1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20 Septemba 2019

Idadi kubwa ya watu wamejitokeza mjini Berlin, wakati huu ambapo kunafanyika maandamano ya kuhimiza jitihada za haraka za utatuzi wa kadhia ya Mabadiliko ya tabianchi. Ujerumani, ipo katika mjadala wa kufanikisha kile ilichosema mpango kabambe wa kukabiliana na tatizo hilo. Sikiliza mahojiano ya Sudi Mnette na Harrison Mwilima akiwa katika sehemu ya maandamano hayo Berlin.

https://p.dw.com/p/3PvtK