SiasaUharibifu wa mazingira ni mkubwa mijiniTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaJacob Safari23.04.201923 Aprili 2019Mbuga ya wanyama ya Nairobi ndiyo mbuga ya pekee duniani iliyo katikati ya jiji. Wanamazingira wanalalamikia uharibifu wa mazingira uliofanywa katika mbuga hiyo kipindi reli ya kisasa kutoka Mombasa kuelekea Nairobi ilipokuwa ikijengwa. https://p.dw.com/p/3HI29Matangazo