo.
Marufuku ya matumizi ya bidhaa za plastiki nchini India
Maelfu ya bidhaa zingine za plastiki kama chupa za maji, soda na mifuko ya chakula, haijajumuishwa kwenye katazo hilo
Madrid: Viongozi waadhimisha siku ya kupambana na ukame
Wanasiasa mbalimbali pamoja na wataalamu wa mazingira wamekutana Madrid, kujadili njia za kukabili ukame ulimwenguni.
Matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili: 5.06.2022
Karibu katika matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
Wajumbe wa kimataifa wakutana kujadili Mazingira Stolkholm
Ulimwengu wasisitizwa kwamba hakuna muda wa kufikiria tena kuhusu nini cha kufanya juu ya kuokoa mazingira
Athari za tumbaku ni tele kwenye mazingira: ripoti ya WHO
Ripoti mpya ya shirika la Afya Duniani, WHO, imetahadharisha kwamba mbali tumbaku ina madhara makubwa pia kimazingira.
Bwala lililotelekezwa Zanzibar lageuka kitisho kwa mazingira
Mtu na Mazingira inaliangazia bwawa kubwa lililokusudiwa kuwa kivutio kwa watalii ambalo limeachwa kwa zaidi ya miongo mitatu bila ya kuendelezwa na kugeuka kuwa hatarishi kwa mazingira ya Zanzibar.
Uchafuzi wa mazingira wasababisha vifo milioni 9 duniani.
Hewa chafu kutoka kwenye malori, magari na ongezeko la asilimia 55 la viwanda tangu mwaka 2000
Mabadiliko ya hali ya hewa yasababisha dhoruba Iraq
Hii ni mara ya nane kwa dhoruba kutokea nchi hiyo tangu katikati ya mwezi Aprili
Zimbabwe kupitisha sheria mpya ya ujenzi
Ujenzi wa nyumba za kisasa itasaidia jamii za vijijini kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa yanayoleta mafuriko.
Athari za ukame kwa watoto wa Kaunti ya Turkana
Katika eneo hilo, tatizo la ukame pia ni watoto wenye utapiamlo. Takriban zaidi ya nusu ya watoto wanaoishi katika jamii za vijijini wanakabiliwa na utapiamlo mkali kulingana na mashirika ya kibinadamu. Na hiyo inatia wasiwasi mamlaka za mitaa.
Urusi: NATO yaandaa mazingira ya Vita vya Tatu vya Dunia
Urusi imeutuhumu muungano wa kujihami wa NATO kwa kile inachosema ni kuweka mazingira ya kuanza kwa vita vya nyuklia kwa
24.04.2022 Matangazo ya Asubuhi
Kiwanda cha kurejeleza taka huko Hawassa,Ethiopia
Kutokuwa na utaratibu madhubuti wa kuhifadhi taka katika mji wa Hawassa huko Ethiopia kumetoa fursa kwa vijana ambao, huchukua taka na kuzirejeleza, wanazalisha mbolea, wanauza, wametoa fursa za ajira kubwa zaidi wanaufanya mji wao kuwa wa kijani.
Ukuta kudhibiti kuongezeka kina cha bahari
Ikiwa ni matokeo ya athari za tabianchi kina cha bahari kimekuwa kikiongezeka huko Pemba, katika kukabiliana na changamoto hiyo, mamalaka ya mazingira imejenga ukuta ili kudhibiti kuendelea kuongezeka kwa kina hicho.
Mkaa kutokana na taka Dar es Salaam
Wakati jiji la Dar es salaam likitajwa kuzalisha taka zaidi ya tani 4000 kwa siku, taka hizo zageuka fursa ya kiuchumi kutokana na kutengeneza mkaa, kwenye matokeo ya kutunza mazingira.
Kutana na Regina Magoke mwanaharakati wa mazingira
Regina Magoke, msichana mdogo ambaye anaitumia elimu yake katika kuzifanya harakari za mazingira ili kuwa na mazingira yaliyo salama na yenye afya sababu mazingira yamezibeba fursa, Regina anatamani kumuona msichana akizikamata fursa zilizopo katika mazingira.#msichanajasiri @miss_hadijahalifa
Athari za ukame nchini Morocco
Katika makala ya Mtu na Mazingira, safari hii tunaangalia athari za ukame nchini Morocco na jinsi ukame unavyosababisha pia kuenea kwa majangwa katika sehemu kadhaa za dunia. Mengi zaidi na Zainab Aziz.
Wanaharakati wapinga ripoti ya tume ya serikali ya mto Mara
Wanaharakati wapinga ripoti ya kuchunguza chanzo cha uchafuzi wa maji ya mto Mara unaotajwa kusababisha vifo vya wakazi.
Mtu na Mazingira: UNEA yadhamiria kupunguza athari za kelele
Makala ya Mtu na Mazingira inaangazia juhudi za kupunguza athari za kelele mijini barani Afrika.
UN: Mkataba wa kupambana na uchafuzi wa mazingira waundwa
UN: Mkataba wa kupambana na uchafuzi wa mazingira waundwa
Ujerumani yaipa Rwanda Euro mil. 56 kuboresha mazingira
Makubaliano hayo yamesainiwa wakati wa ziara ya waziri wa ushirikiano wa maendelea Svenja Schulz nchini Rwanda.
UN: Afrika kuathiriwa zaidi na mabadiliko ya tabia nchi
Afrika inachangia kidogo utoaji gesi chafuzi, lakini limeathiriwa pakubwa na athari za mabadiliko ya tabia nchi.
Mkutano wa kimataifa wa mazingira waanza Nairobi
Umeandaliwa rasmi katika makao makuu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Mazingira (UNEP)
Rais Samia: Vyombo vya habari vinapaswa kufuata sheria
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amevitaka vyombo vya habari nchini humo vifuate sheria.
EU kupitisha sheria ya nishati rafiki kwa mazingira
Halmashauri ya Umoja wa Ulaya inaazimia kutangaza nyuklia na gesi kuwa vyanzo vya nishati endelevu
Hasara zaongezeka kutokana na majanga ya mabadiliko ya hewa
Gharama kutokana na majanga yaliyosababishwa na hali mbaya ya hewa mwaka 2021 ilikuwa zaidi ya dola bilioni 170.
Mradi wa kufua umeme wa Rusumo na athari zake kwa mazingira
Makala ya Mtu na Mazingira wiki hii inaangazia athari za mazingira za mradi wa kufua umeme wa Rusumo.
Joto kali kwenye eneo la Arctic laongeza kitisho ulimwenguni
Kwa mara ya kwanza shirika hilo limerekodi kiwango cha juu kabisa cha joto cha nyuzijoto 38 za Celcius nchini Serbia.
DRC kuendeleza juhudi za kuyalinda mazingira
DRC kuendeleza juhudi za kuyalinda mazingira
Utoshelevu wa chakula unatarajiwa kushuka
Utoshelevu wa chakula unatarajiwa kushuka Tanzania
Kenya na njia za asili kukabili mabadiliko ya tabianchi
Makala ya mtu na mazingira yanaangazia jinsi Kenya inavyotumia mbinu asili kupambana na mabadiliko ya tabia nchi.
Maoni: COP26 ni kikombe nusu na sio nusu kikombe
Shinikizo la kutaka hatua kali zaidi zichukuliwe kuzuwia kupanda kwa joto katika sayari ya dunia lilikuwa kubwa.
Johnson: Makubaliano ya COP26 ni ya kihistoria
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameyasifu makubaliano ya mkutano wa mabadiliko ya tabianchi wa mjini Glasgow.
China na Marekani zitashirikiana kupunguza gesi chafu
China na Marekani zimetanga kushirikiana kupunguza uzalishaji wa gesi chafu wakiwa katika mkutano wa COP26.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 9 wa 20
Ukurasa unaofuatia