Ufisadi wachangia uharibifu wa mazingira duniani
24 Juni 2011Matangazo
Mohammed Dahman anaiangalia ripoti hiyo na namba ambavyo maisha ya wanaadamu wote yanahatárishwa kwa sababu ya ufisadi unaofanywa na watu wáchache wenye dhamana katika jamii.
Mtayarishaji/Msimulizi: Mohammed Dahman
Mhariri: Othman Miraji