You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Kimilimo cha mjini
Kimilimo cha mjini
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wanaharakati wa mazingira kuendeleza maandamano leo
Maandamano hayo yanalenga kuzishinikiza serikali duniani kuondokana na matumizi ya nishati ya kisukuku.
Maelfu ya wanaharakati wa mazingira kuandamana kwa siku 3
Wiki iliyopita Umoja wa Mataifa ulionya mataifa bado yako nyuma kufikia lengo la kupunguza ongezeko la joto duniani.
Wanaharakati wa mazingira kuandamana nchi zaidi ya 50
Maandamano hayo yanalenga kuzishinikiza serikali za mataifa mbalimbali zisitishe uchomaji wa nishati ya visukuku.
Colombia yaongoza kwa mauaji ya wanaharakati wa mazingira
Idadi ya waliouawa imepungua kidogo ukilinganisha na rekodi ya watu 227 waliouawa mwaka 2020
Rwanda kujenga kinu cha nyuklia kuzalisha umeme
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Rwanda anasema mradi huo unayaweka maisha ya raia wa Rwanda hatarini.
Uchafuzi wa hewa bado ni tatizo kubwa barani Ulaya
Ingawa EU ina baadhi ya sheria kali zaidi za ubora wa hewa duniani, viwango vya uchafuzi wa hewa bado viko juu.
UN: Ulimwengu unarudi nyuma kutimiza malengo ya mazingira
Umoja wa Mataifa umesema kuwa ulimwengu uko nje ya lengo lililokusudiwa la kupunguza ongezeko la joto duniani.
Afrika yazungumza kwa sauti moja kuhusu tabia nchi
Miongoni mwa yalimulikwa katika Afrika wiki hii ni mkutano wa kihistoria wa bara la Afrika kuhusu tabia nchi uliofanyika Kenya. Na mkutano wa jukwaa la chakula barani Afrika uliofanyika Dare-Salaam Tanzania ambapo viongozi wa Afrika wasema wako tayari kuulisha ulimwengu. Nchini Gabon,Jenerali Nguema aapishwa kuwa rais wa mpito. Jiunge na Saumu Mwasimba kwa hayo na mengine.
Jukwaa la Mfumo wa Chakula Afrika lahitimishwa Tanzania
Jukwaa la mfumo wa chakula lilianza Septemba 5 na kuwakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo na chakula.
Hong Kong yakumbwa na mafuriko makubwa
Watu wawili wameripotiwa kufariki dunia kufuatia mafuriko hayo. Hali ambayo imelazimisha shule kufungwa mjini humo.
Mkutano wa mazingira wa Nairobi umekuwa na mafanikio yapi?
Sikiliza uchambuzi wa Hussei Khalid ambaye ni mwanaharakati wa Mazingira na Mkurugenzi wa Shirika la Haki Afrika lenye makao yake nchini Kenya.
Kongamano la chakula na fursa ya kina mama
Kongamano la kimataifa kuhusu mifumo ya chakula barani afrika limetoa fursa kubwa kwa kina mama wa bara hilo. Yakub Talib ametuandalia vidio kutoka Dar es Salaam, eneo ambalo mkutano huo unaendelea.
Viongozi wa Afrika wahimiza matumizi ya nishati jadidifu
Wito huo umetolewa katika siku ya mwisho ya mkutano wa kihistoria wa mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika Kenya.
Sema Uvume na programu ya "Hello Tractor"
Katika makala ya Sema Uvume utasikiia kuhusu progarmu ya "Hello Tractor" ambayo inatumiwa katika kiungo muhimu katika kuchachua maendeleo ya kilimo nchini Kenya.
Wadau wa ustawi wa chakula wa Afrika wakutana Dar es Salaam.
Wadau wa ustawi wa chakula wa Afrika wakutana Dar es Salaam.
Guterres: Dunia iisaidie Afrika kuwa na nishati jadidifu
Guterres ameyasema hayo kupitia hotuba aliyoitoa katika mkutano wa bara la Afrika kuhusu mabadiliko ya tabianchi.
Mamilioni ya dola kutolewa ili kukabiliana na hewa ukaa
Ahadi za mamilioni ya dola kukabiliana na uzalishaji hewa ukaa zatolewa katika mkutano wa mazingira Nairobi Kenya.
Pembe ya Afrika yakumbwa na ukame mbaya zaidi
Afrika inachangia takriban asilimia nne tu ya hewa chafu duniani lakini inabeba mzigo mkubwa wa athari za mabadiliko ya hali ya hewa. Mamilioni ya watu wanakufa njaa kutokana na ukame unaoendelea katika Pembe ya Afrika.
Viongozi wa Afrika wakutana kujadili mazingira Nairobi
Mkutano wa kilele wa kihistoria wa mazingira wa viongozi wa kisiasa kutoka barani Afrika umefunguliwa leo mjini Nairobi.
Taka za Plastiki zinalipa zinavyolipa ada za shule
Tazama mpango wa taka za plastiki huko Lagos Nigeria, unavyotumiwa kulipa ada za watoto shule, huku wakitunza mazingira.
Viongozi wa Afrika wakutana kujadili masuala ya mazingira
Viongozi wa kisiasa wa bara la Afrika wakutana katika mkutano wa kihistoria wa mazingira jijini Nairobi Kenya.
Papa aionya Mongolia kuhusu rushwa na uharibifu wa mazingira
Papa Francis amesifu busara za watu wa Mongolia kwa kudumisha amani na ustahimilivu wa kidini.
TOKYO: Maji ya bahari karibu na kinu cha Fukushima ni salama
Japan ilikosolewa kwa kutirirsha maji kutoka kwenye kinu cha Fukushima kilichoharibiwa na Tsunami mnamo mwaka 2011.
Neema Lugangila Mbunge Kinara
Katika kipindi cha “Karibuni“ msikilize mwakilisha wa hamasa ya matumizi bora ya Tanzania, Mbunge Neema Lugangila alitembelea DW Bonn na kufanya mazungumzo na Sudi Mnette.
Nchi 185 zazindua mfuko wa ufadhili wa kulinda asili
Canada iliyokuwa mwenyeji wa mkutano huo imeahidi kutoa dola milioni 147 na Uingereza dola milioni 12 za Kimarekani.
Wadau wajadili kilimo cha kulinda mazingira mjini Kampala
Mkutano huo umeandaliwa na Mtandao wa Fair Trade ulio na mataifa 29 wanachama kanda ya Afrika na Mashariki ya kati.
Mtetezi wa sokwe Tanzania
Mfahamu mwanamama au shoshi au kikongwe mwanaharakati wa kumtetea sokwe na mazingira aliejikita kumtafiti sokwe na kuleta ustawi wa mnyama huyo aliehatarini na maradhi na kuvamiwa na shighuli za binadamu huko katika msitu wa gombe kigoma.
Kijana unachangiaje kuhifadhi mazingira?
Kama kijana unachangiaje katika kuhifadhi mazingira?
Mtu na Mazingira: Mapambano dhidi ya Mabadiliko ya Tabianchi
Makala ya Mtu na Mzingira wiki hii inaangazia juhudi za wanaharakati na ulimwengu kupunguza viwango vya joto duniani.
Tanzania yafanya tamasha la kwanza la muziki wa Jazz
Ni tamasha la Kwanza la muziki wa Afro Jazz Tanzania lililopewa jina Evergreen Afro Jazz ambalo limewakusanya wasanii vijana wanaowika katika muziki huu, dhamira ikiwa kuuhuisha baada ya muziki huu kuonekana kana kwamba unatoweka. Tizama muziki mtamu kabisa wenye mahadhi ya Kiafrika. #kurunzi
Uzalishaji wa nishati ya upepo Kenya
Kenya inaendelea kupiga hatua katika uzalishaji wa nishati safi.
Fahamu namna ya kuhifadhi wa Mikoko
Leo hii katika makala ya Mtu na Mazingira utasikia namna wakaazi wa Malindi huko nchini Kenya wanavzohifadhi Mikoko. Je kuna umuhimu gadi wa kuihifadhi na wanatumia mbinu gani hasa? Ungana na Halima Gongo kutokea huko pwania ya Kenya kujua kwa kina.
Je, kiongozi mpya wa IPCC atakuwa mwanamke?
Wanachama wa IPCC, watakutana jijini Nairobi kuanzia Julai 25 hadi 28 ili kumchagua mwenyekiti mpya kati ya wagombea 4.
Wanaharakati waandamana viwanja vya ndege Ujerumani
Kundi la "Letzte Generation" liliandamana kwenye viwanja vya ndege vya Dusseldorf na Hamburg mapema siku ya Alhamis.
Soko la kimataifa la samaki Feri na nishati mbadala
Soko la kimataifa la samaki Dar es salaam limekuwa mfano wa kuigwa kwa kutumia nishati ya gesi, hatua inayotajwa na wataalamu wa mazingira kuwa inazingazia utunzani wa mazingira. Hata hivyo kuna changamoto chini ya mpango huo.
Majivu yakabili tindikali udongoni
Wakulima huko Tanzania, wamejitosa katika matumizi ya majivu ili kukabiliana na tindikali iliyopo kwenye udongo wanaotum
Ruto atangaza kuondoa marufuku ya biashara ya magogo
amesema ili kufidia ukataji wa magogo, serikali yake inalenga kupanda miti bilioni 15 katika muda miaka 10 inayokuja.
Rais wa Kenya aondoa marufuku ya ukataji miti kwenye misitu
Wanamazingira wanahofia hatua hii ya Ruto itakwenda kinyume na mpango wake wa upandaji miti bilioni 15 kufikia 2032.
Mtu na Mazingira : Tunawezaje kudhibiti taka za plastiki?
Makala ya Mtu na Mazingira inaangazia juhudi za kimataifa za kuunusuru ulimwengu na uchafuzi wa takataka za plastiki.
Ujerumani yatangaza mabadiliko ya sheria ya mazingira
Kuanzia mwaka 1990 Ujerumani ilikuwa inapaswa kupunguza hewa ya ukaa kutoka kiwango hicho cha asalimia 65 ifikapo 2030.
Mtu na Mazingira: Uchafuzi wa mazingira kutokana na kelele
Katika makala hii y aMtu na Mazingira, Anuary Mkama anaangazia uchafuzi wa mazingira kutoka na kelele na hatau zilizotangazwa na mamlaka ya usimamizi wa mazingira nchini Tanzania, NEMC, kushughulikia tatizo hilo.
Afrika yaathirika zaidi na mabadiliko ya tabia nchi
Takriban wajumbe 200 kutoka nchi zilizotia saini Mkataba wa Paris wa 2015 juu ya mabadiliko ya hali ya hewa wanaendelea na mkutano wa kuandaa maamuzi yatakayopitishwa katika mkutano wa kilele wa mazingira COP28. Mjumbe kutoka Kenya Charles Mwangi- Mratibu wa miradi katika shirika lisilo la kiserikali la kutetea haki za binaadamu katika suala la mabadiliko ya tabia nchi, PACJA, anazungumzia zaidi.
Jinsi mifuko ya plastiki yanavyoathiri mazingira
Siku ya Mazingira Duniani inaangazia uchafuzi wa plastiki na mustakabali wa uchumi wa mzunguko. Plastiki inachangia asilimia thamanini (80%) ya uchafuzi wa baharini, kwani ni asilimia kumi tu ya plastiki ambayo hurejeshwa kila mwaka. Lakini kuna matumaini! Nchi 145 ziko njiani kusaini mkataba wa kimataifa wa plastiki kwa lengo la kupunguza uzalishaji wa plastiki. #Kurunzi
Uganda yaadhimisha siku ya mazingira Duniani
Siku ya Mazingira mwaka huu ni kupambana dhidi ya uchafuzi unaotokana na matumizi ya plasitiki.
Juhudi za utunzanji wa mbegu za asili Tanzania
Makala Yetu Leo inadurusu kitisho cha kupotea kwa mbegu za asili za mazao pamoja na juhudi za serikali ili kuzinusuru.
Je 'GMO' ndio mfumo bora endelevu wa uzalishaji chakula?
Je Vyakula vilivyozalishwa kwa kubadilishiwa vinasaba ndio mfumo bora endelevu wa uzalishaji chakula?
Umoja wa Mataifa wajadili uchafuzi wa takataka za plastiki
Kamati ya Umoja wa Mataifa inakutana hii leo huko Paris ili kushughulikia uchafuzi utokanao na plastiki ulimwenguni.
Makala yetu leo: Kilimo cha miti na faida zake
Kilimo cha miti kimepata umaarufu katika miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya ongezeko la mahitaji ya mazao ya miti na changamoto za kimazingira, zinazotokana na mabadiliko ya tabia nchi. Miti inayolimwa inatumika kwa ajili ya kuzalisha mbao, nguzo za umeme, nguzo za kujengea nyumba na utengenezeaji wa karatasi. Zaidi Salma Mkalibala anaeleza.
Bayoanuai: Utunzaji wa viumbe hai
Utunzaji wa viumbe hai huleta matumaini ya maisha ya viumbe vyote juu ya uso wa dunia. Hata ndege hutegemea maisha ya wanayama au wadudu wengine. Dawa za kuulia wadudu mashambani zinahatarisha uhai wa viumbe vyengine na hatua mbadala zinahitajika kuokoa maisha ya ndege hao. #Kurunzi
Mpango wa UN kupunguza taka za plastiki kwa 80% ifikapo 2040
Ulimwengu ni lazima upunguze nusu ya plastiki zinazotumika mara moja ili kuepuka athari za uchafuzi huo kwa mazingira.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 15
Ukurasa unaofuatia