Shirika la UNEP latoa taarifa kuhusu hali ya mazingira duniani25.10.200725 Oktoba 2007Shirika la mazingira la umoja wa mataifa UNEP, leo limetoa taarifa yake ya kila baada ya miaka 20 kuhusu hali ya mazingira duniani kote.https://p.dw.com/p/C7rdMatangazoKulingana na ripoti hiyo binaadamu anaendelea kupoteza maisha yake kwa sababu ya uharibifu wa hali ya hewa. Mwandishi wetu Mwai Gikonyo kutoka Nairobi ana taarifa zaidi.