1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya usalama Lamu baada ya shambulizi

3 Januari 2020

Hali ya wasiwasi kaunti ya Lamu, Kenya baada ya msafara wa mabasi ya abiria kushambuliwa na wanamgambo wa al-Shabaab Ahmamisi. Mchambuzi wa masuala ya kiusalama Mwenda Mbijiwe kutoka Nairobi, Kenya anaeleza thatmini yake juu ya mkasa huo.

https://p.dw.com/p/3Vgir