Mabadiliko ya Hali ya Hewa – Kipindi cha 0616.03.201116 Machi 2011Nishati zinazoweza kutumika tena na tena ni mada pana, kama marafiki zetu wanavyokaribia kugundua. Hakuna anayeonekana kuwa na ujuzi kwa sasa. Jopo lao linahitaji kujiandaa kwa kibarua kigumu. Je, wataweza kusonga mbele?https://p.dw.com/p/QsM1Matangazo