You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ni shirika la kimkoa la mataifa ya Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Israel yatakiwa kuondoka kwenye maeneo inayoyakalia kimabavu
Maeneo hayo ni pamoja na Ukingo wa Magharibi, Jerusalem mashariki, Gaza na eneo la milima ya Golan.
Nchi za Kiarabu zatoa wito wa kusitisha vita Gaza na Lebanon
Mohammed bin Salman: Jumuiya ya kimataifa inapaswa kukomesha mara moja vitendo vya Israel huko Palestina na Lebanon.
Viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislam wakutana Saudi Arabia
Mkutano huo unazikusanya nchi zilizopo kwenye Jumuiya ya nchi za kiarabu na zile za Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu.
Bahrain yapendekeza mkutano wa amani wa Mashariki ya Kati
Bahrain imetoa wito wa kuandaliwa mkutano wa amani wa Mashariki ya Kati wakati wa mkutano wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.
Mawaziri wa Israel na Palestina kuhudhuria mkutano wa EU
Mawaziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia, Misri na Jordan pia watashiriki mkutano huo.
Hezbollah yafyetua makombora kuelekea Israel
Hezbollah yalipiza kisasi kwa mauaji ya kiongozi wa ngazi ya juu wa kundi la Hamas ambalo ni mshirika wa Hezbollah.
Israel yaendelea na mashambulizi Gaza
Jeshi la Israel laishambulia kwa makombora maineo kadhaa ya Gaza baada ya Marekani kuzuia azimio la Umoja wa Mataifa.
Mataifa ya kiarabu na kiislamu yataka kukomeshwa vita Gaza
Viongozi wa mataifa ya kiarabu na ya Kiislamu wametoa mwito wa kusitishwa operesheni zote za kijeshi Ukanda wa Gaza.
Mataifa ya kiarabu yafanya mkutano wa kujadili hali ya Gaza
Mataifa ya ya kiarabu yanatarajiwa kufanya mkutano wa dharura mjini Riyadh kujadili hali ya Gaza.
Mataifa ya kiarabu yahofia uhamisho mpya wa Wapalestina
Kuharibiwa vibaya kwa eneo la Ukanda wa Gaza unaokabiliwa na vita, umerejesha kumbukumbu mbaya kwa mataifa ya Kiarabu.
Zelensky: Nchi za kiarabu zisifumbie macho uvamizi wa Urusi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametaka mataifa ya kiarabu yasifumbie macho uvamizi wa Urusi nchini mwake.
Al-Assad anyooshewa mkono wa urafiki na Jumuiya ya Kiarabu
Ni ipi athari ya mwaliko wa Al-Assad katika mkutano wa kilele wa jumuiya ya nchi za Kiarabu?
Assad akaribishwa katika Jumuiya ya nchi za Kiarabu
Kwa mara ya kwanza tangu 2011, rais wa Syria Bashar al-Assad anashiriki mkutano wa kilele wa jumuiya ya nchi za Kiarabu.
Assad ashiriki mkutano wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Ziara hii ni sehemu ya mabadiliko makubwa kwenye siasa za kikanda katika eneo la Ghuba na Mashariki ya Kati.
Rais wa Syria kuhudhuria mkutano wa kilele Saudi Arabia
Ni ziara yake ya kwanza katika taifa hilo lenye utajiri wa mafuta, tangu machafuko yalipoanza Syria mwaka 2011.
Ujerumani haioni sababu ya kurejesha uhusiano na Syria
Wizara ya mambo ya nje ya Ujerumani imesema hakuna sababu za msingi za kurejesha uhusiano wa kidiplomasia na Syria.
Hatma ya Syria katika Jumuiya ya nchi za kiarabu kujadiliwa
Nchi kadhaa za kiarabu ikiwemo Qatar yenye utajiri wa gesi haitaki Syria irudishiwe uanachama
Mkutano wa nchi za kiarabu kuhusu Syria kufanyika Jordan
Watakaohudhuria mkutano huo wa mjini Amman wanatoka nchi za Misri, Iraq, Jordan, Saudi Arabia na Syria.
Nchi za kiarabu zaahidi kuendelea kuiunga mkono Palestina
Viongozi wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu wameahidi "uungaji mkono usioyumba" kwa Palestina.
Mkutano wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu waanza Algeria
Viongozi wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu wanakutana mjini Algiers nchini Algeria.
Zelensky azuru mji wa Bucha nje ya jiji la Kyiv
Akiwa kwenye mji wa Bucha, Rais Volodymyr Zelensky anasema mauaji ya Bucha yatachukuliwa kuwa mauaji ya kimbari.
Marekani, Israel zakutana na nchi za Kiarabu dhidi ya Iran
Wanadiplomasia kutoka Marekani na nchi nne za kiarabu wamekutana Israel, katika ishara ya ushirikiano dhidi ya Iran.
Kiongozi wa Sudan akutana na ujumbe wa Nchi za Kiarabu
Mkuu wa Baraza la Kijeshi nchini Sudan Abdel Fattah al-Burhan amekutana na ujumbe wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.
Tahadhari kuhusu mdororo wa kiuchumi Lebanon
Kaimu Waziri Mkuu wa Lebanon Hassan Diab, ameonya leo kwamba zimesalia siku chache kabla ya taifa hilo kujikuta katika kile alichokiita mlipuko wa kijamii.
Mbunge wa Hezbollah azituhumu nchi za Kiarabu kuwa vibaraka
Ibrahim Mousawi amezituhumu nchi za Kiarabu kuwa vibaraka vya Marekani.
Sudan, Ethiopia na Misri bado zavutana kuhusu mto Nile
Sudan imeshauri kufanyike mazungumzo zaidi ili kufikia maridhiano ya kisiasa juu ya mgogoro huo.
Ghuba: Corona yaongeza hali mbaya kwa wafanyikazi wageni
Wafanyakazi hao hawapewi misadaa ya kutosha na serikali na waajiri katika nchi hizo.
Dunia yampinga Netanyahu kuuchukuwa Ukingo wa Magharibi
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ikisema kuwa huenda huo ukawa mwisho wa mchakato wa amani kati ya Waarabu na Israel.
Uamuzi wa Rais Trump wapingwa na viongozi wa nchi za Kiarabu
Viongozi wa nchi za Kiarabu kuwasilisha malalamiko kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Matangazo ya Jioni, Saa 12:00 (Afrika Mashariki)
Mkutano wa kilele Ulaya na Arabuni
Haya ni maswali ambayo wachambuzi wetu wanaoizunguka meza yetu ya duara wanajaribu kuyapatia majibu yake.
Viongozi wa EU na wa nchi za kiarabu waahidi ushirikiano
Mkutano wa kwanza kabisa wa kilele kati ya Umoja wa Ulaya na Jumuiya ya Mataifa ya Kiarabu kule Sharm al-Sheikh nchini Misri uliahidi kuanza enzi mpya ya ushrikiano. Karibu viongozi 40 wa mataifa ya Umoja wa Ulaya na Jumuiya ya Kiarabu walisisitiza namna changamoto zao zinavyohusiana na kuhitaji juhudi za pamoja. Mengi zaidi ni kwenye makala ya Mwangaza wa Ulaya naye Iddi Ssessanga karibu.
Viongozi wa EU na nchi za Kiarabu wataka suluhisho la pamoja
Masuala ya vita dhidi ya ugaidi na uhamiaji yapewa kipaumbele
Viongozi wa EU na Nchi za kiarabu kuimarisha ushirikiano
Viongozi wa Umoja wa Ulaya na nchi za Kiarabu wajadili ugaidi, uhamiaji na kuimarisha ushirikiano.
Matangazo ya mchana 15.04.2018
Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili
Arab League waikemea Marekani lakini washindwa kuigomea
Tamko hilo lilisema kuwa mawaziri hao watakutana tena ndani ya kipindi cha mwezi mmoja ujao.
Taarifa ya Habari Asubuhi 10.12.2017
Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa nchi za Kiarabu, wameukosoa vikali uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel//Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi ametangaza rasmi kuwa nchi hiyo imeshinda vita dhidi ya kundi linalojiita Dola la Kiislamu//Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Boris Johnson amefanya mazungumzo na mwenzake wa Iran, Mohammad Javad Zarif.
Waasi: Syria yapeleka silaha za kemikali mipakani
Waasi wa Syria wanasema serikali imezipeleka silaha za kemikali katika viwanja vya ndege mipakani mwa nchi hiyo, siku moja baada ya utawala kuonya kwamba itazitumia silaha hizo endapo itashambuliwa na mataifa ya kigeni.
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu: Lazima Assad aondoke
Mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa Jumuiya ya nchi za kiarabu wamemtolea wito rais Bashar al-Assad kuachia madaraka ili kuepusha umwagaji zaidi wa damu, na kumuahidi njia salama ya kuondokea iwapo atafanya hivyo.
China kutohudhuria mkutano wa "Marafiki wa Syria"
China imeungana na Urusi kukataa kuhudhuria mkutano wa kundi linalojiita "Marafiki wa Syria" unaofanyika nchini Ufaransa hapo kesho, huku kukiwa na taarifa za kuongezeka kwa uasi wa wanajeshi nchini Syria.
Pillay alaani ghasia Syria
Mkuu wa kamisheni ya kutetea haki za binaadam wa Umoja wa Mataifa Navi Pillay amemshutumu rais wa Syria Bashar Al Assad kwa kuanzisha mashambulizi makali dhidi ya upinzani unaodai demokrasia.
Sasa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuiwekea vikwazo Syria
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu inajiandaa kuweka vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Syria, baada ya serikali ya nchi hiyo kushindwa kusaini makubaliano ambayo yangeliruhusu waangalizi huru kuingia Syria.
Syria yaomba mkutano wa jumuiya ya nchi za Kiarabu
Syria imeomba kuitishwa kwa mkutano wa dharura wa jumuiya ya nchi za kiarabu, katika juhudi za kuzuia kutengwa na jumuiya hiyo.
Jumuiya ya nchi za kiarabu yataka jenerali Sleiman achaguliwe rais wa Lebanon
CAIRO: Jumuiya ya nchi za kiarabu yataka mapigano ya Gaza yakome
NEW YORK: Jumuiya ya nchi za kiarabu ina matumaini ya azimio kupitishwa
NEW YORK: Jumuiya ya nchi za kiarabu yataka Israel iamuriwe kuondoa wanajeshi wake Lebanon
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 1
Ukurasa unaofuatia