You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Picha: DW
Amina Abubakar
Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Amina Abubakar
Taarifa zilizoonesha na Amina Abubakar
Israel yasema wanamgambo 15 wameuwawa Lebanon
Baraza la Usalama la UN limefanya kikao cha kujadili hali inayozidi kuwa mbaya katika mgogoro wa Mashariki ya Kati.
Burkina Faso yamulikwa kuhusu utekaji nyara wanaharakati
Matukio hayo yameongezeka katika miezi ya hivi karibuni na yamezua hofu kwa raia wa taifa hilo linaloongozwa kijeshi.
Uganda yakanusha shutma za kuiunga mkono M23
Miongoni mwa shutuma kwa Uganda ni kuwaruhusu waasi wa M23 na vikosi vya Rwanda kuitumia ardhi yake kuivamia Kongo
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Amina Abubakar
Taarifa na Amina Abubakar
Matangazo ya Jioni 22.11.2024
Matangazo ya Jioni 22.11.2024
Hospitali za Gaza hatarini kusitisha huduma zake ndani ya saa 48+++ Urusi yasema shambulio lake dhidi ya Ukraine ni ujumbe kwa mataifa ya Magharibi+++Kundi la Afrika kwenye mkutano wa COP29 lasema pendekezo la dola bilioni 250 halikubaliki.
Hochstein asaka juhudi za kusitisha vita Mashariki ya kati
Hochstein asaka juhudi za kusitisha vita Mashariki ya kati
Wakazi wa Lebanon wanatumai mzozo kati ya makundi hayo mawili Israel na Hezbollah utamalizika hivi karibuni
Unalijua tatizo la Shoulder impingement Syndrome?
Unalijua tatizo la Shoulder impingement Syndrome?
shoulder Impingement Syndrome inatokea pale mifupa katika bega lako inaposuguana au kubana katika misuli, na kufanya sehemu hiyo kuwa na maumivu makali. Makala ya Afya Yako inaliangazia zaidi tatizo hilo pamoja na tiba yake.
Fahamu zaidi kuhusu ugonjwa wa Parkinson
Fahamu zaidi kuhusu ugonjwa wa Parkinson
Parkinson ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa neva katika ubongo, na kusababisha harakati zisizodhibitika kama vile kutetemeka, kukakamaa kwa misuli, na ugumu wa kusawazisha mwili. Kulingana na Shirika la Afya Duniani (WHO), ugonjwa wa Parkinson umeongezeka mara mbili katika miaka 25 iliyopita, na kufikia zaidi ya milioni 8.5 duniani. #kurunziafya 11.11.2024
Iraq yatarajia Trump atatimiza ahadi ya kusitisha vita
Iraq yatarajia Trump atatimiza ahadi ya kusitisha vita
Kupitia mazungumzo kwa njia ya simu kati ya Waziri Mkuu wa Iraq na Trump, taifa hilo la Kiarabu limetaka dunia ya amani.
Meya wa Berlin asema Novemba 9 ni muhimu kwa hali zote
Meya wa Berlin asema Novemba 9 ni muhimu kwa hali zote
Wegner amesema Novemba 9 ni siku muhimu kwa Ujerumani kwenye pande zote mbili, mashariki na magharibi, hasi na chanya.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo