You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Uhispania na Japan zafuzu hatua ya 16 bora Kombe la Dunia
Zambia, Costa Rica na Jamhuri ya Ireland zafungashwa virago Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA.
Kutana na wanawake madereva bodaboda Kampala
Wanawake wanajikita pia katika biashara ya uendeshaji bodaboda nchini Uganda. Katika mji Mkuu Kampala, baadhi ya wanawake wamepewa mafunzo ya sheria za usalama barabarani na ubunifu katika biashara hiyo.Tazama hii vidio ya mwandishi wetu Emmanuel Lubega!
Je, kiongozi mpya wa IPCC atakuwa mwanamke?
Wanachama wa IPCC, watakutana jijini Nairobi kuanzia Julai 25 hadi 28 ili kumchagua mwenyekiti mpya kati ya wagombea 4.
Saluni, maduka ya urembo yafungwa leo Afghanistan
Mamlaka ya Taliban yamepiga marufuku kufunguliwa maduka ya urembo, saluni kote nchini humo hatua hiyo iliopingwa vikali
Tunawezaje kuliboresha soka la wanawake?
Michuano ya Kombe la Dunia kwa wanawake inaendelea kupamba moto huko #NewZealand na #Australia. Licha ya kushuhudia soka la kiwango cha juu, bado linakabiliwa na changamoto kadha wa kadha zinazozuia kusonga mbele, huku wanawake wenyewe wakiwa moja ya visiki. Kulikoni? Tizama video hii kisha unipatie maoni yako. #KurunziLive, #FIFAWWC ⚽⚽⚽💪💪
Afghanistan: Wanawake waamriwa kufunga biashara za saluni.
Amri ya Taliban kuhusu kuzifunga saluni zinazoendeshwa na wanawake itawakosesha wanawake hao nafasi ya kujumuika pamoja.
Ujerumani yaicharaza Moroko 6-0 kombe la dunia la wanawake
Jonas Vingegaard wa Denmark ashinda mashindano ya mbio za baiskeli ya Tour de France mwaka huu.
Askari wanawake Afrika kujadili namna kukabiliana na uhalifu
Askari hao wanakutana wakati ambapo, uhalifu wa kuvuka mipaka na mipakani ukatajwa kuongezeka barani Afrika.
Caiceido awekewa matumaini katika kikosi cha Colombia
Caiceido awekewa matumaini makubwa katika kikosi cha Colombia
Kombe la dunia la wanawake laendelea kutimua vumbi
Wawakilishi wengine wa Afrika timu ya Zambia, ilichapwa mabao 5-kwa 0 na timu ya Japan, England waliwalaza Haiti bao 1-0
England wapata ushindi mwembamba dhidi ya Haiti
England wameanza kampeni yao ya kuwania Kombe la Dunia la wanawake kwa ushindi mwembamba.
Zambia yagaragazwa 5-0 na Japan
Marekani imeendeleza juhudi za kunyakua taji la tatu la Kombe la Dunia la Wanawake.
Uhispania yaanza vyema Kombe la Dunia la Wanawake
Mashuti 45 ya Hispania yaelekezwa lango la Costa Rica kwenye Kombe la Dunia Wanawake huku wakiutawala mchezo asilimia 81
Uchambuzi wa michuano ya kombe la kandanda la wanawake
Michuano ya kombe la dunia la kandanda la wanawake inaendelea huko New Zealand na Australia ambapo leo Nigeria imefanikiwa kutoka sare tasa na Canada katika pambano kali lililoishuhudia mchezaji wa Nigeria akionyeshwa kadi nyekundu.
Kombe la Dunia: Zambia itamkosa Chanda dimbani
Zambia imepata pigo kubwa siku moja kabla ya mechi yao ya kwanza ya michuano ya Kombe la Dunia.
Watu wanne wazuiliwa na polisi kwa kuwatembeza wanawake uchi
Watu wanne wazuiliwa na polisi kwa kuwatembeza wanawake uchi.
Historia ya Kombe la Dunia la Wanawake
Namibia yapitisha sheria dhidi ya ndoa za jinsia moja
Mataifa barani Afrika yamekuwa yakipitisha sheria ya kupinga ndoa na mapenzi ya jinsia moja na kukosolewa na magharibi.
Michuano ya Kombe la Dunia la wanawake yaanza
Michuano hiyo ya tisa ya dunia ya soka la wanawake inaandaliwa kwa pamoja na New Zealand na Australia.
Timu nne za Afrika zashiriki Kombe la Dunia la Wanawake 2023
Timu nne za Afrika zinashiriki katika Kombe la Dunia la Wanawake mwaka 2023.
Kombe la Dunia la Wanawake kuanza kutimua vumbi
Marekani wanapigiwa upatu kushinda taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo katika tamasha hilo kubwa la mwezi mzima
DW Michezo 17.07.2023
Timu zafanya maandalizi ya mwisho mwisho kabla ya kung'oa nanga Kombe la Dunia la Wanawake Alhamis wiki hii // Bayern yaendelea kumuwinda Harry Kane, je, Spurs watamuachilia mshambuliaji huyo?// Na mende aangusha kabati katika mashindano ya tenisi ya Wimbledon
Soka: Ujerumani haitatishwa na Colombia
Ujerumani haitatishwa na Colombia katika michuano ya kombe la dunia la wanawake.
Iran yaanzisha msako wa wanawake wasiofunika vichwa vyao
Iran yaanzisha msako wa wanawake wasiofunika vichwa vyao.
Raisi ayalaumu mataifa ya Magharibi kuchochea ushoga
Rais wa Iran Ebrahim Raisi amelaani kile alichokiita mitazamo ya nchi za Magharibi kuhusu ushoga.
Wanawake wa Afghanistan waelezea maisha yao kupitia uchoraji
Wanawake wa Afghanistan waelezea maisha yao kupitia uchoraji
FIFA yaruhusu bendera za jamii asilia kupepea kombe la dunia
Bendera za jamii za asilia kupepea katika kombe la dunia kwa wanawake huko Australia na New Zealand.
Nakshi za kudarizi zainua pato la wanawake Kongo
Huko Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kutengeneza na kushona darizi za nakshi husaidia wanawake walio katika mazingira magumu kupata kipato na kusaidia familia zao. Washonaji wote ni waathirika wa kutetereka kwa hali ya usalama katika taifa hilo la Afrika ya kati.
CAF yaingilia mzozo wa timu ya wanawake ya Afrika Kusini
Hatua hiyo inachukuliwa wakati wachezaji wakitarajiwa kuondoka leo kuelekea New Zealand kushiriki kombe la dunia.
FIFA yazindua vitambaa 8 vya kombe la dunia la wanawake
Manahodha kutoka mataifa kadhaa ya Ulaya walipanga kuva kitambaa cha rangi za upinde wa mvua nchini Qatar.
Jasiri anaewika kwenye ujenzi majengo Dar es salaam
Recho ni msichana aliye amua kuipigania kesho yake licha ya baadhi ya watu kuwa na mtazamo tofauti juu yake, umaridadi na uaminifu katika kazi yake ni miongoni mwa sababu zinazomfanya kuwa wakipekee.
Mifuko ya plastiki iliotumika yageuka ajira Kampala
Biashara hiyo wameifanya kwa zaidi ya miaka mitatu imeweza kuwasaidia kutoa mahitaji muhimu kwa wategemezi wao.
Kiongozi wa Afghanistan asema hadhi ya wanawake imebadilika
Kiongozi wa mkuu wa kidini, Afghanistan asema hadhi ya wanawake imebadilika.
Benki ya Dunia yaidhinisha dola milioni 700 kwa Mexico
Benki ya Dunia imesema imeidhinisha kuipatia Mexico dola milioni 700 kwa ajili ya mpango wa kukuza sera za umma.
UN yaionya Taliban kuhusu haki za wanawake na wasichana
Tangu lilipochukua madaraka 2021 Taliban wanalaumiwa kwa kuweka vizuizi vikali kwa wanawake kupata elimu au kufanya kazi
Je umewahi kuona ufugaji wa nzi chuma?
Mwanamke anayefuga nzi chuma kulisha mifugo pamoja na kuchakata mbolea.
Zaidi ya watu 41 wamepoteza maisha kwenye jela, Honduras
Zaidi ya watu 41 wamepoteza maisha kwenye jela moja ya wanawake nchini Honduras baada ya kuzuka kwa moto
Mpira wa kikapu kwa wasichana wageuka fursa
Licha ya kuwa na changamoto katika michezo na jamii kuwa na mtazamo mbaya juu yao, lakini si sababu ya wao kutokuziishi
Tatizo la Kibiongo na Matibabu yake
Bado hakuna sababu za moja kwa moja za kisayansi ambazo zinaonesha chanzo cha tatizo hili, lakini mabadiliko ya vichocheo vya mwili, ukuaji hasa kwa wasichana ni miongoni mwa nadharia zinazotajwa kuchangiwa kwa mtu kupata tatizo la kibiongo.
Kundi la wasichana na sanaa ya uoni
Hii ni sanaa ya kufikirika kwa kutumia picha halisia na zile za kubuni na rangi. Kundi hili linatumia sanaa hiyo ngumu k
Museveni asema sheria dhidi ya LGBTQ imetafsiriwa vibaya
Tamko la rais wa Uganda Yoweri Museveni kwamba sheria inayopinga mapenzi ya jinsia moja imefasiriwa vibaya limepokelewa kwa maoni mseto. Aidha, wazo lake kwamba sheria hiyo itaweza kufanyiwa mageuzi tena ili kuwahakikishia usalama watu hao linachukuliwa kama la kukanganya. Lubega Emmanuel aliarifu kwa kina kutoka Kampala.
Askari wa zima moto wanawake Catalonia
Mabadiliko ya kisera katika jimbo la Catalonia Uhispania yatawapa fursa wanawake wengi kujiunga na kikosi cha zima moto.
Washindi wa tuzo ya Ujerumani kwa Afrika kutunukiwa Berlin
Muungano wa kwanza wa kitaifa wa amani nchini Cameroon kupokea tuzo ya Ujerumani kwa Afrika mjini Berlin.
Museveni aitetea sheria ya kupinga ushoga
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameutetea uamuzi wake wa kutia saini na kuufanya kuwa sheria, muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja nchini humo. Museveni serikali yake iko tayari kunyimwa misaada na vikwazo kutoka kwa mataifa ya Magharibi.
Museveni akaidi miito iliyomtaka afute sheria dhidi ya LGBTQ
Tangazo la pamoja la mashirika ya kutetea haki za binadamu limeilaani sheria hiyo
Mfahamu Bi Jackline George, msanii wa uchoraji
Kipindi cha Wanawake na maendeleo kinammulika Bi Jackline George, ambaye ni msanii wa uchoraji na anayetumia umahiri mkubwa kupeleka ujumbe wake kupitia picha. Ana lipi la kukushirikisha kuptia makala haya? Karibu uungane na Alex Mchomvu aliyezungumza na mama huyu aliyeachana na uandishi wa habari akajiingiza kwenye sanaa hiyo.
Biden akosoa sheria ya Uganda dhidi ya mashoga
Ametoa wito wa kufutwa mara moja kwa hatua hizo mpya na kali
Uganda: Sheria dhidi ya mapenzi ya jinsia moja yakemewa
Kundi moja limewasilisha shauri kwenye mahakama ya kikatiba kupinga sheria hiyo likidai kuwa ni batili.
Museveni asaini sheria ya mapenzi ya jinsia moja
Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameusaini muswaada tete dhidi ya mapenzi kati ya watu wa jinsia moja kuwa sheria.
Mateso ya Taliban kwa wanawake ni uhalifu dhidi ya ubinadamu
Mashirika ya haki za binadamu yamevitaja vikwazo vya Taliban kwa wanawake kama 'uhalifu dhidi ya ubinadamu'.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 21
Ukurasa unaofuatia