Kenya imekubaliana kurejesha mahusiano yake na nchi jirani ya Somalia, mara baada ya viongozi wake kukutana mjini Nairobi na kufanya mazungumzo. Nchi hizo zinazozana juu ya mpaka wa eneo la bahari ambako kumegunduliwa shehena ya mafuta na gesi. Zaidi sikiliza Mahojiano haya kati ya Mwandishi wa DW Sylvia Mwehozi na mchambuzi kutoka mjini Nairobi Martin Oloo.