1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakimbizi watumia Yoga kukabiliana na msongo wa mawazo

4 Desemba 2019

Watazame wakimbizi kutoka kambi kubwa ya wakimbizi Kaskazini Magharibi mwa Kenya ya Kakuma, wakitumia mazoezi ya viungo maarufu kama Yoga kukabiliana na msongo wa mawazo.

https://p.dw.com/p/3UCZR