Mabadiliko ya Hali ya Hewa – Kipindi cha 0416.03.201116 Machi 2011Marafiki zetu wanakwenda kwenye wingu kubwa la moshi yaani mjini kukutana na mwanasayansi wa mazingira. Kwa bahati mbaya wanaounga mkono ujenzi wa kiwanda cha umeme wameanza kuzitatiza juhudi za jopo la vijana!https://p.dw.com/p/QsLkMatangazo