Ndege za kivita za Israel zaishambulia kambi ya wakimbizi mjini Gaza. Maandamano ya kumtaka Waziri Mkuu wa Israel ajiuzulu yafanyika katika miji kadhaa Israel na Rais wa Ukraine Volodmry Zelensky anatarajia majadiliano kuhusu taifa lake kujiunga na Umoja wa Ulaya kuanza karibuni.