You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Tahadhari ya mashambulio ya anga yatolewa kote Ukraine
Ukraine imetoa tahadhari ya mashambulio ya kutokea angani katika maeneo yote nchini humo.
Waukraine waliopo Ulaya wajiunga na "Ukrainian Legion"
Watu waliojitolea wameanza kupewa mafunzo ya msingi ya kijeshi kwenye kambi ya kijeshi ya Poland.
Blinken aelekea Brussels kwa mazungumzo kuhusu Ukraine
Blinken atajadili uungaji mkono kwa Ukraine katika ulinzi wake dhidi ya uvamizi wa Urusi.
China, Urusi lazima zipambane na udhibiti wa Marekani
Mazungumzo hayo yamefanyika huku rais wa zamani wa Urusi akiwashtumu viongozi wa Ulaya kwa kuchochea mzozo wa Ukraine.
Korea Kaskazini yaidhinisha mkataba wa ulinzi na Urusi
Mataifa hayo yanalenga kusaidiana kijeshi ikiwa mmoja wao atashamuliwa na kushirikiana kupinga vikwazo vya Magharibi.
Vikosi vya Ukraine vyakabiliana na askari 50,000 wa Urusi
Rais Zelensky ameongeza kuwa Ukraine itaimarisha vikali safu yake kwenye maeneo ya Pokrovsk na Kurakhove mashariki.
Urusi na Ukraine zashambuliana vikali na droni
Mashambulizi hayo yamejiri licha ya mazungumzo yanayoripotiwa kufanywa baina ya Putin na rais mteule wa Marekani Trump
Rais mteule wa Marekani Trump azungumza na Rais Putin
Donald Trump tayari ameahidi kutatua mzozo huu wa vita kati ya Urusi na Ukraine wakati wa kampeni zake za urais.
Trump na Scholz wakubaliana kuendeleza ushirikiano
Kurejea upya kwa Donald Trump kama rais wa Marekani kumebadilisha mkondo na mitizamo ya viongozi wengi ulimwenguni.
Kansela Olaf Scholz aashiria uchaguzi wa mapema zaidi
Hatua hiyo ingeweza kufungua njia ya uchaguzi wa mapema nchini Ujerumani baada ya muungano wa serikali yake kuvunjika.
Rais Biden na Trump kujadili vita vya Ukraine na mengineyo
Marekani imekuwa mfadhili mkubwa Ukraine kwenye vita kati yake na Urusi tanmgu mwaka 2022 ilipovamiwa rasmi.
Droni 62 kati ya 45 za Urusi zadunguliwa Ukraine
Jeshi la anga la Ukraine mapema leo limesema limezidungua droni 62 kati ya 145 zilizorushwa na Urusi nchini humo.
Donald Tusk kukutana na wenzake wa Ulaya kuijadili Ukraine
Tusk amesema ni wazi hali mpya ya siasa za ulimwengu ni changamoto kubwa kwa kila mtu
Josep Borrell afanya ziara fupi Kyiv
Borrell: Ujumbe uko wazi kwamba tumeiunga mkono Ukraine kuanzia mwanzo na tutaendelea kufanya hivyo kwa muda wote.
Moscow: Putin yuko tayari kuzungumza na Trump kuhusu Ukraine
Hata hivyo Trump alikieleza kituo cha NBC kwamba hajazungumza na Putin tangu kuchaguliwa kwake kuwa rais wa taifa hilo.
Ukraine yasema Urusi imerejesha miili ya wanajeshi wake 563
Taarifa hiyo pia imesema miili mingine 154 kati ya hiyo ilirejeshwa kutoka vyumba vya kuhifadhia maiti nchini Urusi.
Trump amteua Susie Wiles kuwa Mtendaji Mkuu wa Ikulu
Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemteua Susie Wiles kuwa afisa mkuu wa utumishi wa ikulu ya White House.
Urusi yafanya mashambulizi ya usiku kucha nchini Ukraine
Jeshi la anga la Ukraine limesema vikosi vya Urusi vilirusha droni 92 na makombora matano katika maeneo 12 ya nchi hiyo.
Urusi yatoa wito wa mazungumzo kuhusu vita vya Ukraine
Haya yamesemwa na mkuu wa Baraza la Usalama la Urusi, Sergei Shoigu, wakati Ukraine ikiendelea kushambuliwa na Urusi.
Nchi za G7 zalaani ushirikiano wa Korea Kazkazini na Urusi
Kuna uwezekano wa kutumika kwa wanajeshi wa Pyongyang katika uwanja wa vita nchini Ukraine.
Askari wa Ukraine wakabiliana na vikosi vya Korea Kaskazini
Zelensky asema askari wa Ukraine walikabiliana na vikosi vya Korea Kaskazini.
06.11.2024: Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
Shambulio la Urusi lauwa watu 6 Zaporizhzhya
Shambulizi la Urusi lasababisha vifo vya watu 6 Zaporizhzhya.
Zelensky adai wanajeshi 11,000 wa Korea Kaskazini wako Kursk
Zelensky amedai wanajeshi 11,000 wa Korea Kaskazini wamewasili katika mpaka wa nchi yake na Urusi kwenye eneo la Kursk.
Wanajeshi wa K. Kaskazini wajiandaa kuingia Ukraine
Zelenskiy aonya wanajeshi 11,000 wa Korea Kaskazini wako mpakani tayari kuingia Ukraine
05.11.2024 : Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW
Baerbock awasili Kiev kusisitiza mshikamano
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock amezuru Ukraine Jumatatu kusisitiza "uungwaji mkono thabiti".
Baerbock ataka kuipiga jeki Ukraine akiwa ziarani Kyiv
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Annalena Baerbock, amesisitiza umuhimu wa kuendelea kuisaidia Ukraine.
Guterres aonya kutumika kwa wanajeshi wa Pyongyang, Ukraine
Guterres asema anaunga mkono juhudi zote za kutafuta amani ya kudumu kwa Ukraine.
Chama cha BSW chapinga Ujerumani kuipa Ukraine silaha
Chama cha BSW chashinikiza msimamo wake dhidi ya silaha kwa Ukraine
Zelenskiy: Ukraine ilipigwa mabomu 900 ndani ya wiki moja
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amewataka washirika wa kigeni kuongeza msaada wa ulinzi wa angani.
Urusi yaishambulia miundombinu ya mji wa Kyiv kwa droni
Mashambulizi ya droni ya Urusi yaharibu miundombinu muhimu ya Ukraine
Shambulizi la Urusi laua mmoja na kujeruhi watu 46 Ukraine
Volodymyir Zelenskiy akiwatolea mwito washirika wake wa magharibi kuchukua hatua kuisaidia nchi yake.
Victor Orban ataka Trump kushinda urais Marekani
Raia wa Marekani wanapiga kura siku ya Jumanne kumchagua rais mpya.
02.11.2024- Matangazo ya mchana
Israel yashambulia maeneo 120 ya wapiganaji wa Hamas na Hezbollah ++ Rais wa Ukraine aseme mataifa ya magharibi yaache kutazama na yachukue hatua za kukabiliana na wanajeshi wa Korea Kaskazini++Na WFP yasema haitochukua jukumu la UNRWA katika ukanda wa Gaza.
Zelenskiy: Mataifa ya magharibi mnapaswa kutusaidia zaidi
Marekani ilisema kuna wanajeshi 10,000 wa Korea Kaskazini nchini Urusi wakiwemo 8,000 katika eneo la Kursk.
Korea Kaskazini yasema inaiunga mkono Urusi hadi mwisho
Jeshi la Ukraine limeripoti kuwa Urusi ilifanya zaidi ya mashambulizi 2,000 ya droni kote Ukraine na 1,185 zikidunguliwa
Korea Kaskazini kusimama na Urusi hadi ipate ushindi Ukraine
Korea Kaskazini imesema kuwa itasimama na Urusi hadi itakapopata ushindi katika vita vyake nchini Ukraine.
UN: Urusi inafanya uhalifu dhidi ya binadamu Ukraine
Hatua ya Urusi kuwatesa raia wa Ukraine na wafungwa wa kivita ni uhalifu dhidi ya binadamu. Haya ni kwa mujibu wa wataal
Korea Kaskazini yarusha kombora la kisasa zaidi la nyuklia
Wachambuzi wanasema jaribio hilo linalenga kuondoa nadhari kwenye hatua ya Pyongyang kupelekea jeshi Urusi.
Shambulizi la droni la Urusi lawajeruhi watu tisa mjini Kyiv
Shambulizi la Urusi mjini Kyiv usiku wa kuamkia leo limewajeruhi watu tisa, akiwemo msichana wa umri wa miaka 11.
Ukraine yatangaza zoezi jipya la kuwasajili wanajeshi
Hayo ni wakati Marekani na ikisema baadhi ya wanajeshi wa Korea Kaskazini wako katika mkoa wa Urusi wa Kursk.
Marekani: Korea Kaskazini imetuma maelfu ya wanajeshi Urusi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kaskazini, Choe Son Hui, amewasili nchini Urusi Jumanne.
Choe Son Hui, kufanya ziara fupi Urusi
Waziri Choe Son anafanya ziara huku kukiwa na tuhuma juu ya nchi yake kutaka kuingia katika vita vya Urusi na Ukraine.
NATO: Wanajeshi wa Korea Kaskazini wamepelekwa Urusi
Amesema kuongezeka kwa ushirikiano wa kijeshi kati ya Urusi na Korea Kaskazini ni kitisho kwa usalama.
NATO: Wanajeshi wa Korea Kaskazini tayari wako Urusi
Watu wawili wameuawa na wengine watatu wamejeruhiwa katika shambulizi la Urusi dhidi ya mji wa Kherson nchini Ukraine.
Vikosi vya Urusi vyadai kusonga mbele mashariki mwa Ukraine
Wizara ya ulinzi ya Urusi imeripoti kukikomboa kijiji cha Izmailovka, ambacho kabla ya mzozo kilikuwa na watu 200.
Putin aonya juu ya Kyiv kutumia makombora ya masafa marefu
Vita vya miaka miwili na nusu vya Ukraine, vimesababisha msuguano mkubwa baina ya Urusi na nchi za Magharibi.
26.10.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Miongoni mwa tuliyonayo kwenye taarifa a habari asubuhi hii ni pamoja na Israel yafanya mashambulizi nchini Iran: Wakuu wa kundi la G7 wakubaliana kuhusu mkopo kwa Ukraine uliotokana na mali za Urusi na Umoja wa Mataifa wasema Vita vimewaathiri zaidi ya wanawake milioni 600 pamoja na wasichana. Sikiliza kwa kina hapa.
Viongozi wa G7 wakamilisha mkopo wa Ukraine
Mali za Urusi za kiasi cha dola bilioni 280 kama akiba ya Benki Kuu zilizuiwa chini ya vikwazo ilivyowekewa taifa hilo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 67
Ukurasa unaofuatia