Kiongozi wa upinzani nchini Belarus awataka waandamanaji wanaodai demokrasia kuendelea kuandamana hadi matakwa yao yatakapotimizwa, Mke wa kiongozi wa upinzani nchini Urusi Yulia Navalnaya amtembelea Navalny hospitalini anakopatiwa matibabu mjini Berlin na watu wawili wauwawa Ivory Coast.