You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mazingira
Mazingira yanatuzunguka kila mahala, na wanaadamu wanayategemea kuendesha maisha yao.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Serikali kujadili tafiti za mabadiliko ya tabianchi
Ripoti hiyo ya kimataifa itakayotolewa Machi 20 iliwakutanisha wawakilishi kutoka serikali mbalimbali ulimwenguni.
Jasiri anaeamini juu ya elimu ya mazingira kwa jamii
Si kila mmoja anaweza kuthubutu kuhusu kuyatunza mazingira lakini kwa jasiri Upendo amethubutu zaidi kwa kuamini elimu pekee ndio suluhisho la kudumu katika kuyatunza mazingira na si elimu tu, bali kuwaelimisha watoto na wanawake kuhusu mazingira bora na ustawi wake.
Mtu na mazingira: UN wataka mtama uwe mbadala wa nafaka zengine
Changamoto za usalama na kimazingira zimechangia pakubwa kwa ukosefu wa chakula katika baadhi ya sehemu duniani. Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa limeutaja mwaka huu kuwa mwaka wa mtama kutokana na kuwa ni mmea unaoweza kuvumilia ukame. Sikiliza makala ya Mtu na Mazingira iliyoandaliwa na Saumu Njama.
Kesi dhidi ya kampuni ya Total Energies yatupiliwa mbali
Mahakama ya Ufaransa imepuulizia mbali kesi dhidi ya kampuni ya mafuta TotalEnergies baada ya kesi dhidi yake
Pembe ya Afrika ipo hatarini kufuatia uhaba wa mvua
ICPAC inahofia kuwa hali itakuwa mbaya zaidi kuliko miaka 10 iliopita, ambapo watu 260,000 walikufa nchini Somalia pekee
Mtu na Mazingira: Mapambano ya Wakulima na Wanyamapori
Alex Mchomvu anamulika jinsi jamii mbalimbali nchini Tanzania zinavyopambana na wanyama pori wanaoharibu mazao.
Ubunifu wa kupambana na uchafuzi wa mazingira
Baadhi ya vijana kutoka Tanzania wanabuni njia mbadala ya kuhifadhi mazingira kwa ujenzi wa nyumba kupitia mabaki ya chupa za plastiki. #Kurunzi.
Nguo za msaada zinazidisha uchafuzi wa plastiki Kenya
Shirika la Changing Markets Foundation la Uholanzi limesema nguo za msaada zinazidisha uchafuzi wa plastiki nchini Kenya
India na Pakistan kwanini zinazozana juu ya mkataba wa IWT?
Kwanini India inazozana na Pakistan juu ya mkataba wa kihistoria?
RSF yakosoa mazingira ya kifo cha mwanahabari Rwanda
RSF imesema kuwa mchakato huo wa kisheria pamoja na sababu za kifo chake havikuwa wazi.
Rais Lula wa Brazil ziarani nchini Marekani
Hata hivyo Lula na Biden wanatofautiana katika masuala kadhaa ikiwa ni pamoja na uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine.
Kimbunga cha kitropiki kimesababisha mafuriko na maporomoko
Kimbunga cha kitropiki kimesababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi
IMF yatahadharisha kuhusu ruzuku za mabadiliko ya tabianchi
Huenda ruzuku hizo zinaweza kusababisha teknolojia na uzalishaji kutoka nchi zinazoendelea kuhamishiwa nchi tajiri.
Guterres:Tuwajibike ili kuwa na dunia salama
Umoja wa Mataifa umetolea mwito viongozi hao ili kuchukua hatua za haraka katika kukabiliana na mzozo wa hali ya hewa
Mifugo yaathirika na Plastiki mjini Marsabit
Makali ya kiangazi yameendelea kuwaathiri wafugaji katika eneo la Marsabit nchini Kenya wanaolazimika kulisha mifugo mifuko ya plastiki na makaratasi kutokana na kukosekana kwa majani. Mwandishi wa DW Michael Kwena ameandaa vidio hii fupi.
Makabiliano yatokea Lüzerath, Ujerumani
Makabiliano yametokea katika kijiji cha Lüzerath wakati maafisa wa polisi wa Ujerumani walipoingia kuwaondoa wanaharakat
Kobe wapo katika hatari ya kuwa kitoweo
Kobe wapo katika hatari ya kuwa kitoweo
Lützerath: Wanaharakati wa mazingira wapambana na polisi
Wanaharakati wa mazingira wapambana polisi kwenye kijiji cha Lüzerath wakipinga kupanuliwa mgodi wa makaa ya mawe.
Geneva: Ujerumani yaahidi kuipa Pakistan Euro milioni 84
Geneva: Ujerumani yaahidi kuipa Pakistan Euro milioni 84
Umuhimu wa Popobawa visiwani Pemba
Wataalamu humwita Popo bawa wa Pemba. Hii ni aina ya popo ambao wamekuwa na umuhimu mkubwa katika uboreshaji wa mazingira kwa kula matunda na kuhamisha mbegu za miti mbalimbali ambayo imekua na msaada mkubwa kwa ustawi wa binadamu visiwani Pemba.
Makampuni ya Ujerumani yalenga kuwekeza zaidi Afrika
Makampuni ya Ujerumani yalenga kuwekeza zaidi Afrika
Steinmeier kusisitiza 'amani na haki' nchini Ukraine.
Steinmeier amesisitiza kwamba amani ikipatikana basi ni lazima iwanufaishe watu wa Ukraine na sio Urusi.
Uingereza yahalalisha mpango wa kupelekwa wahamiaji Rwanda
Uamuzi huo wa Mahakama Kuu ya Uingereza wakosolewa.
Kutunza 30% ya mazingira asilia duniani si jambo rahisi
Lengo ni kunusuru aina nyingi ya spishi zilizo hatarini kutoweka, lakini linatosha kisayansi kuvilinda viumbe hai?
Mafuriko yaua watu 120 DRC
Matukio kama haya yamekuwa yakishuhudiwa mara kwa mara kutokana na mabadiliko ya tabianchi.
Mabadiliko ya tabianchi, chanzo cha mafuriko DRC
Kinshasa inakabiliwa na changamoto ya idadi kubwa ya watu kutoka maeneo mbalimbali na makazi mengi ni ya mabanda.
COP15: Bado hakujafikiwa mafanikio makubwa
Mada muhimu ni: Ufadhili wa mataifa yanayoendelea na ahadi ya kulinda asilimia 30 ya ardhi na bahari duniani kote.
COP15: Kampuni zatakiwa kutangaza madhara yao kwa mazingira
Kampuni na biashara zahimizwa kuweka wazi viwango vyao vya uharibifu na madhara kwa kwa mazingira.
Wanaharakati wataka miito yao kulinda bayoanuwai isikizwe
Mashirika yanahamasisha kuhusu haja ya kulinda bayoanuwai na yanataka miito yao isikizwe katika mkutano wa COP15.
Ujerumani na India kushirikiana kulinda mazingira
India ni taifa la pili kwa idadi ya watu ikitanguliwa na China inashika nafasi ya nne katika uzalishaji wa hewa ya ukaa.
Kutana na wanamazingira wa kesho nchini Rwanda
Ili kuongeza uhamasishaji kuhusuutunzaji mazingira Rwanda, shirika la uhifadhi wa viumbe limeanzisha mradi kwa watoto ambao ndio walinzi wa kesho wa pori katika eneo hilo. Mradi huo unawalenga wanafunzi wa shule za msingi, sekondari hadi vyuo vikuu. Vijana Mubashara inaangazia juhudi zao.
UN yaonya kuhusu vyombo vya majini kuharibu mazingira
Umoja wa mataifa watahadharisha kuwa gesi ya Carbon inayochafua mazingira inayotoka kwenye vyombo vya majini inaongezeka
Jitihada ya kuulinda mji wa Bagamoyo
Jitihada ya kuulinda mji wa Bagamoyo
COP27 - Afrika iko peke yake
Tatu Karema
Mazungumzo ya COP27 ni ukumbusho kwamba Afrika iko peke yake linapokuja suala la mabadiliko ya tabianchi.
Je Unajua namna hali ya hewa inavyoathiri afya yako?
Najua wengi mnasikia kuhusu mabadiliko ya tabianchi, lakini je, unajua ni kwa kiasi gani mabadiliko haya yanaathiri afya yako? Msikilize maatalamu wetu akizungumzia hili. #KurunziAfya
Wajumbe wa COP27 wakubaliana kuzisaidia nchi maskini
Wajumbe katika mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira wa COP27 wamekubaliana kuzisaidia nchi masikini.
Taarifa ya Habari za Asubuhi: 20.11.2022
Makubaliano ya mwisho katika Mkutano wa COP 27 bado hayajafikiwa. Jeshi la Rwanda lamuua mwanajeshi wa Kongo aliyevuka mpaka. Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak afanya ziara mjini Kiev.
COP27: Mkutano wa kilele kuhusu hali ya hewa wamalizika
Nchi za Umoja wa Ulaya zaashiria utayari wa kufikia maelewano kuhusu ufadhili kwa nchi zilizo hatarini.
Mtu na Mazingira
Katika kipindi hiki leo, tunaangazia changamoto katika msitu wa Rondo. Jiunge na Salma Mkalibala akusimulie athari ya mabadiliko ya Tabia nchi.
COP27: Guterres atoa wito wa kufikia makubaliano
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kufikia makubaliano kabla ya kumalizika mkutano huo.
Juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Mtwara
Wanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Mtwara Ufundi wamebuni mradi wa kilimo cha Bustani Hai ambao una uwezo wa kukabiliana na uchafuzi wa hali ya hewa kinachotumia mifuko aina ya viroba vinavyozalishwa viwandani, mbolea za asili zinazotokana na mabaki ya mimea na mkojo wa sungura ili kuzuia wadudu katika kilimo hicho. #Kurunzi
Mkutano wa Mazingira COP 27 waelekea ukingoni
Mkutano huo wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira, maarufu kama COP27 unafanyika nchini Misri.
COP27: Kiwango cha uzalishaji gesi chafu kiko juu kabisa
Hayo yamo kwenye ripoti ya wanasayansi wa Umoja wa Mataifa kwenye mkutano wa COP27 mjini Sharm Al Sheikh, Misri.
COP27: Nishati mbadala kusaidia hali ya hewa, usalama
Wataalamu wa mazingira wamesema vita vya Urusi nchini Ukraine vimelazimisha mzozo wa muda mfupi wa nishati ya mafuta.
COP27: Ukataji miti waongezeka Bonde la Kongo
Wataalamu wa mazingira wamesema ukataji miti katika msitu mkubwa wa Bonde la Kongo umeongezeka kwa asilimia tano 2021.
COP27: Mataifa makubwa yaunda muungano wa nishati ya upepo
Yanasema lengo ni kupunguza utegemezi wa gesi na mafuta na kukabiliana na ongezeko la joto ulimwenguni.
Mkutano wa COP27 waanza kwa onyo Misri
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema hatua zinahitajika kulinda mazingira.
Mkutano wa COP27 kufungua pazia nchini Misri
Mkutano wa kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi wa COP27 unaanza huko Sharm el-Sheikh nchini Misri.
Mtu na Mazingira - Athari za Mabadiliko ya Tabianchi
Makala ya Mtu na Mazingira inangazia athari za Mabadiliko ya Tabianchi. Mtayarishaji ni Bakari Ubena.
Baada ya miaka sita mkutano wa mazingira warejea Afrika
Mkutano wa kilele wa tabianchi chini ya Mwamvuli wa Umoja wa Mataifa unafanyika tena barani Afrika
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 20
Ukurasa unaofuatia