1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mabadiliko ndani ya Kanisa Katoliki

Isaac Gamba14 Oktoba 2015

Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, anatajwa kuwa kinara mno wa mageuzi kwenye taasisi hiyo kongwe ya kidini na ya kihafidhina zaidi duniani kiasi cha kwamba wengine wanahofia kasi yake ya mabadiliko.

https://p.dw.com/p/1Gnlt