You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Marine Le Pen
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Macron: China itumie ushawishi wake kusitisha vita Ukraine
Rais Xi atatembelea pia mataifa ya Serbia na Hungary.
Macron afanya mazungumzo na Rais Xi Jinping mjini Paris
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekutana na Rais wa China Xi Jinping siku ya Jumatatu kwa mazungumzo mjini Paris.
Mtu mmoja afariki na 6 wajeruhiwa mjini Paris
Taarifa za polisi zinasema kulikuwa na ufyatuaji risasi unaohusishwa na ulanguzi wa dawa za kulevya mjini Paris.
Raia wa Niger washinikiza kuondoka kwa vikosi vya Marekani
Mwezi uliopita, Jeshi la Niger lilitangaza kuvunja makubaliano ya ulinzi na Marekani.
Ufaransa kujenga mahusiano yenye uwiano na Afrika
Uhusiano kati ya Ufaransa na mataifa kadhaa ya Afrika umedorora huku bara hilo likiwa uwanja wa vita vya ushawishi.
Macron asema Ufaransa ingeweza kusitisha mauaji Rwanda
Kauli hiyo ya rais wa Ufaransa ni hatua ya ziada ya nchi hiyo katika kutambua dhamana yake katika mauwaji ya kimbari.
Mwanadiplomasia wa Ufaransa anatarajiwa kuitembelea China
Ziara hiyo imekuja wakati mataifa hayo mawili yakiadhimisha miaka 60 ya mahusiano yao ya kidiplomasia.
Blinken atarajiwa wiki ijayo kufanya ziara barani Ulaya
Blinken ataelekea mjini Brussels nchini Ubelgiji ili kudhihirisha jukumu la Marekani katika Jumuiya ya Kujihami NATO,
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kufanya ziara Afrika
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Stéphane Séjourné, anatazamiwa mwezi ujao kuanza ziara yake ya kwanza katika nchi tat
Macron awahimiza washirika wa Ukraine wasiwe 'waoga'
Ufaransa na Jamuhuri ya Czech ziko tayari kutafuta njia mpya za kuwasaidia Waukraine ili waweze kushinda vita hivyo
Macron: Hatufuti uwezekano wa kupeleka wanajeshi Ukraine
Macron aliwaalika viongozi wa UIaya katika Ikulu ya Eliysee kujadili hali ya vita vya Urusi nchini Ukraine
Ufaransa yaitaka Rwanda kusitisha msaada kwa M23
Mapigano kati ya vikosi vya serikali ya Kongo na waasi wa M23 yamepamba moto mjini Sake
Zelensky asaini mkataba wa usalama na Ujerumani
Zelensky amesaini mkataba wa usalama na Ujerumani ambao Kansela Olaf Scholz ameuita "hatua ya kihistoria".
Zelensky azitembelea Berlin, Paris kusaka msaada zaidi
Zelensky anafanya ziara nchini Ujerumani na Ufaransa ambako anatarajiwa kutia saini mikataba ya usalama.
Waziri Mkuu wa Poland afanya ziara Ufaransa
Tusk asema Ufaransa na Poland ziko kwenye "ukurasa" linapohusika suala la siasa za kikanda na msaada kwa Ukraine.
Scholz atarajia Bunge la Marekani kuafikiana kuisaidia Kiev
Kansela huyo wa Ujerumani ataanza siku ya Alhamisi ziara yake mjini Washington.
Macron amteua Attal kuwa Waziri Mkuu mpya
Elisabeth Borne alijiuzulu baada ya kuhudumu katika wadhifa huo katika kipindi cha chini ya miaka miwili.
Waziri Mkuu wa Ufaransa Elisabeth Borne ajiuzulu
Kulingana na vyanzo vya kuaminika, Macron anatarajiwa kumteua katika nafasi hiyo Waziri wa Elimu Gabriel Attal.
Rais Macron atarajiwa kumtangaza Waziri Mkuu mpya
Waziri Mkuu wa sasa Elisabeth Borne amekuwa katika wakati mgumu tangu kupitishwa kwa mswada tata wa uhamiaji.
Ufaransa yafunga ubalozi Niger kufuatia mapinduzi
Ufaransa yafunga ubalozi Niger kufuatia mapinduzi
Rais wa Ufaransa atoa wito wa usitishwaji mapigano Gaza
Kwa sasa vifo vya raia katika Ukanda wa Gaza vimepindukia 21,000 kulingana na Wizara ya Afya inayodhibitiwa na Hamas.
Mahmoud Abbas: Israel inaendesha vita vya maangamizi Gaza
Mahmoud Abbas ameilaumu pia Marekani kwa kutumia kura yake ya turufu ili kuzuia maazimio ya usitishwaji mapigano
Niger yasitisha ushirikiano na shirika la IOF
Niger yasitisha ushirikiano na shirika la kimataifa la mataifa la IOF.
Mama pamoja na wanawe wanne wauawa Ufaransa
Mama pamoja na wanawe wanne wauawa Ufaransa.
Ufaransa yamaliza shughuli ya kuwaondoa wanajeshi wake Niger
Muda wa mwisho wa kuondoka kwa wanajeshi hao ilikuwa jana Ijumaa
Ufaransa yawaondoa wanajeshi wake wa mwisho Niger
Jeshi la Niger limetangaza kuondoka kwa kundi la mwisho la wanajeshi wa Ufaransa siku ya Ijumaa, baada ya muongo mmoja.
Kundi la mwisho la kikosi cha Ufaransa kuondoka Niger leo
Kundi la mwisho la kikosi cha Ufaransa kuondoka Niger leo
Miito ya kusitisha mapigano Gaza yazidi kuongezeka
Waziri wa Ulinzi wa Marekani anatarajiwa kuishinikiza Israel isitishe mapigano katika mkutano na waziri mkuu wa Israel
Marekani na Israel kujadili operesheni ya kijeshi Gaza
Shirika la Afya Duniani, WHO limelaani juu ya uharibifu wa hospitali ya Kamal Adwan iliyopo kaskazini mwa Gaza.
IBUKA: Afisa wa zamani amekufa kabla ya haki kutendeka
Walionusurika na mauaji ya kimbari ya Rwanda wamelaani kifo cha aliyehukumiwa kwa mauaji hayo kabla ya haki kutendeka.
Lula da Silva aikosowa Ulaya kwa kutobadilika
Lula da Silva ameyakosoa mataifa ya Ulaya kwa kutobadilika, jambo linalochelewesha kukamilika makubaliano ya biashara.
Chad na Mauritania zafungua njia ya kufutwa muungano wa G5
Chad na Mauritania zafungua njia ya kufutwa muungano wa kiusalama wa G5.
Vita vya Israel-Hamas vyazusha hofu ya ugaidi katika EU
Kamishna wa Masuala ya Ndani wa Umoja wa Ulaya ametoa tahadhari kwamba umoja huo unakabiliwa na kitisho cha ugaidi.
Waislamu wajihisi hawako salama UIaya
Vita vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza vimesababisha waumini wa dini ya Kiislamu barani Ulaya kuishi na wasiwasi mkubwa.
Israel yatangaza kupanua operesheni zake Gaza
Kulingana na Wizara hiyo inayodhibitiwa na Hamas, hadi sasa watu 13,000 wakiwemo maelfu ya watoto tayari wameuawa Gaza.
Mtuhumiwa mauaji ya kimbari Rwanda kufikishwa Mahakamani
Sosthene Munyemana anatuhumiwa kuhusika na mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 huko Butare nchini Rwanda.
Israel yakabiliana na Hamas huko Gaza
Wizara ya Afya ya Gaza imesema Wapalestina 10,812, wakiwemo watoto 4,412, wameuawa huku wengine 26,905 wakijeruhiwa.
Kongamano la kibinaadamu kwa ajili ya Gaza laanza Ufaransa
Kongamano hilo litajadili masuala ya misaada ya chakula, vifaa vya matibabu na nishati pamoja na kuwahamasisha wafadhili
Macron aanza ziara ya kimkakati katika eneo la Asia ya Kati
Ziara ya Macron huko Kazakhstan ni ya kwanza kwa rais wa Ufaransa tangu mwaka 1994.
Ufaransa yafunga viwanja 12 vya ndege, Ikulu ikihofia ugaidi
Mamlaka nchini humo zimechukuwa uamuzi wa kufunga jumla ya viwanja vya ndege 12 pamoja na Ikulu maarufu ya Versailles.
Mawaziri wa Uhamiaji wa EU wajadili usalama na uhamiaji
Wanakutana huku Ulaya ikiwa katika tahadhari kubwa ya usalama baada ya mashambulizi ya Ufaransa na Ubelgiji
Misri, Ufaransa yataka misaada ifikishwe Gaza
Serikali ya Misri na ile ya Ufaransa imetaka kuharakishwa kwa misaada ya kibinaadamu kuingia kwenye Ukanda wa Gaza.
Polisi wafanya msako baada ya kitisho cha bomu Ufaransa
Polisi wafanya msako baada ya kitisho cha bomu Ufaransa.
Chad kuwasindikiza wanajeshi wa Ufaransa kutoka Niger
Kutoka N'Djamena wanajeshi wa Ufaransa wanaweza kuondoka kwa njia ya ndege na vifaa vyao vya kisasa.
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa apewa saa 72 kuondoka Niger
Watawala wa kijeshi wa Niger wanafuata nyayo za nchi jirani ya Mali na Burkina Faso.
Marekani yasitisha msaada wa dola milioni 500 kwa Niger
Marekani imesitisha msaada huo kwa Niger kufuatia mapinduzi yaliyomuondoa madarakani Mohamed Bazoum.
Wanajeshi wa Ufaransa wameanza kuondoka nchini Niger
Haya yanajiri wakati Marekani ikikatiza msaada kwa Niger
Jeshi la Ufaransa laanza operesheni za kuondoka Niger
Wanajeshi wa Ufaransa wamekuwa wakiishi kwa mashaka tangu serikali mpya ilipowataka waondoke.
Balozi wa Ufaransa aondoka Niger
Viongozi wa kijeshi wa Niger wamesema ni hatua njema kuelekea uhuru wa taifa lao.
Ufaransa kuwandoa wanajeshi wake Niger
Ufaransa kuwandoa wanajeshi wake Niger
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 18
Ukurasa unaofuatia