AfyaUnalijua tatizo la Shoulder impingement Syndrome?To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAfyaAmina Abubakar12.11.202412 Novemba 2024shoulder Impingement Syndrome inatokea pale mifupa katika bega lako inaposuguana au kubana katika misuli, na kufanya sehemu hiyo kuwa na maumivu makali. Makala ya Afya Yako inaliangazia zaidi tatizo hilo pamoja na tiba yake. https://p.dw.com/p/4mvJ5Matangazo