You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Kimilimo cha mjini
Kimilimo cha mjini
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
UAE yamualika Assad katika mkutano wa mazingira wa COP 28
UAE yamualika Assad katika mkutano wa mazingira wa COP 28
Mradi wa kupambana na mabadiliko ya tabia nchi Rwanda
Mradi nchini Rwanda unalenga kuwasaidia wakulima kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa kwa kuwafundisha jinsi ya kuboresha ardhi na kutumia mazao mbalimbali. Mradi huo tayari unaonyesha matokeo katika milima ya Mkoa wa Kaskazini mwa nchi. #Kurunzi
Uchafuzi wa hewa wasababisha vifo 1,200 kwa mwaka Ulaya
EEA ilitangaza mwaka jana kuwa katika Umoja wa Ulaya,watu 238,000 walikufa mapema kwa sababu ya uchafuzi wa hali ya hewa
Ujerumani yaahidi euro bilioni mbili kupambana na mabadiliko ya tabia nchi
Katika mazungumzo juu ya hali ya hewa ya Petersberg, Ujerumani imezitaka nchi kote ulimwenguni kuongeza shabaha zao za nishati mbadala, huku ikiahidi Euro bilioni mbili za ziada katika kupamba na athari za mabadiliko ya tabia nchi duniani.
Mtu na Mazingira: Utunzaji wa kasa Kwale
Makala hii iliyoandaliwa na Michael Kwena inaangazia juhudi za wanamazingira kutoka jimbo la Kwale nchini kenya ambao wamejikita katika kuwatunza kasa wa baharini
HRW: Kufukuzwa kwa Wamasai huko Loliondo kumekiuka haki zao
Jamii hiyo ya Wamasai wameiambia HRW kuwa hawakushauriwa vya kutosha kabla ya uamuzi huo, kama inavyotakiwa na sheria
Sema Uvume na Kenya na uzinduzi wa satelaiti yake
Sema Uvume na Kenya na uzinduzi wa satelaiti yake
Biden atangaza dola bilioni 1 kwa kukabiliana na joto
Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza ufadhili mwingine wa Marekani wa kimazingira wenye thamani ya dola bilioni moja
Mtu na Mazingira: Kilimo ekolojia
Ushirikiano mwema kati ya binadamu, mazingira, wanyama na mimea hujenga ekolojia iliyokamilika ambayo ni salama na bora kwa maisha ya kila mmoja.
Vijana na Uongozi: Vita dhidi ya taka za plastiki
kijana ambaye ameitikisa anga kwenye masuala ya uhifadhi wa mazingira kutokana na msukumo wake dhidi ya uchafuzi unaosababishwa na taka zinazotokana na plastiki.
Tugutuke: Vijana watumia sanaa kutunza mazingira Mtwara
Salma Mkalibala anazungumza na vijana wa Mtwara kusini mwa Tanzania ambao wameunda mtandao wa kuhamasisha utunzaji wa mazingira kupitia sanaa ya muziki na matamasha ya rika
Wanawake na Maendeleo: Wanawake wa Turkana wageukia kilimo
Wanawake na Maendeleo: Wanawake wa Turkana wageukia kilimo katika jamii inayotegemea ufugaji.
UN:yapitisha azimio muhimu kuhusu Tabianchi
Azimio hilo limepitishwa baada ya vuguvugu lililoendeshwa na Jamhuri ya Vanuati kisiwa kidogo katika bahari ya Pasifiki.
Tofali zitokanazo na plastiki
Akiwa na umri wa miaka thelasini, Elie Mapenzi Matabaro ni mmoja kati ya vijana walioanziasha kampuni ndogo inayoitwa Full Development Agency Group, kwakifupi FDA Group, iliyobobea katika ukusanyaji na usindikaji wa taka na kuzigeuza kuwa matofali ya kupamba ua na barabara za miji ya Bukavu na Goma nahivyo kuchangia katika ulinzi wa mazingira.
Blue Earth inavyotunza mazingira Mombasa
Wasiwasi wao kuhusu mabadiliko ya Tabianchi uliwasukuma kuchukua hatua ili kutoa mchango kupambana na changamoto hiyo, hivi sasa shirika la Blue Earth lililoasisiwa na wanawake watatu mjini Mombasa, linafanya zaidi ya kupanda mikoko katika harakati zake za uhifadhi wa mazingira. Ni #kurunziwanawake iliyoandaliwa na Ripota wetu wa Mombasa Fathiya Omar.
Afrika kufikiria kuwekeza katika mipango ya mazingira
Hatua hiyo itazifanya nchi masikini kupunguziwa madeni yake
Ujerumani itashirikiana na Tanzania kutunza mazingira.
Ujerumani: Itashirikiana na Tanzania katika utunzaji wa mazingira.
Jasiri anaeamini juu ya elimu ya mazingira kwa jamii
Si kila mmoja anaweza kuthubutu kuhusu kuyatunza mazingira lakini kwa jasiri Upendo amethubutu zaidi kwa kuamini elimu pekee ndio suluhisho la kudumu katika kuyatunza mazingira na si elimu tu, bali kuwaelimisha watoto na wanawake kuhusu mazingira bora na ustawi wake.
Mtu na mazingira: UN wataka mtama uwe mbadala wa nafaka zengine
Changamoto za usalama na kimazingira zimechangia pakubwa kwa ukosefu wa chakula katika baadhi ya sehemu duniani. Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa limeutaja mwaka huu kuwa mwaka wa mtama kutokana na kuwa ni mmea unaoweza kuvumilia ukame. Sikiliza makala ya Mtu na Mazingira iliyoandaliwa na Saumu Njama.
Kesi dhidi ya kampuni ya Total Energies yatupiliwa mbali
Mahakama ya Ufaransa imepuulizia mbali kesi dhidi ya kampuni ya mafuta TotalEnergies baada ya kesi dhidi yake
Kim Jong Un afungua mkutano wa kisiasa kuhusu kilimo
Kim Jong Un afungua mkutano wa kisiasa kuhusu kilimo
Mtu na Mazingira: Mapambano ya Wakulima na Wanyamapori
Alex Mchomvu anamulika jinsi jamii mbalimbali nchini Tanzania zinavyopambana na wanyama pori wanaoharibu mazao.
Ubunifu wa kupambana na uchafuzi wa mazingira
Baadhi ya vijana kutoka Tanzania wanabuni njia mbadala ya kuhifadhi mazingira kwa ujenzi wa nyumba kupitia mabaki ya chupa za plastiki. #Kurunzi.
Nguo za msaada zinazidisha uchafuzi wa plastiki Kenya
Shirika la Changing Markets Foundation la Uholanzi limesema nguo za msaada zinazidisha uchafuzi wa plastiki nchini Kenya
RSF yakosoa mazingira ya kifo cha mwanahabari Rwanda
RSF imesema kuwa mchakato huo wa kisheria pamoja na sababu za kifo chake havikuwa wazi.
Rais Lula wa Brazil ziarani nchini Marekani
Hata hivyo Lula na Biden wanatofautiana katika masuala kadhaa ikiwa ni pamoja na uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine.
FAO: Idadi ya wahanga wa njaa imeongezeka
Idadi ya wahanga wa njaa imeongezeka
FAO: Njaa duniani sababu ni uhaba na bei za juu za vyakula
Bei za vyakula zinazidi kupanda hali inayosababisha umasikini kuongezeka miongoni mwa watu duniani.
Jasiri katika kilimo biashara
Alipoanza kilimo biashara familia haikumuelewa lakini kadri alivyoamua kuongeza bidii katika kile anakiamini, sasa anafurahia hatua anazopiga. Anamiliki kiwanda kidogo kuchakata viungo vya kupikia
Mifugo yaathirika na Plastiki mjini Marsabit
Makali ya kiangazi yameendelea kuwaathiri wafugaji katika eneo la Marsabit nchini Kenya wanaolazimika kulisha mifugo mifuko ya plastiki na makaratasi kutokana na kukosekana kwa majani. Mwandishi wa DW Michael Kwena ameandaa vidio hii fupi.
Makabiliano yatokea Lüzerath, Ujerumani
Makabiliano yametokea katika kijiji cha Lüzerath wakati maafisa wa polisi wa Ujerumani walipoingia kuwaondoa wanaharakat
Kobe wapo katika hatari ya kuwa kitoweo
Kobe wapo katika hatari ya kuwa kitoweo
Lützerath: Wanaharakati wa mazingira wapambana na polisi
Wanaharakati wa mazingira wapambana polisi kwenye kijiji cha Lüzerath wakipinga kupanuliwa mgodi wa makaa ya mawe.
Bei ya chakula ilivunja rekodi mwaka 2022
Kwa mujibu wa FAO, bei ya vyakula ilipanda hadi rekodi ya juu mwezi Machi baada ya Urusi kuivamia Ukraine.
Bei ya chakula duniani ilifikia rekodi ya juu
Bei ya chakula duniani ilifikia rekodi ya juu mwaka 2022
Wanawake na Maendeleo: Wanawake na kilimo cha Mwani Zanzibar
Makala ya Wanawake na Maendeleo inatizama jinsi kilimo cha Mwani kinavyowasaidia wanawake kiuchumi Zanzibar
Umuhimu wa Popobawa visiwani Pemba
Wataalamu humwita Popo bawa wa Pemba. Hii ni aina ya popo ambao wamekuwa na umuhimu mkubwa katika uboreshaji wa mazingira kwa kula matunda na kuhamisha mbegu za miti mbalimbali ambayo imekua na msaada mkubwa kwa ustawi wa binadamu visiwani Pemba.
Makampuni ya Ujerumani yalenga kuwekeza zaidi Afrika
Makampuni ya Ujerumani yalenga kuwekeza zaidi Afrika
Kutunza 30% ya mazingira asilia duniani si jambo rahisi
Lengo ni kunusuru aina nyingi ya spishi zilizo hatarini kutoweka, lakini linatosha kisayansi kuvilinda viumbe hai?
COP15: Bado hakujafikiwa mafanikio makubwa
Mada muhimu ni: Ufadhili wa mataifa yanayoendelea na ahadi ya kulinda asilimia 30 ya ardhi na bahari duniani kote.
COP15: Kampuni zatakiwa kutangaza madhara yao kwa mazingira
Kampuni na biashara zahimizwa kuweka wazi viwango vyao vya uharibifu na madhara kwa kwa mazingira.
Wanaharakati wataka miito yao kulinda bayoanuwai isikizwe
Mashirika yanahamasisha kuhusu haja ya kulinda bayoanuwai na yanataka miito yao isikizwe katika mkutano wa COP15.
Ujerumani na India kushirikiana kulinda mazingira
India ni taifa la pili kwa idadi ya watu ikitanguliwa na China inashika nafasi ya nne katika uzalishaji wa hewa ya ukaa.
Jinsi ya kuulinda udongo dhidi ya ukame
Udongo wenye rutuba ni muhimu kwa upatikanaji wa chakula duniani pamoja na maelfu ya spishi zinazoishi ardhini
Kutana na wanamazingira wa kesho nchini Rwanda
Ili kuongeza uhamasishaji kuhusuutunzaji mazingira Rwanda, shirika la uhifadhi wa viumbe limeanzisha mradi kwa watoto ambao ndio walinzi wa kesho wa pori katika eneo hilo. Mradi huo unawalenga wanafunzi wa shule za msingi, sekondari hadi vyuo vikuu. Vijana Mubashara inaangazia juhudi zao.
UN yaonya kuhusu vyombo vya majini kuharibu mazingira
Umoja wa mataifa watahadharisha kuwa gesi ya Carbon inayochafua mazingira inayotoka kwenye vyombo vya majini inaongezeka
Tanzania: App ya KM360 inayowaunganisha wakulima na mabenki
Leo katika makala Sema Uvume ya DW Kiswahili Utawasikia vijana watatu wa kitanzania waliobuni Teknolojia inayotumia Mobile Application(Mobile App) inayofahamika kama ´KM360´ ambayo inasaidia kumuunganisha mkulima hasa wa kipato cha chini na mifumo ya kibenki na kumwezesha kupata huduma za kifedha ili kulihudumia shamba lake.
Wajumbe wa COP27 wakubaliana kuzisaidia nchi maskini
Wajumbe katika mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira wa COP27 wamekubaliana kuzisaidia nchi masikini.
Mtu na Mazingira
Katika kipindi hiki leo, tunaangazia changamoto katika msitu wa Rondo. Jiunge na Salma Mkalibala akusimulie athari ya mabadiliko ya Tabia nchi.
COP27: Guterres atoa wito wa kufikia makubaliano
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kufikia makubaliano kabla ya kumalizika mkutano huo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 15
Ukurasa unaofuatia