Antony Blinken afanya ziara ya kushtukiza katika ukingo wa Magharibi huku Israel ikiendelea na mashambulizi yake Gaza. Wakimbizi 15,000 wa Afghanistan waondoka Pakistan ndani ya saa 24 na Chama tawala nchini Ghana kimemteua naibu rais kuwa mgombea wake katika uchaguzi wa 2024.