1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kagame atoa onyo kali kwa wanaotishia usalama Rwanda

15 Novemba 2019

Rais wa Rwanda Paul Kagame, jana alitoa hotuba iliyojaa onyo kali kwa watu aliodai kuwa wanatishia usalama wa nchi na anaowashutumu kuwa na nia ya kuihujumu serikali. Kagame alitumia maneno makali kwenye hotuba hiyo bungeni wakati wa kuapishwa mawaziri wapya. zaidi sikiliza mahojiano haya kati ya John Juma na mchambuzi wa siasa Ali Mutasa kutoka Kampala.

https://p.dw.com/p/3T5rh