Mabadiliko ya Hali ya Hewa – Kipindi cha 0916.03.201116 Machi 2011Pendekezo la marafiki zetu linakaribia kukamilika. Lakini je hiyo ina maana wanaweza kuishawishi bodi ya kitaifa ya umeme? Na kwa nini wazo la Alex kuhusu nishati ya upepo linapingwa na wenzake? Haichafui mazingira, ama?https://p.dw.com/p/QsLHMatangazo