You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Polisi Nigeria yawakamata wanaume 200 mashoga
Wengi wa wanaume waliohudhuria harusi hiyo wanadaiwa kuvaa "nguo za wanawake."
Mikopo na madhila yake
Ulishawahi kukumbwa na maswahibu ya mikopo? Kwamba ukakopa halafu kurudisha ikawa changamoto? Yapi yalikukumba? Hebu tuambie hapa, baada ya kutazama video ya kina mama hawa.
Sakata la busu laendelea Uhispania
Marais wa mikoa ya shirikisho la soka la Uhisapania wamemtaka Luis Rubiales kujiuzulu mara moja.
Kijana wa miaka 20 ashitakiwa kwa ushoga Uganda
Kijana mmoja, 20, amekuwa raia wa kwanza wa Uganda kushitakiwa kwa vitendo vilivyokithiri vya mapenzi ya jinsia moja.
FIFA yamsimamisha kazi Luis Rubiales kwa siku 90
FIFA iliagiza pia Rubiales na shirikisho la soka la Uhispania kuepuka kufanya mawasiliano ya aina yoyote na Hermoso.
Hermoso akanusha kutoa ridhaa ya kupigwa busu na Rubiales
Timu ya wanawake ya Uhispania imetishia kutocheza tena endapo mkuu wa shirikisho la soka la nchi hiyo hatojiuzulu.
Mkuu wa shirikisho la soka Uhispania akataa kujiuzulu
Rubiales amesema busu lake kwa Hermoso lilikuwa kama kumbusu mtoto na haliwezi kufananishwa na udhalilishaji wa kingono.
Wanawake na maendeleo: Programu ya ''Ndoto ya Kalista''
Katika makala ya wanawake na maendeleo, Selina Mdemu tunaiangazia ''ndoto ya kalista'' programu maalumu nchini Tanzania iliyoanzishwa na mwanadada Scholastica Sultan aliyejikita kuwapa ujuzi na maarifa ya kuwa na fani itakayowawezesha kujikwamua kiuchumi.
Nani mkali kati ya Shelly-Ann na Richardson?
Kunatarajiwa kinyang'anyiro kikali katika fainali ya mbio za mita 100 upande wa wanawake usiku wa Jumatatu
Rubiales atakiwa kuomba msamaha kwa kumbusu Hermoso
Rais wa Shirikisho la Kandanda la Uhispania amekosolewa na mawaziri wa serikali nchini humo kwa kumpiga busu la mdomoni
Kifo chaitilia kiwingu furaha ya nahodha wa Uhispania
Nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya Uhispania na shujaa wao katika fainali ya Kombe la Dunia hapo Jumapili Olga Carm
Uhispania yashinda Kombe la Dunia la Wanawake
Uhispania ilionyesha mchezo wa hali ya juu na kupata nafasi nyingi za kufunga
Sweden yatwaa mshindi wa tatu Kombe la dunia la wanawake
Kilele cha michuano hiyo kitakuwa kesho katika fainali itakayo zikutanisha timu za England na Uhispania mjini Sydney.
Taliban: Mwanamke anashuka thamani akiacha wazi uso wake
Kundi la Taliban lawahimiza wanawake nchini Afghanistan kufunika nyuso akiwa nje ya nyumba.
Wanamgambo wa Sudan wanyooshewa kidole kwa uovu
Shirika la Human Rights Watch limesema kundi la RSF limekuwa likiwalenga wanawake na wasichana Darfur.
HRW yasema kundi la RSF lahusika katika ubakaji Darfur
Washambuliaji hao wanaonekana kuwalenga watu kwa sababu ya kabila lao la Massalit
Mtetezi wa sokwe Tanzania
Mfahamu mwanamama au shoshi au kikongwe mwanaharakati wa kumtetea sokwe na mazingira aliejikita kumtafiti sokwe na kuleta ustawi wa mnyama huyo aliehatarini na maradhi na kuvamiwa na shighuli za binadamu huko katika msitu wa gombe kigoma.
Uhispania yatinga fainali ya Kombe la Dunia, yaibwaga Sweden
Uhispania watacheza na mshindi wa mechi kati ya Australia na England katika fainali ya Jumapili mjini Sydney
Maandalizi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia la Wanawake
Michuano ya Kombe la Dunia la Wanawake 2023 inayoandaliwa Australia na New Zealand inaingia hatua ya nusu fainali.
14.08.2023 DW Michezo
Mbivu na mbichi kujulikana wakati Kombe la Dunia la Wanawake likiingia nusu fainali// Neymar atimkia Saudi Arabia kutoka PSG huku Mbappe akirejeshwa kikosini// Na RB Leipzig yaharibu karamu ya Bayern Munich ya kumkaribisha staa wao mpya Harry Kane
Sweden kulimana na Uhispania nusu fainali
Mechi hiyo itachezwa katika uwanja wa Eden Park mjini Auckland, New Zealand
Uhispania na Sweden kukutana nusu fainali Kombe la Dunia
Nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Dunia la Wanawake kuchezwa wiki ijayo.
Konokono ana faida jamani!
Mwanamama huyu anasema anafaidika kwelikweli na ufugaji wa konokono. Anawatumiaje? Mimi sisemi mengi, tizama video hii umsikie mfugaji huyu wa konokono. #kurunzi
Kocha wa Uholanzi asema hawaiogopi Uhispania
Kocha wa Uholanzi Andries Jonker anasema "anajua kila kitu" kuihusu timu ya Uhispania kuelekea mechi yao ya robo fainali
Kombe la Dunia: Hijabu ya Benzina ni ishara ya ujumuishi
Chaguo la mavazi la beki wa timu ya taifa ya Morcco Nouhaila Benzina linaweza kuwa na athari kubwa zaidi nje ya uwanja.
Wafahamu wasichana wabunifu wa kipimo cha haraka cha malaria
Waangola wawili wamebuni kifaa cha utambuzi wa haraka wa malaria. Mfumo wao wa ubunifu hutoa matokeo dakika mbili tu baada ya mgonjwa kuweka kidole cha shahada kwenye kifaa hicho.
Wanawake na Maendeleo inakiangazia kikundi cha "Anzia Sokoni"
Ni mkusanyiko wa wajane, wanawake waliotelekezwa na wanaume na waliotokea kwenye mazingira magumu mitaani,waliopiga hatua kuendeleza kujikwamua kimaisha kwa kufanya biashara mbali mbali. Ahmad Juma amewatembelea na kutuandalia Makala hii ya wanawake na Maendeleo.
Benki ya Dunia yakemea sheria ya Uganda dhidi ya mashoga
Benki hiyo imesema hakuna ufadhili mpya utakaotolewa kwa Uganda hadi hatua za ziada na za ufanisi zitakapochukuliwa.
Nigeria yatolewa nje ya kombe la dunia la wanawake
Timu ya wanawake ya mpira wa kikapu ya Nigeria yatawazwa mabingwa wa FIBA Women's AFROBASKET mjini Kigali.
Marekani watupwa nje Kombe la Dunia na Sweden
Machozi kwa nyota wa Marekani Megan Rapinoe ambaye amecheza mechi yake ya mwisho kwenye mashindano ya Kombe la Dunia.
Nigeria yaaga Kombe la Dunia la Wanawake
Timu ya Soka ya Wanawake ya Nigeria imeliaga Kombe la Dunia baada ya kupoteza hatua ya mtoano dhidi ya England.
Nigeria nje, Uingereza yapeta Kombe la Dunia la Wanawake
Uingereza yasonga mbele hatua ya robo fainali Kombe la Dunia la Wanawake 2023.
Papa Francis awanyooshea mkono wapenzi wa jinsia moja
Papa Francis amesema Kanisa lipo wazi kwa kila mtu, wakiwemo wapenzi ya jinsia moja, lakini kwa kuzingatia sheria.
Sweden yawaondoa mabingwa watetezi Marekani
Sweden imewaduwaza Marekani kwa kuwafunga penalti 5 - 4 na kutinga robo fainali ya Kombe la Dunia la Wanawake.
Uholanzi yatinga robo fainali kwa kuiondoa Afrika Kusini
Uholanzi sasa imeweka miadi na Uhispania baada ya kuhitimisha ndoto za Afrika Kusini kwa ushindi wa 2 - 0 mjini Sydney
Kombe la dunia la wanawake: Japan yazima ndoto za Norway
Japan yailaza Norway 3-1
Afrika yaweka historia Soka la wanawake duniani
Timu tatu kati ya nne za Afrika zimetinga hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia la 2023. Nyingi kuliko ilivyowahi kutokea. Simba wa Taranga ya Morocco, Super Falcons ya Nigeria na Banyana Banyana ya Afrika Kusini wamelifanya bara zima kujivunia.
Kombe la Dunia la Wanawake limevutia wengi
Kombe la Dunia la Wanawake limevutia wengi kuliko michuano ya mwaka 2019 nchini Ufaransa.
Ofisi ya haki za binaadamu kufungwa Uganda
Ofisi ya haki za binaadamu kufungwa Uganda
FIFA yachunguza unyanyasaji kijinsia timu ya Zambia
FIFA yachunguza unyanyasaji kijinsia timu ya wanawake ya Zambia.
Wangui Waweru mfanyabishara na mfugaji wa Konokono Kenya
Wangui Waweru anapatikana kwenye mitandao yote ya kijamii na tovuti yake ni Golden Snails Farm and Organics Kenya.
Mauzo ya tiketi za Kombe la Dunia yamefikia milioni 1.6
Mauzo ya tiketi za Kombe la Dunia la Wanawake yamefikia milioni 1.6 katika mechi 38 za kwanza
Nigeria yaiangusha Ireland Kombe la Dunia la Wanawake
Timu ya soka ya wanawake ya Nigeria imeingia hatua ya mtoano wa michuano ya Kombe la Dunia la Wanawake.
Mabingwa watetezi Marekani walenga kufuzu duru ya mtoano
Mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia kwa wanawake, Marekani, hapo Jumanne watakuwa wanaingia uwanjani kucheza mechi yao y
Uholanzi walenga kuikwepa Sweden raundi ya 16
Mechi nyengine muhimu katika kundi G Jumanne itawapatanisha Uholanzi na Vietnam ambao washaondolewa kutoka kwenye mashin
Nigeria yatinga raundi ya mtoano Kombe la Dunia
Nigeria Jumatatu wamefuzu kwenye hatua ya raundi ya 16 bora kwenye Kombe la Dunia la wanawake kwa mara ya tatu katika
Uswisi yasonga 16 bora, Ujerumani yalizwa na Colombia
Uswisi inasonga mbele wakati New Zealand wenyeji wenza wa michuano hiyo wakiondolewa sambamba na Ufilipino.
Ufaransa yaitandika Brazil, Sweden watinga hatua ya mtoano
Katika mchezo wa awali, Sweden walishinda bao 5-0 dhidi ya Italia na kusonga hatua ya mtoano ya Kombe la Wanawake.
Nigeria yawacharaza wenyeji Australia 3-2 Kombe la Dunia
Nigeria mguu mmoja ndani kutinga hatua ya 16 bora katika michuano ya Kombe la Dunia, wakiifunga Ireland tu wanafuzu.
Umoja wa Mataifa wahofia uvunjwaji haki za binaadamu Uganda
Umoja wa Mataifa unahofia kumekuwa na ukiukaji mkubwa wa haki za binaadamu unaofanywa nan vyombo vya dola nchini Uganda.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 21
Ukurasa unaofuatia