Mabadiliko ya Hali ya Hewa – Kipindi cha 0216.03.201116 Machi 2011Lorna anajifunza kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa. Wakati huo huo, Alex anagundua kile ambacho babake na mshirika wake wa kibiashara wanafikiri ni muhimu zaidi – kiwanda cha umeme au mazingira. Unaweza kuagua?https://p.dw.com/p/QsLaMatangazo