Mabadiliko ya Hali ya Hewa – Kipindi cha 0516.03.201116 Machi 2011Mkutano na mwanabiolojia wa viumbe wa baharini unadhihirisha taarifa za kutisha kuhusu athari za mabadiliko ya hali ya hewa. Lakini mivutano inazidi miongoni mwa marafiki zetu na juhudi za kuwatisha! Je, watafanya nini?https://p.dw.com/p/QsLuMatangazo