Marekani yaidhinisha dawa ya dharura kwa wagonjwa wa virusi vya corona, Viongozi wa Umoja wa Ulaya watoa wito wa ufadhili wa bilioni 8 kwaajili ya hatua za kitabibu dhidi ya ugonjwa wa covid 19 na Kiongozi wa Korea kaskazini ajitokeza hadharani baada ya kutoonekana kwa wiki tatu