1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utamaduni wa milio ya mijeledi yarejea tena Bavaria

5 Machi 2020

Goaßlschnalzen au mlio wa mjeledi ni utamaduni wa watu wa jimbola Bavaria Kusini Mashariki mwa Ujerumani. Zamani waongozaji wa matwana ya farasi walitumia milio hiyo kuashiria ujio wao katika eneo hilo. Zaidi Tazama video hii. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/3YuuH